Kuna duka wanuza hizi simu kwa mwanza?Night sight google pixel 3axlView attachment 2379203
Nitafute zipoKuna duka wanuza hizi simu kwa mwanza?
How much is 4a?
Mi nilianza 3 na 3a sahivi nipo 4, mwakani January napiga 5 December 6 Pro.
Sema Google kwenye hardware wanafail. 3 battery ilivimba, 3a sio waterproof iliingia maji yaan mvua kdg sana, 4 ipo poa sema battery dogo sana bora uende 4a.
Nahitaji 6 Pro boss ipo 1.5m Inalipa maana iPhone anataka kuichomoa hii pesa lakini naona huyu Google kasifiwa sana picha zake kali
How much is 4a?
Kwangu naiuza 445,000 TU boss
View attachment 2468742
View attachment 2468744
View attachment 2468748
nifollow IG boss wangu.. haipiti miezi kadhaa itakuwa hiyo bei 😎Unyama sana ikifika 350k nishitue
Hizo Unyama kabisa nazielewa..NiMi nna 4a 5g hizi simu ni unyama sana.

Chama la iPhone ni lingine kabisa mkuu ila camera kali inaanzia 12 Pro max hii ni moto kwenye selfieNilitoka Pixel 3a nikaenda 11 ndio nimekuja 4.
3a nilinunua 350 enzi zile (mwezi wa 11 au 12 mwaka jana) iphone 11 nikanunua Mil 1.2 (Mwezi wa 2 au 3) na Pixel 4 nimenunua 520 Mwezi wa 8.
Kusema kweli thamani ya Mil 1 na zaidi sikuiona. Especially kwa mimi ambae kifaa pekee cha Apple ni iPhone.
Ila kama una airpods, Apple watch, Mac, Apple TV etc ndio iPhone itafaa.
Pia kwenye picha, kusema kweli iPhone 11 bado sana kwa Pixel 4. Na screen ya iPhone 11 sio nzuri ata compare na iPhone X. Kuna watu uwa wanasema iPhone 11 ni upgrade ya iPhone XR na sio XS.
Sema iPhone kingine jiwe, ukiiangusha ina possibility kubwa ya kusurvive ila huyu Pixel naogopa nahisi akienda chini, msiba.
Pixel inayokaa na chaji ni 5A tu,VP kwenye betri mkuu,kwa sisi tunaoshika simu kila Mara na data on muda mwingi inavumilia at least 12 hours?
Nina google pixel 3 xl aisee unyama ni mwingi sana.Asante Chief-Mkwawa ,tatizo hapo kwenye 5 na kuelendelea panakuwa pamechangamka bei kidogo,ngoja nitaanzia hapo hapo kwenye 3axl,km nitapata changamoto ya chaji nitakuwa na kitochi kama back up mkuu,barikiwa sana![]()
Kunakipindi nilikuomba ushauri wa sim yenye camera kali ukanishauri nichukue Redmi note 10 duh! Nilivyoenda dukani nikaikuta bei imechangamka sana mpaka nikajichanganya nikachukua Redmi 10Pixel inayokaa na chaji ni 5A tu,


. Nilivyo chukuaga Google pixel nikajiuliza huyu Chief-Mkwawa kwanini hakunishauri kuhusu Google pixel?