Hii Ramani ya Yanga Sc (M.A.P) Ni mwiba mchungu katika ligi ya Tanzania Nbcpl.

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,361
12,898
Ukimtoa kipa Diara moja Kati ya Makipa Bora kwa Sasa Tanzania na Africa, Kuna combination ya viungo wakabaji Simba la kati.

Namzungumzia Maestro Mudathr Yahya na Dr wa football Khalid Aucho the tank huu muunganiko ni sumu kabisa katika dimba la kati, nilishuhudia kuona Yanga vs Azam Bajana na Akaminko walivyofichwa katika kikapa Cha Hawa viungo wawili wa Yanga Sc.

Acha hiyo kariakoo derby nilimuona kijana asiyependa kucheka Putin na Fabrice Ngoma walivyopotea mbele ya Mudathri na Khalid Aucho hakika hii NI moja ya combination Bora kabisa.

Max Nzengeli, Azizi key na Pakome (M.A.P) Hii ni siraha kubwa sana Ya Miguel Gamond na hii ndiyo Ramani ya mafanikio kwa Yanga Sc.

Usipofungwa na Max Basi Azizi takuhukumu na Usipofungwa na Azizi Basi Pakome atakuhukumu.

Viungo washambuliaji Hawa waliivuruga beckline ya Simba sc na kuvunja Ukuta Wa Yericko kwa makelele ya chenga na matobo hakika hii ni hatari sana na ni janga kwa ligi yetu ya Tanzania.

Dickson job the shark &Ibrahim bacca Hawa Vijana ni kazi kazi hawana muda wa kucheza na jukwaa Kama Yule mkongomani wa Lunyasi Inonga Bacca, Hawa mabeki wa Yanga wanaacha mashabiki ndiyo muwasifie.

Yao Yao Thoula & Lomalisa Mutambala nakumbuka Bwana Mdogo Kibwana alisema kazini kwangu Kuna kazi NI kweli Yao Yao anacheza Kama winga lakini ni beki hakika Yanga Sc imelamba Dume katika usajili huu.

Miguel Gamond anauwezo wa kuagizia Deri la kahawa na kashata akawa anakunywa bila wasi wasi na timu yake itapata matokeo tu.

Kwa usajili huu ata Robertinho asingefukuzwa kazi.
1699246194307.jpg
 
Kwa usajili huu ata Robertinho asingefukuzwa kazi.View attachment 2806816
Kuhusu M.A.P nakubaliana na wewe.
 
Oya Nalia Ngwena, Pacome is not a good finisher ila akiwa nyuma ya hao jamaa wawili akiwemo no 9 yeyote hua anawavuruga sana wapinzani.

Napata shida sana kujua ubora wake kama akitokea pembeni au akiwa katikati. Kote Anavuruga vibaya mno.
 
Back
Top Bottom