Kwaherini

Kwaherini

Oyaa wakubwa nani huyo anaaga tena?Mimi nipo gizani huku si muoni au ndo Mentor au nani huyo aliyeongozana na Mentor?Nijuze plz wazee.
 
Watu wanaaga kila leo,kunanii Jf!
Oyaa wakubwa nani huyo anaaga tena?Mimi nipo gizani huku si muoni au ndo Mentor au nani huyo aliyeongozana na Mentor?Nijuze plz wazee.
<br />
<br />
 
Bebii ticket yake imeliwa na Rats wa Gaddfi so bado tupo tupo pamoja leo kesho na kuendelea
 
Mbona namuona kwenye vingine hasa mmu, au huyu ni mwingine??
 
kwaheri sina cha kukupa ila ninashukuru kwa michango yako ya kimapenzi mapenzi tu baaaasi.
 
hihihihi Watu wengi kumbe wana ID zaidi ya moja... Server imedetect Bebii ndie Smile...

Nilijua Bebii hatupo naye Tena....

huku ndani kwa multiple ID's wamejaliwa kwa kweli..
Nadhani ID ya baby na smile either zimeoganishwa au
ame cancel baby...
 
huku ndani kwa multiple ID's wamejaliwa kwa kweli.. Nadhani ID ya baby na smile either zimeoganishwa au ame cancel baby...
Haha Sure but hii hutokea After Mtu Kupata Ban... Ana regist new one then Ban ikiisha anairejesha ile ya Mwanzo aipendayo.. Haka Kamchezo Kapo Sana Chat room Nyingi i did this but kama ip address huwezi i change ndio ina happen like this kama Bebii Sio Siri hata me nilipopata ban niliopen the Same Day new ID oi.... Then nimeona ni back na hii
 
Back
Top Bottom