ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,785
- 1,317
wapedwa za jion hii,wadau nimekuwa nikitatizika ndani kwa ndani nimeona leo niilete hii kitu hapa.hakuna harusi wala kitchen party na send off zinazofanyika bila kuwekwa hii kwaito. hivi huko kwao wanapiga nyimbo zetu kwenye sherehe zao?kila kitu tunaiga hata utamaduni wa southafrica tumeucopy na kupaste kwenye harusi zetu jamani yaan kwaito imegeuka sheria kwenye kila harusi.kwa walio oa /olewa hii miaka ya karibun hii kitu imewatokea. wapi msanja,mdundiko,mdumange na nyinginezo?inaniumaje sasa bibi / bwana harusi wanafanyishwa mazoezi ya kwaito eti wasitie aibu na ni ushamba wakati wimbo wa taifa hawaujui. wadau mawazo yenu yanahitaji tafadhali...