Kwaherini

Haha Sure but hii hutokea After Mtu Kupata Ban... Ana regist new one then Ban ikiisha anairejesha ile ya Mwanzo aipendayo.. Haka Kamchezo Kapo Sana Chat room Nyingi i did this but kama ip address huwezi i change ndio ina happen like this kama Bebii Sio Siri hata me nilipopata ban niliopen the Same Day new ID oi.... Then nimeona ni back na hii

hahahahahahhaaha
Kumbe watalum wa haya mambo mpo wengi looohh..
kwa hiyo ukipigwa Ban bado unaweza kuingia humu.
Haya bana siku nikipigwa Ban ntafuata ushauri wako hahahha lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom