Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,780
Chaji nachajisha mara 2 kwa siku, yaani napo nacheza online games Dream league 23 na Boom beach. Nisipo cheza game inakaa siku nzima.Chaji yake VP mkuu,?
Chaji nachajisha mara 2 kwa siku, yaani napo nacheza online games Dream league 23 na Boom beach. Nisipo cheza game inakaa siku nzima.Chaji yake VP mkuu,?
Mpya vs Used.Kunakipindi nilikuomba ushauri wa sim yenye camera kali ukanishauri nichukue Redmi note 10 duh! Nilivyoenda dukani nikaikuta bei imechangamka sana mpaka nikajichanganya nikachukua Redmi 10. Nilivyo chukuaga Google pixel nikajiuliza huyu Chief-Mkwawa kwanini hakunishauri kuhusu Google pixel?
Nimechukua used Google pixel 3 xl tangu mwezi wa 10 mwaka jana mpaka sasa naona ipo poa tu labda inibumie huko mbele, kiukweli ina camera kali sana mpaka wateja wa picha wana furahia picha kung'aa vile nahivi niwasukuma!Mpya vs Used.
Flagship zote used zina camera nzuri sio Pixel tu iwe Samsung, Iphone, Sony, LG, Oneplus etc lakini issue zinakuwa ni refurbished, na kununua Refurbished bongo ni kama Kubet.

Ukibahatisha ipo poa sanaNimekupata boss wangu,hii kitu inanifaa kabisa,![]()
Kama sio Refurb ina maana ununue kwa mtu mkononi ambae alinunua Mpya.Ni sehemu gani bongo naweza Pata flagship za miaka 3 ya nyuma og ambazo sio refurbished
njoo tufanye biashara boss wangu ulikuwa unahitaji flagship gani? mim nauza OG used na sio refurb.. online store cheki "eli_dealz" instagram au njoo whatsappNi sehemu gani bongo naweza Pata flagship za miaka 3 ya nyuma og ambazo sio refurbished
Kwa sababu alitaka ununue simu mpya yenye mahitaji uliyotaka.Kunakipindi nilikuomba ushauri wa sim yenye camera kali ukanishauri nichukue Redmi note 10 duh! Nilivyoenda dukani nikaikuta bei imechangamka sana mpaka nikajichanganya nikachukua Redmi 10. Nilivyo chukuaga Google pixel nikajiuliza huyu Chief-Mkwawa kwanini hakunishauri kuhusu Google pixel?
Hii sim haijawahi niletea shida yeyote, ila Chief-Mkwawa huwa namkubali sana kwenye ushauri .Kwa sababu alitaka ununue simu mpya yenye mahitaji uliyotaka.
Kama ni simu used kuna option nyingi tu zenye kamera kali ila zina shida kibao
Mkuu hujawahi ku experience tatizo la microphone bug kwenye Google pixel baada ya kufanya update?Kama sio Refurb ina maana ununue kwa mtu mkononi ambae alinunua Mpya.
Inaonekana ni hardware issue kwa upande wa Pixel yako.. sijawahi experience hii kitu, na mimi nimtumiaji wa Pixel mzuri tu kwa miaka 5 sasaMkuu hujawahi ku experience tatizo la microphone bug kwenye Google pixel baada ya kufanya update?
Hii ishu imekuwa kero sana, yani simu kuongea ni mpaka uweke loud, uki test kwenye audio recorder bado mic haifanyi kazi
Mpaka kwenye video recorder ndio mic inafanya kazi na pengewe ukiwa unarekodi kupitia camera ya nyuma, ukirekodi kwa kamera ya mbele utapata sauti mbovu sana.
Kuna muda microphone inafanya kazi vizuri yani kila idara bila mkwamo ila haichukui muda mrefu tatizo linajurudia tena.
This is too annoying
Sio hardware maana ingekuwa hivyo hata video recorder isingefanya kazi, na bado kusingekuwa na muda ambayo inarudi katika ubora wakeInaonekana ni hardware issue kwa upande wa Pixel yako.. sijawahi experience hii kitu, na mimi nimtumiaji wa Pixel mzuri tu kwa miaka 5 sasa
Sina Pixel mkuu, nimecheki online Pixel zina Microphone mbili (pengine sio pixel zote), microphone ya juu kwa Ajili ya Video na ya chini kwa ajili ya Sauti za kawaida.Mkuu hujawahi ku experience tatizo la microphone bug kwenye Google pixel baada ya kufanya update?
Hii ishu imekuwa kero sana, yani simu kuongea ni mpaka uweke loud, uki test kwenye audio recorder bado mic haifanyi kazi
Mpaka kwenye video recorder ndio mic inafanya kazi na pengewe ukiwa unarekodi kupitia camera ya nyuma, ukirekodi kwa kamera ya mbele utapata sauti mbovu sana.
Kuna muda microphone inafanya kazi vizuri yani kila idara bila mkwamo ila haichukui muda mrefu tatizo linajurudia tena.
This is too annoying
Naskia haiingii maji ni kweli?Nina google pixel 3 xl aisee unyama ni mwingi sana.
Ok nashukuru kwa respond yako ya haraka ila kabla sijaenda kwenye hiyo link nilikuwa nataka nikukumbushe kuwa hiyo microphone ambayo inakata sauti wakati wa maongezi ya simu, kuna muda inajirudi inafanya kazi vizuri tuSina Pixel mkuu, nimecheki online Pixel zina Microphone mbili (pengine sio pixel zote), microphone ya juu kwa Ajili ya Video na ya chini kwa ajili ya Sauti za kawaida.
Pengine moja ya Microphone zako haifanyi kazi inafanya ya video.
Kuna Weird solution nimeiona download hii app halafu ifungue, inasolve hilo tatizo
![]()
Tuner - gStrings - Apps on Google Play
gStrings - a chromatic tuner for the guitar, violin, or any other instrument.play.google.com
3xl Ina picha kali kuliko iPhone 7,8, plus na x Na Xr wote wanaufyata kwa pixel 3Nimechukua used Google pixel 3 xl tangu mwezi wa 10 mwaka jana mpaka sasa naona ipo poa tu labda inibumie huko mbele, kiukweli ina camera kali sana mpaka wateja wa picha wana furahia picha kung'aa vile nahivi niwasukuma!![]()
Jaribu hio app mkuuOk nashukuru kwa respond yako ya haraka ila kabla sijaenda kwenye hiyo link nilikuwa nataka nikukumbushe kuwa hiyo microphone ambayo inakata sauti wakati wa maongezi ya simu, kuna muda inajirudi inafanya kazi vizuri tu
Na hili nimejaribu kuangalia kwenye community ya pixel nimeona wengi wakilalamika.
Kuna baadhi walipewa zile secret code walivyoingiza ika fix lakini wengine ikagoma
Hii app kuna hatua gani ya kufanya baada ya kuifungua?Sina Pixel mkuu, nimecheki online Pixel zina Microphone mbili (pengine sio pixel zote), microphone ya juu kwa Ajili ya Video na ya chini kwa ajili ya Sauti za kawaida.
Pengine moja ya Microphone zako haifanyi kazi inafanya ya video.
Kuna Weird solution nimeiona download hii app halafu ifungue, inasolve hilo tatizo
![]()
Tuner - gStrings - Apps on Google Play
gStrings - a chromatic tuner for the guitar, violin, or any other instrument.play.google.com
App nimeifungua ila sijajua hapo ilipo ndio inafanya kazi au kuna kitu kingine cha ziada natakiwa kukifanyaJaribu hio app mkuu
Basi tu unaifungua, then simu inafaa. Umejaribu kutumia mic ulipoifungua?App nimeifungua ila sijajua hapo ilipo ndio inafanya kazi au kuna kitu kingine cha ziada natakiwa kukifanya
Unashauria kwa simu za Google Pixels baada tu ya ku update fanya kureset/factory format ili zile updates zitake changes... Nmeona wengi wanadai hii njia inasaidia sana endapo ukimaliza ku update afu simu ikazingua fanya kubackup vitu muhimu kisha reset itakaa sawa... Ukiona inazingua bado just roll back version ya nyuma/downgrade OS.Mkuu hujawahi ku experience tatizo la microphone bug kwenye Google pixel baada ya kufanya update?