Mkuu leo mic imeanza kufanya kazi yenyewe ila sidhani kama itamaliza sikuSina Pixel mkuu, nimecheki online Pixel zina Microphone mbili (pengine sio pixel zote), microphone ya juu kwa Ajili ya Video na ya chini kwa ajili ya Sauti za kawaida.
Pengine moja ya Microphone zako haifanyi kazi inafanya ya video.
Kuna Weird solution nimeiona download hii app halafu ifungue, inasolve hilo tatizo
![]()
Tuner - gStrings - Apps on Google Play
gStrings - a chromatic tuner for the guitar, violin, or any other instrument.play.google.com
Tatizo limejirudia tenaSina Pixel mkuu, nimecheki online Pixel zina Microphone mbili (pengine sio pixel zote), microphone ya juu kwa Ajili ya Video na ya chini kwa ajili ya Sauti za kawaida.
Pengine moja ya Microphone zako haifanyi kazi inafanya ya video.
Kuna Weird solution nimeiona download hii app halafu ifungue, inasolve hilo tatizo
![]()
Tuner - gStrings - Apps on Google Play
gStrings - a chromatic tuner for the guitar, violin, or any other instrument.play.google.com
Vp software mkuu ipo up to date Android 13?Tatizo limejirudia tenaView attachment 2527309
Iko updated MkuuVp software mkuu ipo up to date Android 13?
Kama haipo hivi mkuu, jaribu kuweka Vpn ya Usa ucheki update tena.Iko updated Mkuu View attachment 2527344
Still no luck MkuuKama haipo hivi mkuu, jaribu kuweka Vpn ya Usa ucheki update tena.
Pixel zote mpaka 4 zinatakiwa ziwe na February patch 2023. Pia hio psiphon usiiamini sana kama vpn,Still no luck MkuuView attachment 2527396View attachment 2527397
Na mimi hilo ndio linalonishangaza, wakati Pixel 4 wametoa End of life mwezi wa pili lakini mi bado sijapata updatesPixel zote mpaka 4 zinatakiwa ziwe na February patch 2023. Pia hio psiphon usiiamini sana kama vpn,
Safi ngoja nikaulize pixel 6,najua m/city bei zitakuwa zimechangamka kidogoNenda tu m/city utachagua duka la kuingia fanya selection ya maana na utulize kichwa unataka pixel gani
Nimejaribu kufatilia kwenye pixel help nimeona taarifa kuwa Simu ambazo ziliuzwa kupitia Google Store zitapokea update ndani ya wiki mbiliPixel zote mpaka 4 zinatakiwa ziwe na February patch 2023. Pia hio psiphon usiiamini sana kama vpn,
Toka ununue umewahi pokea update?Nimejaribu kufatilia kwenye pixel help nimeona taarifa kuwa Simu ambazo ziliuzwa kupitia Google Store zitapokea update ndani ya wiki mbili
Simu ambazo zilinunuliwa sehemu tofauti na Google Store zitachukua muda kupokea updates
Ila hawajaweka wazi maximum time ya kusubiria
Yeah nimepokea na last two weeks pia nilipata updatesToka ununue umewahi pokea update?
Basi unaweza pata kwa baadae mkuu, labsa imechelewa tu huku.Yeah nimepokea na last two weeks pia nilipata updates
Ni kweli mkuu nitaipata hiyo updates japokuwa huku mambo bado juu chini kama miguu ya fundi cherehani, mara microphone ike mara itowekeBasi unaweza pata kwa baadae mkuu, labsa imechelewa tu huku.
Nilikuwa nahofia vile vimeo vya mitandao ya simu ambayo havipati kabisa updates.