Yah ni kweli znaendana karibu kila kitu


sijui shida nn. Chief-MkwawaAngalia network setting kama ipo manual ama Auto,Jamani hii google pixel niliyo inunua juzi kati inaniletea wenge et nikichomeka line inasoma vizur tena network ipo saafi ila nikisafiri simnajua njian network huwa jam hata nifike kwenye kituo chenye mtandao haishiki tenasijui shida nn. Chief-Mkwawa
Xz1 sio nzuri kama Xz1 compact hasa ukaaji chaji. Sema Xz1 compact camera yake ni average sana.Mwenye uzoefu na hizi Sony experia xz1 zimekuwa nyingi mtaani refublished kutoka japan
Ipo automatic kakaAngalia network setting kama ipo manual ama Auto,
5a ndio inakaa na chaji.Vip ukaaji wa chaji pixel 5,msaada .
Oky sorry kwa hiyo pixel 5 kama ukicharge asbh huwezi charge tena usiku kama data iko on mara kwa mara,haiwez kustahimili?5a ndio inakaa na chaji.
Inategemea na matumizi, kwa matumizi ya kawaida itakaa na chaji siku nzimaOky sorry kwa hiyo pixel 5 kama ukicharge asbh huwezi charge tena usiku kama data iko on mara kwa mara,haiwez kustahimili?
Oky thanks broInategemea na matumizi, kwa matumizi ya kawaida itakaa na chaji siku nzima
Nimecheki online ni google wenyewe wamezingua, update simu mpaka November security patch, kuna baadhi fix wamepata kwenye hii update mpya, otherwise subiria.Ipo automatic kaka

Badili seting weka auto 2g na 3g. Ondoa wdm only katika net seting zakoJamani hii google pixel niliyo inunua juzi kati inaniletea wenge et nikichomeka line inasoma vizur tena network ipo saafi ila nikisafiri simnajua njian network huwa jam hata nifike kwenye kituo chenye mtandao haishiki tenasijui shida nn. Chief-Mkwawa
Wewe pekee Ako kariakoo nzima ndo unauza pixel bei poa Leo nimeenda pale china plaza bei nilizokutana nazo utalia 3xl haikamatiki alafu wanasema waarabu hawaleti mizigo 3a TU 290k imagine ningejua ningekuja kukuungisha hapo mkuu nimeenda pale uhuru underground Kuna mpemba kanipa kwa 310k 3xlSIMU JUMLA
_______________________________
S7 edge 1sim 230
S6 edge+ 220
S6 edge pindot 190
S6 edge clean 200
s8 clean 270
s 9 Clean 290
s9+ Clean 360
s10 Clean 460
s10+ Clean 550
note 8 Clean 1sim 360
note 8 clean 2sim 370
note 9 Clean 1sim 450
note 9 Clean 2sim 460
note 10 Clean 590
note 10+ clean 780
s10 pindot 450
s10+ pindot 490
s10 (5G) pindot 540
note 10 pindot 520
note 10+ pindot 620
-
F1s - 115
A57 - 120
Y 67 - 125
vivo compact - 120
Xz2 premium - 260
Xz3 - 260
R2 compact - 160
Z 5 - 130
-
Google Pixel 3a - 260
Google pixel 3xl - 330
Google pixel 3axl - 300
Google pixel 4 - 410
Google pixel 4xl (64 )- 470
Google pisexl 4xl (128)- 580
Google pixel 6 - 1,300M
Gooogle pixel 6 pro -1,700M
Nahitaji 6 Pro boss ipo 1.5m Inalipa maana iPhone anataka kuichomoa hii pesa lakini naona huyu Google kasifiwa sana picha zake kaliSIMU JUMLA
_______________________________
S7 edge 1sim 230
S6 edge+ 220
S6 edge pindot 190
S6 edge clean 200
s8 clean 270
s 9 Clean 290
s9+ Clean 360
s10 Clean 460
s10+ Clean 550
note 8 Clean 1sim 360
note 8 clean 2sim 370
note 9 Clean 1sim 450
note 9 Clean 2sim 460
note 10 Clean 590
note 10+ clean 780
s10 pindot 450
s10+ pindot 490
s10 (5G) pindot 540
note 10 pindot 520
note 10+ pindot 620
-
F1s - 115
A57 - 120
Y 67 - 125
vivo compact - 120
Xz2 premium - 260
Xz3 - 260
R2 compact - 160
Z 5 - 130
-
Google Pixel 3a - 260
Google pixel 3xl - 330
Google pixel 3axl - 300
Google pixel 4 - 410
Google pixel 4xl (64 )- 470
Google pisexl 4xl (128)- 580
Google pixel 6 - 1,300M
Gooogle pixel 6 pro -1,700M
Hapana mkuuNahitaji 6 Pro boss ipo 1.5m Inalipa maana iPhone anataka kuichomoa hii pesa lakini naona huyu Google kasifiwa sana picha zake kali