Kwaheri 2013 karibu sana 2014

hii kweli burudani funga mwaka kaka BAK....
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
hahahahahah lol!!!! mie sitii neno :tape2::tape2::tape2:....By the way congrats kwa kuacha kulialia hovyo 🙂🙂

hayo macongrats ndo nilikuwa nayasubiri kwa hamu....
mtu aki-advance anatakiwa kupewa hongera zake bana....
 
Reactions: BAK
Ukiotesha kitambi tu utajibeba hahahahahah lol!!! Hakuna kuacha kitambi kabisa!! Wengine wana vitabi karibu viguse magoti lol!!!!!

ha haaa, nyumbani kwangu kitambi kimepigwa marufuku.......
ukitoka kujifungua tu, kitu cha kwanza kukumbushwa ni kushughulikia kitambi, kaazi kweli
 
Ukishuka na raba mtoni shule basi shule nzima utakuwa alwatan lol!!!! Bongo yetu hiyo!!!!

Nice one maana bila wadada miziki haishuki ati. Eeeh raba mtoni acha tu esp mashuleni ndio palikuwa pa kuonyeshea aaaagh.
 

Aaaaaggh, kwa hiyo mnakunywa pale nje hadi mlewe mkiingia ni ku buggie hadi mwisho sio. Aaagghh

Ila nimefurahi kujua totos za kike ziliwapelekesha labda na mie ningekuwaga mmoja wapo ...lol
 
Reactions: BAK
Hahahahahaha lol!!!! Ndani unaona wenzio hawanunui kitu kumbe wameshaziweka za kutosha ndani ni kujirusha lol!!!!

Aaaaaggh, kwa hiyo mnakunywa pale nje hadi mlewe mkiingia ni ku buggie hadi mwisho sio. Aaagghh

Ila nimefurahi kujua totos za kike ziliwapelekesha labda na mie ningekuwaga mmoja wapo
...lol
 
BAK lazima ulikuwa mtundu wewe

Wapsite (haina notifications) ni my fav kwa simu, so nitawalike later mie hata app yao sijarudiga kuitumia na ile ya touch mob edition nayo mmmhh. Cheers BAK and EMT
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
karibu member mpya!
naona umeamua kujivua gamba 2014 kuingia na gwanda, lol!

asante mwaya kunikaribisha nakutakia mwaka mpya mwema wewe na familia yako
Yaani hii thread imenifanya nimekodoa macho maana nasikiliza nyimbo zote za humu kuania ya kwanza hadi ya mwisho.
Hope 2014 will be good to me.
 
Mmmmmh.....utajwe wapi wakati ndio kwanza leo unavuka kizingiti kuingia humu ndani? Au ulifikiri BAK ni magician eeeh?

heheheee was kweli BAK hawezi kuwa mfalme njozi ila nimetania tuu kuwa hakunitaja. Nimekuwa nikisikiliza nyimbo zote alizotupia kwenye hii thread, asante kwake muanzisha uzi.
Mwaka mpya mwema pamoja na familia yako.
 
Reactions: BAK
MUNGU awe nasi.. siku zote za maisha yetu,

wala si hapa katika kumalizia mwaka tu,

ee baba uwalinde na kuwaweka mikononi mwako watoto wako wote.. nawaweka mikononi mwako Passion Lady, BAK, Mentor, mzurimie, Lizzy, ladydoctor, Threesixteen Himself, YOU TUBE, miss chagga, King'asti, Madame B, Invisible, Paw, Fang, (nawaombea hawa mamoderator wapunguze ban, watafute plan B!!) Arushaone, sosoliso, Ritz, Zitto, Mwl.RCT, habari ya hapa, Mashaxizo, Daudi1, Daud omar, sister, Sista, shansarie, Baba V, charminglady, Kasinde, Kongosho, badiebey, Preta, Chimbuvu, watu8, Judgement, Kasinde, kahtaan, Dr.Mo, snowhite, Sangarara, Blaki Womani, miss strong, miss wa kinyaru, Mzee wa Rula, Mtambuzi,... na wengineo wooote!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nna mpango wa kutoa show ya mwaka jikoni kwangu leo. farkhina na Jerrymsigwa, kama mna suggestions zozote wakati ni huu. Ntatumia ujuzi wa farkhina woote hadi mwisho lol:decision:

naomba niwe manager wako! lights zitakuwa jiko la umeme!

vile vimoshimoshi vitatoka kwenye jiko la kuni!

microphone itakuwa uma!

sufuria zitakuwa drums.. iam a good manager indeed!
 
Ubarikiwe sana mpendwa ukipata mtu anayekuombea mema maishani inatia faraja sana,Mungu akuongoze mwaka ujao akuepushe na mabaya ya dunia zaid ya yote akufanikishe katika mipango yako katika jinaa la Baba, la Mwana na la Roho Mtakatifu Amen....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…