M Z A N Z I B A R I
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 21,690
- 117,097
unapoisifia reply 1988 huwa unazidi kunitonesha kidonda changu cha uzembe.....Hahahaha reply 1988 ilikua nzuri yaan hata kitufe cha forward nilisahau kilipo hatua kwa hatua bila kusahau scene pendwa hazikosekani mule
popote nilipokuwa napita basi hiyo drama ilikuwa inasifiwa, hatimaye nikachukua uamuzi wa kuishusha completed (episode 20).
nikaiangalia episode 1 na maisha yao ya ujamaa (nyumba ile ikipika muhogo unahamishiwa mpaka nyumba ya 5), nikavumilia mpaka episode 5 (kelele zisizoumiza zikiongozwa na familia ya mzee sung dong il hatimaye zikanishinda na drama nikaifuta).
ningelikuwa na uwezo ningeliyarekodi maisha yangu yote ya ujanani ila ndio hivyo enzi zetu hapakuwepo na camera za kumwaga🤷♂️🤷♂️🤷♂️
hivi kwa nini wengi wao hawakuvutiwa na mwisho wa hiyo drama?