Kwa wenye 45+, mambo gani ya kuzingatia?

Kwa wenye 45+, mambo gani ya kuzingatia?

Haswa!
sasa mzee wa 45yrs utafanya nini ukijeuka kdg tu 50 hio hapo
Unaona mnavyotupa wazee stress, badala ya kutupa maneno mazuri unaanza kusema nikigeuka 50 hii hapa.

Nikuambie kitu Red Black, life's too fast. Nakumbuka 2000 Mkapa akitoa malemgo ya nchi 2025, niliona mbali sana, nikiwa kijana mdogo tu. Look now, 2025 imeshapita.

Maana yangu nini, wake up call kwa nyie mnaodhani muda hauendi na ujana utabaki mda mrefu, actually ujana ni kipindi kifupi sana.
 
1.Wamuabudu Mungu tu na kumtegemea kumtumaini Mungu pekee,wasiweke matumaini ya maisha yao kwa mwanadamu (WASIWE CHAWA KUMUABUDU MWANASIASA)...wasitegemee mganga wa kienyeji,majini,...ushirikina....
Wampende na KUMCHA MUNGU watafute kumoendeza Mungu ,wamuheshimu Mungu na kujitenga na dhambi..wamuogope MUNGU na kumuheshimu MUNGU..

2.Wasidharau mwanadamu mwingine...waheshimu na kupenda WATU WOTE...wapende familia zao na za wake zao na watoto wao...
wawatendee watu wengine mema wawe baraka kwa wengine..wasimtendee mwingine vile ambavyo wao wasingependa kutendewa na wengine.

WAMPENDE MUNGU NA WAPENDE WATU .
 
Oooh!!!!!!!? Natarajia kuingia 40 miezi kadhaa ijayo.
Mpaka hapa nilipo mahitaji katoto ka moja ka mwisho.
Matunda kwa wingi,, mboga za majani pia natural detox. Situmii vipodozi vyenye kemikali.
Shambani ndo tumewekeza .
 
Ukiwa na miaka 50 na huna nyumba ya kupangisha kibiashara kama fremu (sio kuishi) au lodge basi wewe huna uzoefu ni hatari kuingia biashara hizo.

Chukua hela ya kula uzeeni kama ni milioni 50 nunua government bonds za miaka 20. Return yake ni kama 13% na coupon payments ni mara mbili kwa mwaka kwa hiyo utakuwa unapata kama milioni 6 na point hivi kwa mwaka. Ambavyo unalipwa nusu mara mbili, hivyo ni milioni 3 nusu ya kwanza milioni 3 nusu ya pili. Kwa mwezi ni kama laki 5 na elfu kadhaa hivi.
Hiyo ni hela ndogo sana ukiwa na miaka 50, ila kwenye 60 kwenda 70 matumizi ya fedha yanapungua. Na hapa kumbuka tunaweka options what if dunia itakukataa, si kwamba huna vitu vingine.

Kwenye hiyo bond ya miaka 20, unaweza kopea kiasi chake kisichosizidi 60% theoretically, ila tufanye 50% ya 50M ambayo ni 25M hapa ni mfano umeumwa sasa unataka operation na huna hela usiuze nyumba. Ila baada ya hapo coupon zitakuwa zinaenda benki kulipia deni.

Bond inatoa hela kidogo ila ya uhakika. Waliojenga nyumba za kupanga zikaungua, zikabomolewa, wakatapeliwa kiwanja, wakagombea mali kwenye taraka, wapangaji wakakosa, au nyumba ikalipa vizuri sana wapo. Ila tangu Tanzania ianzishwe haijawahi default kwenye debt obligations, ingawa inawezekana ikitokea kuna vita au sasa serikali iongozwe na mbumbumbu non-stop kwa miaka kama 20 hivi.

NB: Nimehariri kuongeza kuwa. Ukifanya hivyo na miaka 50, after 20 yrs una miaka 70 utapokea hela yako ileile 50M au kama haupo taratibu za urithi zipo. Ila utakuwa ndani ya miaka 20 umekusanya kama (kodi) ya 130M hivi. Same way na ukijenga ila sasa huku hakuna bomba kupasuka, mpangaji kufiwa, au dalali kusema hali ngumu.
 
images (45).jpeg

At 45
 
Unaona mnavyotupa wazee stress, badala ya kutupa maneno mazuri unaanza kusema nikigeuka 50 hii hapa.

Nikuambie kitu Red Black, life's too fast. Nakumbuka 2000 Mkapa akitoa malemgo ya nchi 2025, niliona mbali sana, nikiwa kijana mdogo tu. Look now, 2025 imeshapita.

Maana yangu nini, wake up call kwa nyie mnaodhani muda hauendi na ujana utabaki mda mrefu, actually ujana ni kipindi kifupi sana.
I wanna be young Forever
 
Oooh!!!!!!!? Natarajia kuingia 40 miezi kadhaa ijayo.
Mpaka hapa nilipo mahitaji katoto ka moja ka mwisho.
Matunda kwa wingi,, mboga za majani pia natural detox. Situmii vipodozi vyenye kemikali.
Shambani ndo tumewekeza .
Karibu sana 4th floor mdogo wangu🤣🤣
 
Back
Top Bottom