ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,017
- 128,708
- Thread starter
- #61
Ni kupambana mkuu, hakuna shortcut.Sasa na sisi 35s tufanye nini na mipango bado haina ramani? Ikifika huko 45s si ndo basi tena. Maisha yanamengi sana sababu hayakupi majibu ya moja kwa moja tu. Mda mwingine nawaamini wale wasemao maisha hayana maana ila wewe mwenyewe waweza kuyapa maana ndo huko mwingine anakuja kulijua hili tayari 45s. Maisha bhana!!