Ha ha ha umenichekesha sana ndugu yangu ila hata ma brazamen huwa wanacheza.
Hehehe ni kweli kuna mabrazameni hucheza mazuri pia but I always get amazed by how excited ladies become when kwaito plays...ni Kama wanapagawa
Ha ha ha umenichekesha sana ndugu yangu ila hata ma brazamen huwa wanacheza.
Sikatai uwepo wa kwaito na kweli inanoga ila nakataa katakata kuifanya kwaito sheria au kipaumbele kwenye harusi ya mluguru na mzaramo uzalendo uko wapi ndungu yangu.kumbuka nyumbani ni nyumbani hata kama ni pangala
Hehehe ni kweli kuna mabrazameni hucheza mazuri pia but I always get amazed by how excited ladies become when kwaito plays...ni Kama wanapagawa
sioni kitufe cha like mbona?ila kwa madem utakuwa una la moyoni wewe............
Eeeeeh wazo nzuri sana ila wao wanacheza kwenye madisco sio kwenye harusi
Kumbuka hapo umetoa wazazi wako mgon'go,shelui waje wacheze harusi yako wanakutana na kwaito
Sijabahatika tu kwenda kwenye sherehe za harusi kule Kinshasa...lakini kwa Jinsi Bushoke alivyo maarufu, haiyumkiniki hata kwenye harusi ule muziki utakuwa unarindima... labda unambie, huo muziki anaopiga Bushoke, nimuziki wa Tanzania ama la?
Eeeeeh wazo nzuri sana ila wao wanacheza kwenye madisco sio kwenye harusi
Kumbuka hapo umetoa wazazi wako mgon'go,shelui waje wacheze harusi yako wanakutana na kwaito
Ummu wewe ni wanyumbani kwetu eeh! mgongo + shelui
yaaani mulemule wangu!
Kwa ufupi,hyo style wanayosema kwaito ht huko south hawachezi hvyo. Maharusini watacheza kwaito but kila harusi differently na kwa mvuto zaidi. Sisi ni styl moja mpk inakera...
Kwa ufupi,hyo style wanayosema kwaito ht huko south hawachezi hvyo. Maharusini watacheza kwaito but kila harusi differently na kwa mvuto zaidi. Sisi ni styl moja mpk inakera...
alafu kucheza hawajui basi tabu tupu!! waachieni wasauz wenyewe wanaojua kudance wabongo twarusha miguu tuu[/QUOTE
Af umkute sister du anamiguu mirefu kaiunganisha na kiatu kirefuuuuuuu inakuwa n kicheko kwa kweli
Hahahahaha,umenifurahisha eti wimbo wa taifa hawaujui bhac hao wafanyiwe suprise cku iyo wataingia ukumbini na mungu ibariki........yan iyo kwaito kwenye sherehe imekua kero sasa
Aise mpola za kwaso!
ishe kwaapanga......duu