Kwa watumiaji wa Google Pixel

Kwa watumiaji wa Google Pixel

Mimi nataka simu inayokaa chaji haijalishi itakua brand gani
Ndo unasem umetumia 4A je 4A 5g version uliwah kutumia je 4XL? ilikuwa haikai chaji ulijarib 3axl kweny series za 3 nayo haikukaa chaji labda nikupe pole sana labda ww hizo infinix ndio unazipenda ila hupendi sim bora usimwamshe alielala
Hata samsung alitokea huko huko siku hiz wanajitahid iphone nae alitokea uko uko sim zao zilikuwa kam fridge ila ni moja ya brand bora sana kwaiy sim kukaa na chaji haimanish ni bora na kutokukaa haimaanish sio bora pixels wako kweny mapinduz taratib naona wanabadilik ukifuatilia kuanzia sim yao ya kwanza ya pixel na pixel XL mwaka 2016 zilikuwa hazikai chaji kabisa ila ukizifuatilia utaona mabadiliko mdogo mdog mtazikubal tu siku moja
 
Ndo unasem umetumia 4A je 4A 5g version uliwah kutumia je 4XL? ilikuwa haikai chaji ulijarib 3axl kweny series za 3 nayo haikukaa chaji labda nikupe pole sana labda ww hizo infinix ndio unazipenda ila hupendi sim bora usimwamshe alielala
Hata samsung alitokea huko huko siku hiz wanajitahid iphone nae alitokea uko uko sim zao zilikuwa kam fridge ila ni moja ya brand bora sana kwaiy sim kukaa na chaji haimanish ni bora na kutokukaa haimaanish sio bora pixels wako kweny mapinduz taratib naona wanabadilik ukifuatilia kuanzia sim yao ya kwanza ya pixel na pixel XL mwaka 2016 zilikuwa hazikai chaji kabisa ila ukizifuatilia utaona mabadiliko mdogo mdog mtazikubal tu siku moj

Unaweza nionesha wapi nimesema google pixel sio Bora?
 
Wewe umesem umetok pixel kwend infiniksi sabb ya chaji nikakuuliz 4 varients za pixel ziko nne yani 4 plain 4xl 4a na 4a 5g(hii ilitokan baadae kipind pixel 5)ulitumia zote je ukuona utofaut kabisa au kutokujua nikja kuuliz kweny 3 series ziko 4 yani 3 plain 3xl 3a 3aXL(hii inakaa chaji kulik zote kwa 3 series) zote ulitumia hiz nne haya uliwah kujarib pixel 5 ziko 5 plain na 5A hizo zote ni kiboko hasa 5A umejarib 6 huku ni moto mwingin ninachaji mara moja kwa siku 6 plain 6pro na 6a(huyu ni mtoto mweny mambo ya kikubwa)
Kama hauna ufaham na kitu ni bora kuuliz na kujifunza kulik kujidai unajua
 
Mtu hawezi kutumia iphone xs max yake ilikuwa kimeo haikai chaji akahamia brand ingine akaanza kutukan iphone zote kuwa sio nzuri

Au umetumia samsung s4 au s6 edge unaanza kusem samsung kuwa hazikai chaji

Vivyo hivyo kwa pixels
Katika series za chini Yani 4 kwenda chini sijawahi kuona series kama 3xl,3axl,3 zinakaaa na chaji kinoma

Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
 
Katika series za chini Yani 4 kwenda chini sijawahi kuona series kama 3xl,3axl,3 zinakaaa na chaji kinoma

Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
Ndo nilikuwa namuambia huyo mdau hapo hiz 3 series ziko vzur sanaaa na ndio nimeanz kutumia ila kweny 4 series ni 4XL na 4a 5g ziko poa sana ukija 5 kwenda juu huko ndo burudan mno
 
Mimi nataka simu inayokaa chaji haijalishi itakua brand gani
Hizi simu kama nilivyo sema hapo juu zinavyokuja kutoka nje labda uzibahatishe maana nyingi zinatekenywa ndo zinaletwa humu bongo imagine simu nyingi saivi zinatengenezwa na water resistant lakini zikija bongo hazina.

Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
 
Tukifuatisha specifications hizi simu ili betri uwe na amani nayo ni kuanzia 6 kidogo.

Nina 3XL na ni ya kipuuzi tu
 
Maoni ya busara kwa leo.

Uzi mfupi

• Kama wewe ni Fan/shabiki wa kitu au kampuni flani, unatakiwa ujue kuheshimu mawazo ya watu wengine, unatakiwa ujue kutofautisha kizuri na kibaya, unatakiwa ujue kutofautisha Facts/ukweli na Opinions/maoni.
Acha kuhoji na kubeza maamuzi ya watu, ingawa unaweza kutoa maoni yako kuhusu maamuzi yao.

• Unapoibeza kampuni nyingine kwa kufanya kitu, lakini unatetea kampuni unayoipenda kwa kufanya kitu kile kile, hiyo inamaanisha WEWE ndiye tatizo.
Kwa sababu tu simu yako ina/ilikuwa na shida flani, haimaanishi kuwa kila mtumiaji wa simu hiyo alikuwa/ana shida sawa na ya kwako.

•Kwa sababu huwezi kupata tatizo au kibaya kutoka kwenye simu yako haimaanishi kila mtu ana Experience sawa ya kwako.
 
Hizi simu kama nilivyo sema hapo juu zinavyokuja kutoka nje labda uzibahatishe maana nyingi zinatekenywa ndo zinaletwa humu bongo imagine simu nyingi saivi zinatengenezwa na water resistant lakini zikija bongo hazina.

Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
Ww umefafanua vzr kabisa hii pixel yangu ninautumia bil wasws na niko mbion kwenda kweny kweny p7 maan utamu umenikolea yani numetumia sim nying kampun nying ila pixel kwakwel ni adicted wana vioo vizur sana na iko simple mnoo nimeona kuna mdau anasem pixel 3xl ni ya kipuuzi at the same time kuna rafik yang anayo hiy na hajawah kulalamika swal la chaji tena anatak kupanda juu zaidi tatiz lako sio la mtu mwingin yoyot ndio maan sijawah kuzipondea iphon kweny swal la chaji au kushusha battery health au matatatiz mengin maan kila mtu anatumia kile kinachomfaa
 
Kuna demu mmoja aliwah kununua iphone 11 alinunua ikiwa na battery health ya 100 ndani ya wiki tatu ikashsha had kufika 84 yani ilikuwa haikai chaji kabisa akaja ofisin pale kuniuliz juu ya hilo tatiz nikamuuliz amenunua wapi hiy sim akaniambia kuna jmaa mmoja anamwamini sana anauza sim makumbusho nikamwambia hiy sim ni refurb na huenda ilifanyiwa maintainance kweny upande wa battery ila sio kila iphone 11 ina tatiz la chaji sio kwel akaenda kubadil akapewa ile ile tena ya 128 internal kutoka 64 saiv anasem hiy ina afdahl kulik aliyorudisha
NB:unaponunua simu hiz unaambiwa kutok dubai zipo katika grade ni vzr kama unataka kununua pixel nunua yenye grade A++ hapa utaifaid pixel haijalisha ni model gani
 
Hebu tuoneshe sampo ya picha ya potrait ya hiy 7 ya marekani na mm nikuoneshe sampo ya 4xl no editing tukimaliz tutahamia 6pro na 13 pro max
Na hizo nilipiga then nikaziaplod messenger halafu nikazidownload Tena haya leta hiyo pixel yako.View attachment 2643393View attachment 2643394
received_1398480124297845.jpg


Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom