Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kazz0

Member
Mar 15, 2015
48
95
Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.

Tuambiane;

- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?
- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')
-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?

Pia:

- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?
- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?
- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?
- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)

*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!

Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!

=========

Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;

Be Strong Geum Soon
Princess Ja Myung Go
THREE DAYS (2014)
Swallow the Sun
Jumong
King Guenchoggo

=====

Links za ku-download drama za Kikorea;
- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net

======

Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread) ..

Kazi kwako.. Enjoy!
 
scalethat

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
1,004
2,000
Mbona hamkusema innocent defendant ni nzuri watu tuichek🙈😝😝
Jaman huyu kaka(main character) tofauti na kipaji cha kuigiza anakipaji cha kulia jaman.anilia humu hatari,ameniliza mpaka nimemchukia.

Series zake nilizowahi tazama ni

1.kim so too
2. Swalow of the sun
3. Kill me, hill me
4. Doctor john
5. Innocent defendant

Naombeni kama kuna kali nyingine mnayoifaham mnijuze wandugu,nikaitazame.
 
Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
173,947
2,000
Mbona balozi wa hio drama humu JF ameitangaza mpaka kakasirika na kutukimbia kisa hatujaisifia itakiwavyo

Prison playbook
Mbona hamkusema innocent defendant ni nzuri watu tuichek🙈😝😝
Jaman huyu kaka(main character) tofauti na kipaji cha kuigiza anakipaji cha kulia jaman.anilia humu hatari,ameniliza mpaka nimemchukia.

Series zake nilizowahi tazama ni

1.kim so too
2. Swalow of the sun
3. Kill me, hill me
4. Doctor john
5. Innocent defendant

Naombeni kama kuna kali nyingine mnayoifaham mnijuze wandugu,nikaitazame.
 
innocent dependent

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
5,715

scalethat Innocent defendent weka mbali na watoto ndio series yangu Bora ya Korea ya muda wote
 
Mac Alpho

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
766
1,000
Mbona hamkusema innocent defendant ni nzuri watu tuichek
Jaman huyu kaka(main character) tofauti na kipaji cha kuigiza anakipaji cha kulia jaman.anilia humu hatari,ameniliza mpaka nimemchukia.

Series zake nilizowahi tazama ni

1.kim so too
2. Swalow of the sun
3. Kill me, hill me
4. Doctor john
5. Innocent defendant

Naombeni kama kuna kali nyingine mnayoifaham mnijuze wandugu,nikaitazame.
Hiyo swalow the sun sikuona hata uzuri wake, sema ndohivyo watu tunatofautiana kwenye mitazamo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom