Inasemekana Marekani wameshauri ambao hamtaki muamie kwa Kagame 😅 RwandaNilokuwa na pitia YouTube kuna channel kadhaa raia wa nchi zingine wanalalamika kuhusiana na kodi ambayo Marekani imepitisha ya 30% kwakuwa YouTube ni kampuni ya "kimarekani".
hivyo basi kuqnzia sasa YouTube channel creator watakuwa wanalazimika kulipa kiasi hiko cha kodi kwa asalimia hizo kutokana na mapato watakayopata kupitia monetization/adsense.
Je ni kweli na tayari watumiaji wameshaanza kuona mabadiliko ya makato?
Nawaza hapa itakuwaje?
YouTube wachukuwe percent zao 15%~(sina uhakika nimeshau)*
U.S Nao wakuktate 30% ya mapato
Na makato wakati wa kutoa huyo pesa .
Karibuni wadau mnalizungumziaje swala hili.
Je, unaweza kuanzisha YouTube channel na kui monetized kutengeneza pesa kwa kutegemea ads?
Je, bado ni biashara nzuri kwa sasa , ukizingatia inahitaji uwekezaji wakutosha katika bifaa vya production / knowledge na time?
Kwasasa Unakatwa 30% ya kodi kwenye revenue uliyopata kutokana na traffic ya Marekani.Nilokuwa na pitia YouTube kuna channel kadhaa raia wa nchi zingine wanalalamika kuhusiana na kodi ambayo Marekani imepitisha ya 30% kwakuwa YouTube ni kampuni ya "kimarekani".
hivyo basi kuqnzia sasa YouTube channel creator watakuwa wanalazimika kulipa kiasi hiko cha kodi kwa asalimia hizo kutokana na mapato watakayopata kupitia monetization/adsense.
Je ni kweli na tayari watumiaji wameshaanza kuona mabadiliko ya makato?
Nawaza hapa itakuwaje?
YouTube wachukuwe percent zao 15%~(sina uhakika nimeshau)*
U.S Nao wakuktate 30% ya mapato
Na makato wakati wa kutoa huyo pesa .
Karibuni wadau mnalizungumziaje swala hili.
Je, unaweza kuanzisha YouTube channel na kui monetized kutengeneza pesa kwa kutegemea ads?
Je, bado ni biashara nzuri kwa sasa , ukizingatia inahitaji uwekezaji wakutosha katika bifaa vya production / knowledge na time?
vibali vya nini piga tu kazi sasa hvi TOZO yote hii bado unataka tu kuzidisha uzalendo??Gharama za vibali TCRA..?
So watazamajai walio geographical area tofauti na U.s , mfano TZ / norway hukatwi mapato yake yatokanayo na views?Ni kweli imeanza,na mwezi huu watu wamekatwa hela,na kama upo nje ya marekani,unakatwa 30% kwenye hela uliyopata kupitia watazamaji waliopo marekani.
Anza kufikiria vyanzo vingine vya mapato, usitegemee tu ads utakufa njaa.Nilokuwa na pitia YouTube kuna channel kadhaa raia wa nchi zingine wanalalamika kuhusiana na kodi ambayo Marekani imepitisha ya 30% kwakuwa YouTube ni kampuni ya "kimarekani".
hivyo basi kuqnzia sasa YouTube channel creator watakuwa wanalazimika kulipa kiasi hiko cha kodi kwa asalimia hizo kutokana na mapato watakayopata kupitia monetization/adsense.
Je ni kweli na tayari watumiaji wameshaanza kuona mabadiliko ya makato?
Nawaza hapa itakuwaje?
YouTube wachukuwe percent zao 15%~(sina uhakika nimeshau)*
U.S Nao wakuktate 30% ya mapato
Na makato wakati wa kutoa huyo pesa .
Karibuni wadau mnalizungumziaje swala hili.
Je, unaweza kuanzisha YouTube channel na kui monetized kutengeneza pesa kwa kutegemea ads?
Je, bado ni biashara nzuri kwa sasa , ukizingatia inahitaji uwekezaji wakutosha katika bifaa vya production / knowledge na time?
Kila nchi ikianza kukata revenue kulingana na users waliotoka kwake itakuwa machafuko matupu.Kwasasa Unakatwa 30% ya kodi kwenye revenue uliyopata kutokana na traffic ya Marekani.
Hata freelancing sites zinafanya hivyoNilokuwa na pitia YouTube kuna channel kadhaa raia wa nchi zingine wanalalamika kuhusiana na kodi ambayo Marekani imepitisha ya 30% kwakuwa YouTube ni kampuni ya "kimarekani".