Kwa watumiaji wa Google Pixel

Kwa watumiaji wa Google Pixel

Sio hardware maana ingekuwa hivyo hata video recorder isingefanya kazi, na bado kusingekuwa na muda ambayo inarudi katika ubora wake
Pixel ina microphone zaidi ya moja.. kuna mic moja iko nyuma kwa ajili ya video recording too, inawezekana ndo maana ukifanya video record.. iko sawa.. mic za mbele itakuwa ina shida, haya yote unaweza ku prove uki reset simu.. baada ya kureset simu na still ni same issue... asilimia kubwa ni hardware failure.
 
Kuhusu update hii ipo sawa pia.. officially ndio latest na last update kwa Pixel 4 ni February 2023,, ila katika Pixel kwenye updates zote zinaonyesha October 2022.. ata yangu pia inaonyesha hivyo... haya maelezo yamaeleweshwa hapa.

"If you're a Pixel 4 or Pixel 4 XL owner, you'll be happy to know that Google has pushed out one final update for the smartphones. Although the OTA download was thought to contain the latest February 2023 security patch, users are not seeing a change in the security version, as it still shows up with the October 2022 date. Despite this, there could be something new in the download, but we won't know until further details about the update are revealed.

The Pixel 4 and Pixel 4 XL were originally released back towards the tail end of 2019, and were the first Pixel handsets to be offered by all major US wireless carriers in the United States. At the time, Google promised three years of OS and security updates for the Pixel 4 and Pixel 4 XL. Although the handsets would start life with Android 10, they would eventually be updated to Android 13. The pair would officially reach its end-of-life (EOL) in October 2022, when it received its final guaranteed over-the-air update.

Despite its products going EOL, Google has been known in the past to deliver one final update outside a device's guaranteed update, and in the case of the Pixel 4 and Pixel 4 XL, that final download has now arrived to devices. The update comes in as software version TP1A.221005.002.B2 for the Pixel 4 and Pixel 4 XL. If you are still using either handset, the final update should be rolling out to your device now. If you don't see if, just be patient, as it could take some time to roll out to all devices."
 
Simu ambazo zilinunuliwa nje ya Google Store zitachelewa kupokea updates

BTW Nashukuru kwa muongozo wako, ila tatizo langu sio hardware ni software bugs na ndio maana kuna muda inakuja na kuna muda inakata
 
Kama ingekuwa software... test kuiflash kabisa na weka latest build.. baada ya hapo ndo utapata jibu kabisa.. hardware inawezekana sio imekufa kabisa ila iko defective ndo maana inakubali na kugoma sometimes.
 
Kabla ya hapo ilikuwa vizuri ila kuna updates nili download baada ya hapo kama siku kadhaa mbele ikaanza kuleta hii mizengwe

Na kuhakikisha kama ni kweli nikaenda kwenye community yao ambapo huko nimeona wengi wakiripoti tatizo kama langu
 
Poa hapo kwa ushauri wangu tu.. ni kuflash completely na latest build au kama unakumbuka version uliokuwa unatumia kabla ya hili tatizo kutokea.. weka hiyo.. kama ni software baada ya kuflash litaondoka tatizo.. ingia hapa kuflash :

mambo vip wadau?
hizi simu za google pixel ni nzuri sana ila naona kwa hapa dar wengi wanauza zile used za grade ya chini kabisa, vip kwa hapa dar ni duka gani wanauza hizi simu used za google pixel grade A??
 
Poa hapo kwa ushauri wangu tu.. ni kuflash completely na latest build au kama unakumbuka version uliokuwa unatumia kabla ya hili tatizo kutokea.. weka hiyo.. kama ni software baada ya kuflash litaondoka tatizo.. ingia hapa kuflash :

Nime download android 13 version ya mwezi 11
Screenshot_20230313-200557.png

Ili ni downgrade ila bahati mbaya Simu yangu OEM iko disabled
Screenshot_20230313-200651.png

Lakini kuna kitu kingine nimekuja kukibaini, ile february update tayari nili install, ila ni security patch hivyo haiwezi kubadilisha last update kwenye system ionekane ni February

Os version inabaki kuwa ile ile ya October 2022 ila security patch inakuja kubadilika tu kwenye build number

Pixel 4XL Final update ya Februari ina code hii "TP1A.221005.002.B2"

Screenshot_20230313-200323.png
 
Kabla ya hapo ilikuwa vizuri ila kuna updates nili download baada ya hapo kama siku kadhaa mbele ikaanza kuleta hii mizengwe

Na kuhakikisha kama ni kweli nikaenda kwenye community yao ambapo huko nimeona wengi wakiripoti tatizo kama langu

Uko wap mkuu tujaribu kuiflash
 
Nime download android 13 version ya mwezi 11 View attachment 2549432

Ili ni downgrade ila bahati mbaya Simu yangu OEM iko disabled
View attachment 2549434

Lakini kuna kitu kingine nimekuja kukibaini, ile february update tayari nili install, ila ni security patch hivyo haiwezi kubadilisha last update kwenye system ionekane ni February

Os version inabaki kuwa ile ile ya October 2022 ila security patch inakuja kubadilika tu kwenye build number

Pixel 4XL Final update ya Februari ina code hii "TP1A.221005.002.B2"

