Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,369
- 1,336
Sema
Hiyo simu umesharekebisha
Sema
Bado, nimeamua kuiweka pembeni kwanza afu siku nikitulia niitengeneze nimpe zawadi mzaziHiyo simu umesharekebisha
Bado, nimeamua kuiweka pembeni kwanza afu siku nikitulia niitengeneze nimpe zawadi mzazi
Mkuu ishu ya simu kuweka alama ya kiulizo niliipeleka kwa fundi akairekebisha na akasema tatizo ni connector ya batteryOky hiy ni battery imechomoka ukiweza ifungua chomeka battery
Inawezekana hajaifunga fresh, ifungue uifunge tenaMkuu ishu ya simu kuweka alama ya kiulizo niliipeleka kwa fundi akairekebisha na akasema tatizo ni connector ya battery
Ila saizi inagoma kusoma line inaandika temporarily unavailable
View attachment 2574506
Na face unlock nayo imezinguaView attachment 2574508
Halafu na Camera nayo inaonesha portrait yani kitu cha mbali haiwezi kuona mpaka ukisogelee karibu usawa wa nusu mita ndio itaonesha full details
Tatizo la face unlock ndio lilioelekea line iache kusoma baada ya kyi reboot simu ili ku fix hiyo face unlock
Hilo ni jaribio la ku-solve tatizo gani kati ya hayo matatu?Inawezekana hajaifunga fresh, ifungue uifunge tena
NetworkHilo ni jaribio la ku-solve tatizo gani kati ya hayo matatu?
Mkuu ishu ya simu kuweka alama ya kiulizo niliipeleka kwa fundi akairekebisha na akasema tatizo ni connector ya battery
Ila saizi inagoma kusoma line inaandika temporarily unavailable
View attachment 2574506
Na face unlock nayo imezinguaView attachment 2574508
Halafu na Camera nayo inaonesha portrait yani kitu cha mbali haiwezi kuona mpaka ukisogelee karibu usawa wa nusu mita ndio itaonesha full details
Tatizo la face unlock ndio lilioelekea line iache kusoma baada ya kyi reboot simu ili ku fix hiyo face unlock
Mfuniko wake kuutoa ni mpaka vifaa maalumu (compressor)Network
Kwa hiyo bado hujawa fundi?Mafundi simu wengi sio mafundi mimi nina miaka mitatu now ndio naanza kusomea ufundi simu online nikaona kweli mafundi sio
Kwa hiyo bado hujawa fundi?
Maana hapo naona line inasoma lakini haishiki mtandaoMfuniko wake kuutoa ni mpaka vifaa maalumu (compressor)
Maana hapo naona line inasoma lakini haishiki mtandao
Tatizo hilo lilianza baada ya ku-restart simu, awali ilikuwa vizuriMaana hapo naona line inasoma lakini haishiki mtandao
Basi ni vizuri kuanza na software kama ku reset networks settings, ikizingua fanya factory resetTatizo hilo lilianza baada ya ku-restart simu, awali ilikuwa vizuri
Hilo tatizo limekaa katikati ila ni rahisi kuanza na software, ikikataa ndo unakuja kwenye hardwareNa hapo inaweza kua hardware au software !??
Nimefanya vyote hivyo lakini bado tatizo liko vilevileBasi ni vizuri kuanza na software kama ku reset networks settings, ikizingua fanya factory reset
Umejificha hukuNimefanya vyote hivyo lakini bado tatizo liko vilevile

