whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,928
- 9,437
Ni pixel model gani?Nimefanya vyote hivyo lakini bado tatizo liko vilevile
Ni pixel model gani?Nimefanya vyote hivyo lakini bado tatizo liko vilevile
4XLNi pixel model gani?
DSMUko mkoa gani
Leo nimepekua pekua nimecheki about phone nimeona kwenye service state radio iko offUko mkoa gani
Nitkutafuta kakaKuna biashara hapa.. ni unyama sana nii mashine bei kitonga nipe 370,000 tu
Google Pixel 3XL 128GB
View attachment 2439522
View attachment 2439523
View attachment 2439524
Plain yake pia ipo bei ni 325,000
Whatsapp or call 0764081567
Kwangu mimi naiona inakaa sana na chajiSorry out of topic.
Ukaaji wake wa chaji upoje?
Umemaliza Kila KituPixel inayokaa na chaji ni 5A tu,
Ha ha ha ha mkuu ya kweli haya?3xl Ina picha kali kuliko iPhone 7,8, plus na x Na Xr wote wanaufyata kwa pixel 3
Ha ha haKuagizia ni poa ila wengine kama mimi hatunaga subira ya kungojea kitu mwezi mzima
Kweli kabisa nina pixel 6 pro yani mtu wa iphone 13 pro max ninamgaragaza vibay mnoHa ha ha ha mkuu ya kweli haya?
Kwa hiyo hii ndio Quality ya picha ya iPhone?Nimefanya utafiti wangu aisee nime- iphone waaacheni kwenye camera mwaka huuu na mwaka Jana nimekua Niki switch sana kwenye hizi kampuni mbili tofauti Yani pixel/iphone iphone/ pixel
Tofauti ya pixel na iphone ni hiii...
Iphone unaweza piga picha uka upload mahali mfano Mimi nimekuwa Niki-upload picha zangu pale napoichoka simu natamani kuiuza niswitch kwenye simu nyingine lakini kina chotokea picha ya iphone utakapo ia-upload na kuidowload Tena kama ni kupunguwa quality inapunguwa kidogo sana..
Kwa pixel quality ya picha inatoka kabisa pixel simu ambayo at least unaweza kunishawish kuwa google walikaaa chini na kutengeneza simu na camera Kali labda kwanza pixel 6
Hizi hapa ni mfano wa picha ambazo nilipiga kwenye iphone xs tu nilizi upload messenger then nikazidownload Tena lakini cheki bado Zina quality as if nimepiga sahiii na camera nikaziweka hapa pixel ni wazuri lakini pixel ya kupiga nayo battle na iphone tuanzie 6-7a lakini sio 4 sijui 3a ukaishindanishe na xr au xs max, hizo iphone tunazo zicompare nazo zishatekenywa camera eidha.View attachment 2625851View attachment 2625857View attachment 2625858
Hii pixel 4xl mnaisifia sana lakini nina jamaa ina mwaka tu picha zake sio kama mwanzoKwa hiyo hii ndio Quality ya picha ya iPhone?
Kwenye ishu ya kupoteza Quality baada ya kui upload kwenye social media naweza nikakubaliana na wewe lakini sio kwenye picha bali video.
Picha uki upload halafu ukai download utofauti utakuwa kwenye size tu ya MB kuwa original ilikuwa na MB 5 ila baada ya kui upload na ukaja kui download utaipata katika size ya MB 1 au KB kadhaa.
Lakini pixel wanao mfumo rahisi sana kwa ajili ya kuhifadhi picha na video bila kupoteza Quality ambao ni Google photos.
Hizo iphone x mpaka 13 huko zinabembea kwenye msuli wa mwanaume mmoja pixel 4XL
Ni hiy ya huy jamaa yako hat mm kuna jamaa yangu ana iphone 13 pro max imeweka mstari kweny kioo ngoj nikuuliz ya kwako ina shida hiy au unatufanya sisi vichaa ww ndo unaejua sim zaid pixel ni mashine asikudanganye mtuHii pixel 4xl mnaisifia sana lakini nina jamaa ina mwaka tu picha zake sio kama mwanzo
Lakini yangu iPhone 13 Pro max moto ule ule mwanzo mwisho
Watumiaji wa Google jifunzeni huwezi kununua simu in cheap price halafu iwe na sifa zote mbili
Kudumu
Ubora
Sijawah kuonaga maajb ya iphone hata siku moja natumia pixel 6pro hapa nakalisha kuanzia iphone 13 pro max kushuka chini kweny camera night mode ndo unishiki kabisa narudia ten achana na pixel kabisa wana software nzur sana na nyepesi ww endelea kutumia iphone kulinda status ila pixel ni simu na nusuHii pixel 4xl mnaisifia sana lakini nina jamaa ina mwaka tu picha zake sio kama mwanzo
Lakini yangu iPhone 13 Pro max moto ule ule mwanzo mwisho
Watumiaji wa Google jifunzeni huwezi kununua simu in cheap price halafu iwe na sifa zote mbili
Kudumu
Ubora
Pixel 4xl ni nzur sana despit kuna baadhi zinasumbua has hiz second hand hat iphone za second hand pia zinasumbua mnoo inashusha battery health chaji sio kitoto unawez kununua na asilimia 96 BH ndan ya mwez mmoja inashuk 80 BH hizo sio famba hizo tena bora pixel unanunua used ila charge uhakik inakaa hasa hize series za A na kuanzia pixel 5 kwenda juu ndo kabisa zinakaa chaji mnoHii pixel 4xl mnaisifia sana lakini nina jamaa ina mwaka tu picha zake sio kama mwanzo
Lakini yangu iPhone 13 Pro max moto ule ule mwanzo mwisho
Watumiaji wa Google jifunzeni huwezi kununua simu in cheap price halafu iwe na sifa zote mbili
Kudumu
Ubora