View attachment 2549430

Uko mkoa gani
 
✓Namalizia mzigo Dukani Kwangu.
Google pixel 3aXL 64GB - Tsh290,000/=
Google pixel 4a 128GB - Tsh. 340,000/=
Google pixel 6 128GB - Tsh. 730,000/=
Google pixel 6a 128GB - Tsh. 680,000/=
Google pixel 7 128GB - Tsh. 1,380,000/=
Google pixel 7pro 128GB - Tsh. 1,780,000/=
✓ Endapo utahutaji Nicheki 0688-877 677 au 0659-417 330. Nipo Dar es salaam.
Karibuni Wote
NB: Pia SAMSUNG's Aina zote Zipo
 
Sina Pixel mkuu, nimecheki online Pixel zina Microphone mbili (pengine sio pixel zote), microphone ya juu kwa Ajili ya Video na ya chini kwa ajili ya Sauti za kawaida.

Pengine moja ya Microphone zako haifanyi kazi inafanya ya video.

Kuna Weird solution nimeiona download hii app halafu ifungue, inasolve hilo tatizo

Kuhusu update hii ipo sawa pia.. officially ndio latest na last update kwa Pixel 4 ni February 2023,, ila katika Pixel kwenye updates zote zinaonyesha October 2022.. ata yangu pia inaonyesha hivyo... haya maelezo yamaeleweshwa hapa.

"If you're a Pixel 4 or Pixel 4 XL owner, you'll be happy to know that Google has pushed out one final update for the smartphones. Although the OTA download was thought to contain the latest February 2023 security patch, users are not seeing a change in the security version, as it still shows up with the October 2022 date. Despite this, there could be something new in the download, but we won't know until further details about the update are revealed.

The Pixel 4 and Pixel 4 XL were originally released back towards the tail end of 2019, and were the first Pixel handsets to be offered by all major US wireless carriers in the United States. At the time, Google promised three years of OS and security updates for the Pixel 4 and Pixel 4 XL. Although the handsets would start life with Android 10, they would eventually be updated to Android 13. The pair would officially reach its end-of-life (EOL) in October 2022, when it received its final guaranteed over-the-air update.

Despite its products going EOL, Google has been known in the past to deliver one final update outside a device's guaranteed update, and in the case of the Pixel 4 and Pixel 4 XL, that final download has now arrived to devices. The update comes in as software version TP1A.221005.002.B2 for the Pixel 4 and Pixel 4 XL. If you are still using either handset, the final update should be rolling out to your device now. If you don't see if, just be patient, as it could take some time to roll out to all devices."

Kama ingekuwa software... test kuiflash kabisa na weka latest build.. baada ya hapo ndo utapata jibu kabisa.. hardware inawezekana sio imekufa kabisa ila iko defective ndo maana inakubali na kugoma sometimes.

Poa hapo kwa ushauri wangu tu.. ni kuflash completely na latest build au kama unakumbuka version uliokuwa unatumia kabla ya hili tatizo kutokea.. weka hiyo.. kama ni software baada ya kuflash litaondoka tatizo.. ingia hapa kuflash :

Feedback

Simu yangu baada ya kusumbua Microphone wiki iliyopita niliiangusha ikaangukia mgongo hivyo kioo hakikupasuka ila haikuwaka ikawa ukiiwasha inaweka alama ya kiulizo kwenye battery.
1680361756085.png

Nilipeleka kwa fundi akasema connector ya battery iliachia, akaifunga na kila kitu kikawa fresh.

Nilipoichukua kutoka kwa fundi nikaikagua kama kila kitu kiko fresh kujiridhisha na kweli hakukua na dosari.

Nimeitumia simu vizuri ila kuna muda ikaanza ku stuck kwenye face unlock nikajaribu ku trouble shoot wakani recommend ni restart, nilipojaribu kui-restart ilipo reboot tu laini ikaacha kusoma.

Upande wa line ikawa inaandika temporary unavailable na kwenye network bar inaweka alama ya (!)

*****************
Nimenunua simu nyingine kama ile ile na nimefanya update zote na hakuna bugs zozote nilizokutana nazo.

Nawashukuru kwa muongozo wenu na ushirikiano mlionipa wadau...keep it up
 
Feedback

Simu yangu baada ya kusumbua Microphone wiki iliyopita niliiangusha ikaangukia mgongo hivyo kioo hakikupasuka ila haikuwaka ikawa ukiiwasha inaweka alama ya kiulizo kwenye battery.View attachment 2573147

Nilipeleka kwa fundi akasema connector ya battery iliachia, akaifunga na kila kitu kikawa fresh.

Nilipoichukua kutoka kwa fundi nikaikagua kama kila kitu kiko fresh kujiridhisha na kweli hakukua na dosari.

Nimeitumia simu vizuri ila kuna muda ikaanza ku stuck kwenye face unlock nikajaribu ku trouble shoot wakani recommend ni restart, nilipojaribu kui-restart ilipo reboot tu laini ikaacha kusoma.

Upande wa line ikawa inaandika temporary unavailable na kwenye network bar inaweka alama ya (!)

*****************
Nimenunua simu nyingine kama ile ile na nimefanya update zote na hakuna bugs zozote nilizokutana nazo.

Nawashukuru kwa muongozo wenu na ushirikiano mlionipa wadau...keep it up

Mkuu
 
Back
Top Bottom