Huendi popote Joanna futa huu Uzi.Nawish iwe utani
Lakini ni hivyo naondoka kama utani
ni kweli enyew nimepata huzuni ila ndo hivyo, sijui familia yake watakua kwenye hali gani,, Yote kwa yote Mungu anaweza kumsaidia tujipe imani ila ikishindikana basi hakuna namnaπ
Napaswa kukujibu nini?Daah kwa hiyo mi mdada?
Kifo ni ibada usiogope.
Kuwa jasiri.
Kikubwa mrudie Muumba na uachane na yote yasiyompendeza Mungu.
Kama ulichukua cha mtu rudisha, kama ulimkosea mtu fanya haraka sana uombe msamaha.
bro mbona umeamua kuficha siri nzito namna hiyo?,, yamkini wangeweza kufanya jambo asee au ulipanga kufa? umefurahi sio?,, basi Mungu alivyo wa ajabu hauwezi kufa aibu utaona wewFamilia yangu hakuna anyejua naumwa nini
Nataka nife kimya kimya kama ikiwezekana before mwisho wa wiki inayoanza, sitasubiri miezi miwili
πππππππππOyaa nimechukua vya watu na sirudishi na hakuna kitu mtanifanya
ππKama hii ni kweli, basi mimi namsihi asisite kuja humu kuomba msaada wowote ule atakaohitaji kwenye hili jambo lake. Kwa pamoja tutaweza kunyoosha mkono.
Binafsi nimeguswa. Nilikuwa siamini kama kwenye hizi ID za vificho unaweza ukahisi kumfahamu mtu ila sasa ninaelewa.
Can i buy you a last drink before you go?Nakutania mkuu
Thanks for everything π
bro mbona umeamua kuficha siri nzito namna hiyo?,, yamkini wangeweza kufanya jambo asee au ulipanga kufa? umefurahi sio?,, basi Mungu alivyo wa ajabu hauwezi kufa aibu utaona wew
Atutajie location kabisa tusipate shida.No way mkuu soon ID itakua RIP