Meritta
JF-Expert Member
- Apr 26, 2011
- 1,303
- 293
Sipati picha badala ya kwaito ikawekwa mnanda na hakika hata babu na bibi wataucheza........inanisumbua hii kitu ndugu yangu
Usipojua unaonekana wakuja ila wabongo ndo tulivyo kushabikia kitu
Sipati picha badala ya kwaito ikawekwa mnanda na hakika hata babu na bibi wataucheza........inanisumbua hii kitu ndugu yangu
Ninaisearchi kwa makini.... si imeshakuwa yetu !!Nilidhani ni mimi tu ndo sijui..hebu tuwekee hata nyimbo moja mkuu ummu kulthum na sisi tuone hii kwaito inachezwaje.
Mdundiko ukumbini?? acha utani
sisi kwetu litungu kama kawa hiyo kwaito ni huko kwenu.
Dunia ni kama kijiji kmoja sasahivi. Wote n wamoja,hiyo usishange hlo mkuu. Na hiki kzazi cha digital vijana bila kwaito sherehe haijafana
shukran kwa kuliona hili yaaaan siye kila kitu chetu kibaya cha wenzetu kizuri,wamesahau hata ile methali inayosema.....mdharau kwao mtumwaAache utani gani? acha kujidharau na kudharau vya kwenu, kila siku watz wanaenzi ya wengine ndio maana hakuna maendeleo ya kiutamaduni.
Mimi nawashangaa hawa watu! mbona sisi tunacheza litungu hadi kwenye kumbi za maghofa na viyoyozi? inaonekana kujidharau kunachangiwa na asili ya makabila.
Kama tumekuwa wamoja kutokana na utandawazi sema kama umewahi kuona wazungu wanapiga music wa kitz kwenye sherehe zao? ina maana vyetu siyo vizuri?
sikatai ndugu yangu one africa one blood in bimp voice...........
je wao wanacheza msanja,mdundiko,kwenye sherehe zao?
kwa nini tusipende vya kwetu.
nyumbani kwanza.........
af kubwa ni kuigeuza kwaito kama sheria kwenye harusi bila kwaito sherehe haijakamilika
ndiyo inayochezeka kwa staili ya pamoja bila kufanya reheso.........
Tukiboresha muziki wetu, tukauweka kwenye santuri, youtube n.k utaonekana na wataucheza tu.
Mbona Kinshasa kwenye madisko yao wanapiga sana muziki wa Max Bushoke - Mume B.w.e.ge?
Mkubwa nakukatalia kabisa hii bila reheso haichezeki wezako wakigeuka we unarusha mguu au unainamisha bega
mimi naona hiyo kwaito kuchezwa kila harusi ni sehemu wa wadada kujionyesha. women be going nuts when kwaito starts to play, wanakimbilia mbele dance floor na high heels zao like Prince on stage. Wakifika ni kujibinua
binua huku wanatupa jicho kwa audience ha ha ha. Haya bwana, yote maisha.
Sikatai uwepo wa kwaito na kweli inanoga ila nakataa katakata kuifanya kwaito sheria au kipaumbele kwenye harusi ya mluguru na mzaramo uzalendo uko wapi ndungu yangu.kumbuka nyumbani ni nyumbani hata kama ni pangalakwaito inanoga mno
hasa mkiwa wengi