Kwaherini

we mmama nilijua tu hutakaa, ulikuja kumtafuta mume umempata hat kusema asanteni hakuna, ila ujue hiyo roho mbaya
 
Hii Kitu wacha ni edit manake ilinisababishia Ban ya Three Month Dah! Words zingine zilimaanisha Bad Word Isije kusomwa Tena nikapewa Ban Upya Thanks Mchokoza Thread za Zamani Huyu Smile kumbe ndie Bebii! Dah Sintomsahau Tena
 
Nawaaga jamani nashukuruni kwa kunipokea vizuri ila sina budi kuwaaga am leaving for guud byyyyyyyyyyyyye jf
....................bebbii.........................karibu tena kama utaamua kurudi,wasalimie huko unako kwenda,kumbuka kuwa ukitoka wengine wanaingia,ukiingia na wengine wanatoka,ukiaga wengine wana karibishwa tena kwa mikono miwili,wewe unakwenda jua kuwa wengine wanarudi................ukiwahi wengine watachelewa,ukichelewa wengine watawahi,.................nami sina budi kukutakiamkila kheri,elewapia wengine watakutakia shari...................,Kwa kheri ya kuonana........................................
 
Vipi mizigo ushaweka Tayari uuuh! aaah

usijechelewa ukaachwa na gari uuuhh aaahh!

basi jikaze tu Mpenzii Utuombee uje urudi Mpenzi..aaah!

Zile Tabu nja njaa Msumu mzima mavuno hakuna...aah!

najua kinachokukimbiza mpenzi....

Tabu na raha wewe hapa JF ndio utapata
najua wataka raha pekee,
najua huwa unakosa raha ukikosa wa kukusemesha roho inakuuma ndio waamua kutuacha sababu pesa hatuna..aah!

Ndio kanisani kusaka wachumba aaah

basi huku watoto wakikulilia nitawadanganya kwa vibajia
lakini pipi usisahau kuwaletea ukirejea toka kanisani....

Maneno yako yananikosesha raha na mawazo ooh! mwenzio sijawahi fika huko kanisani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom