Kwa watumiaji wa Google Pixel

Kwa watumiaji wa Google Pixel

Hii pixel 4xl mnaisifia sana lakini nina jamaa ina mwaka tu picha zake sio kama mwanzo

Lakini yangu iPhone 13 Pro max moto ule ule mwanzo mwisho

Watumiaji wa Google jifunzeni huwezi kununua simu in cheap price halafu iwe na sifa zote mbili

Kudumu
Ubora
Hakuna kitu kama hicho picha kupungua ubora kwenye Google Pixel
 
Hii pixel 4xl mnaisifia sana lakini nina jamaa ina mwaka tu picha zake sio kama mwanzo

Lakini yangu iPhone 13 Pro max moto ule ule mwanzo mwisho

Watumiaji wa Google jifunzeni huwezi kununua simu in cheap price halafu iwe na sifa zote mbili

Kudumu
Ubora
Acha uongo. Kamera ya Google Pixel 4XL inasifiwa sana kwa sababu inastahili hizo sifa
Huwezi kuniambia kamera ya Google Pixel 4XL ni mbaya, hata kama unatumia S23 Ultra bado kamera ya Pixel 4XL ni nzuri, haijalishi simu yako imeizidi au la

Sasa kwa kuwa simu yako inatoa picha kali kuliko Google Pixel 4 XL ndio useme kamera ya Google Pixel 4 XL sio nzuri???

Hatukatai iPhone 13 Pro Max inatoa picha kali, lakini kamera ya Google Pixel 4 XL sio mbaya kwa namna yoyote ile. Sio mbaya hata kidogo
 
Kuna kitu wabongo wengi hamkijui,hizi simu za bongo nyingi ni za mpalaso.

Zimetoka zilikotoka na majanga mbali mbali,wewe unakutana na iphone ina majanga usimalize maneno,nina xs max hapa camera ya mbele ilishikwa na fundi,sasa ukiiona utasema hii simu ina camera mbaya kuliko infinix zote ulizowahi kushika.

Hiyo pixel xl ya jamaa yako inawezakuwa inafall hapo,endelea kuchunguza utakuja kuelewa.

Kuna ule uzi wa google camera bora kwa smartphone yako,watu wana install mod ktk simu mbali mbali ili wapige picha nzuri,sijui nani akatuma picha OG ya pixel xl kampiga paka,uzi mzima tukaanza kuona tunacheza tu mule.
 
Mnyonge mnyongeni pixel kweny camera ametisha san na atazid kutisha ninae pixel 6 pro kwakwel nisiseme sana
 
Toka asubuh saa kumi na 12 sijazima data ina asilimia hizo
Screenshot_20230531-163855~2.jpg
 
Acha uongo. Kamera ya Google Pixel 4XL inasifiwa sana kwa sababu inastahili hizo sifa
Huwezi kuniambia kamera ya Google Pixel 4XL ni mbaya, hata kama unatumia S23 Ultra bado kamera ya Pixel 4XL ni nzuri, haijalishi simu yako imeizidi au la

Sasa kwa kuwa simu yako inatoa picha kali kuliko Google Pixel 4 XL ndio useme kamera ya Google Pixel 4 XL sio nzuri???

Hatukatai iPhone 13 Pro Max inatoa picha kali, lakini kamera ya Google Pixel 4 XL sio mbaya kwa namna yoyote ile. Sio mbaya hata kidogo
Kwanza inabid afahamu afany comparison ya sik zilizotoka mda mmoja hiy 13 pro max aje tuingie mpamban na hii p6 pro yangu tuone kama atafua dafu ndo zimetok mda mmoja hiy 4XL apambanishe na iphone 11 pro max tuon kam atausogelea huo moto 4XL na kwa hesabu za hark harak nina uhakik 4xl inaizid had iphone 12 ubora wa picha kama anabisha tupange dm tukutane site tupige picha za vitu mbali mbali iwe mchan na usiku afu tutaleta mrejesho hapa
 
Hii pixel 4xl mnaisifia sana lakini nina jamaa ina mwaka tu picha zake sio kama mwanzo

Lakini yangu iPhone 13 Pro max moto ule ule mwanzo mwisho

Watumiaji wa Google jifunzeni huwezi kununua simu in cheap price halafu iwe na sifa zote mbili

Kudumu
Ubora
Cha kuwashauri watu wasipende kutumia simu aina Moja miaka nenda Rudi tu wewe una kalili Samsung switch na baadhi ya simu uzijue.
 
Kwanza inabid afahamu afany comparison ya sik zilizotoka mda mmoja hiy 13 pro max aje tuingie mpamban na hii p6 pro yangu tuone kama atafua dafu ndo zimetok mda mmoja hiy 4XL apambanishe na iphone 11 pro max tuon kam atausogelea huo moto 4XL na kwa hesabu za hark harak nina uhakik 4xl inaizid had iphone 12 ubora wa picha kama anabisha tupange dm tukutane site tupige picha za vitu mbali mbali iwe mchan na usiku afu tutaleta mrejesho hapa
bro unafurahisha hiyo 12 ni version ya nchi gani kama ni ya china sibishi Yani ulete hiyo pixel 4xl mpyaa Yani brand new na I 12promax brand new zichuane 4xl ashinde????
 
Mimi huwa sibishanagi mtandaon tukutane site tupeane namba tena tutapiga zote night mode na za day njoo na hiy kum na mbili mm nitachukua hiy 4xl sinaga manen ya kanga afu usitafute sabb baadae kusema picha zinapungua ubora
 
Some time hizi bana na ubora kiujumla inetegemea na zimekujaje kutoka huko nje maana zikishatekenywa tu yani kuwa refurbished hapo hamna Tena simu niliwahi kuwa na 7+ Moja nimeiuza tu mwaka Jana haikuwahi kufunguliwa na Us version ilikuwa inawasha picha x,xs haziingii kwahiyo ndo hivyo.
 
bro unafurahisha hiyo 12 ni version ya nchi gani kama ni ya china sibishi Yani ulete hiyo pixel 4xl mpyaa Yani brand new na I 12promax brand new zichuane 4xl ashinde????
Nimeenda hili battle na watu wengi wa iphone hawajafua dafu kidgo oneplus models niliona wana maajabu ila sio iphone
 
Nimetumia google pixel 3A 4A na 4xl sahizi nimerudi zangu kwenye Infinix😀😀 hizo zote zilikua pasi betri haikai
 
Some time hizi bana na ubora kiujumla inetegemea na zimekujaje kutoka huko nje maana zikishatekenywa tu yani kuwa refurbished hapo hamna Tena simu niliwahi kuwa na 7+ Moja nimeiuza tu mwaka Jana haikuwahi kufunguliwa na Us version ilikuwa inawasha picha x,xs haziingii kwahiyo ndo hivyo.
Hebu tuoneshe sampo ya picha ya potrait ya hiy 7 ya marekani na mm nikuoneshe sampo ya 4xl no editing tukimaliz tutahamia 6pro na 13 pro max
 
pixels wafanye maboresho kweny maeneo machache hasa kweny processor zao hii android skin ibaki hiv hiv pure android wasitoe matoleo meng ya sim wabaki kweny version zao tatu tu hizo hizo yani A plain na pro waendele kutupa burudani wachache
 
Back
Top Bottom