kwaito ni lazima kwenye sherehe zetu??

Kuna movie nilikuwa naiangalia karibuni inaitwa '27 Dresses' nimeshangaa sana wazungu wanacheza kwaito kwenye harusi...mimi nilidhani asili yake South kumbe siyo
bana....yani wanacheza same steps..unless nao wameiga South...Tena walikuwa wanacheza mziki wa Michael jackson....wa Southn ndio wamegeza...

Hiyo movie naisaka leoleo

Ila mimi napenda sana....ingawa sijuhi kucheza. Lol. nimepitwa

Mi siipendi kabisa na sina sababu ya kuijua acha tu nionekane wa juzi mkubwa
 
Kwaitoo
 

Attachments

  • IMG-20191229-WA0008.jpg
    IMG-20191229-WA0008.jpg
    17.8 KB · Views: 4
Bora kwaito- kuna kamji kamoja hapa Tz, kila sherehe ya harusi lazima nyimbo za CCM mbele Kwa mbele na WA police msitupige mabomu chadema ni serikali ijayo zipipigwe. Piga ua lazima zipigwe hizi nyimbo
 
joshua_ok ,Dah jamaa unapenda mambo ya kale,thread ya six years ago,umeifukua,mleta thread ashadead na hata wachangiaji wa wakati huo
 
Back
Top Bottom