Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

ALICE 2020 toka Joo won ni moja kati ya Drama nzuri alizofanya Ukiotoa Bridal Mask. Iliachiliwa siku 4 zilizopia mpaka saa Episode ndio zimeshaachiliwa.
alice-2020.jpg
 
Hata 1994 simshauri mtu nipo episode ya nne ila story bado sijaielewa. Haina mikiki mikiki haina msisimko
Reply 1988 one of the best aysee ni drama ambayo niko katika mipango ya kuirudia tena..
Hakuna episode nilicheka kama wale ahjummas walivyoenda kwenye singing competition

Nilijaribu kuanza reply 97 nikawa bored na nlivosoma review yake dramalist ndo nikaiacha kabisaaa .all the best
 
HATIMAYE NIMEFANIKIWA KUIMALIZA "SWORD AND FLOWER"
Dae huyu Yeon Gaesomn alikuwa katili kweli kama baadhi ya Drama zinavyomchora?, Ingawa humu kwenye SWORD AND FLOWER ameonyeshwa kama mzalendo na Dikteta. kwenye ile King's Dream alionyeshwa kama mtu ambaye alikuwa na mihemko sana. anyway "mshindi ndiye huandika Historia atakavyo"
Yote kwa yote HII Drama inataka kufanana na PRINCESS' MAN
 
wasemaje mjaluo wewe utokae pyongyang (lafudhi ya kipemba)?
=================
  1. yeon gaesomun alikuwa ni miongoni mwa mashujaa wa goguryeo wa kukumbukwa na vizazi (rejea ushindi wake dhidi ya Tang)
  2. yeon gaesomun pia alikuwa ni chanzo cha kuanguka kwa goguryeo kutokana na maamuzi yake ya ovyo (kwani alishindwa kusoma alama za nyakati, pia alishindwa kujenga misingi sahihi itakayoifanya foundation ya gogoryeo mpya iendelee kudumu angalau kwa karne moja) historia ya bwana yeon gaesomun itaendelea kuleta mgawanyiko wa kifikra mpaka ulimwengu utakapokwisha.
===============
mara nyingi wale wanaojivika muamvuli wa kuwa na uchungu na nchi husika ndiyo huishia kuwa madikteta wa fikra na matendo (yawe ni mema au ovu).
==============
historia yatufunza na kutukumbusha:
madaraka ni ugonjwa hatari sana kuliko ugonjwa wa kisukari ambao hukufanya ukatwe kila kiungo kilichoathirika zaidi.
na nchi yoyote itakayoendeshwa bila ya kuwepo kwa maridhiano kati ya pande zinazokinzana kimtazamo haiwezi kufanikwa kwa jambo lolote na hilo ndio liliifanya goguryeo ijikute kwenye wakati mgumu miaka yake ya mwishoni.

  • kulikuwa na upande ambao ulitaka goguryeo ianzishe mahusiano ya kirafiki na Tang kama alivyofanya kim chunchu wa SILLA (pro tang) ili kuondoa minyukano ya kila mara kati ya mataifa hayo mawili, upande huo uliongozwa na koo zenye nguvu pamoja na mfalme , waliamini goguryeo na Tang wakiwa marafiki basi mahusiano ya kisiasa, kitamaduni na kibiashara yatakuwa makubwa zaidi, kama tunavyofahamu china ndio kituo cha biashara duniani, siasa na elimu kwa kanda ya ASIA.
  • upande wa pili ni wale ambao walipinga goguryeo wasiwe na urafiki wa karibu na Tang kwa sababu waliamini kuikaribisha TANG ni hatari zaidi kwa maslahi ya goguryeo kuendelea kuwepo kwa sababu tawala zote za china ziliinyemelea goguryeo kwenye vita nyingi (rejea vita ya HAN enzi za jumong, SUI DYNASTY walipochapwa na general eulji mundeok, gwanggaeto dhidi ya ukoo wa murong xi n.k) hawa waliamini goguryeo bado ina nguvu ya kujilinda dhidi ya vitisho vya mabeberu.
=====================
wenye movie zao watuhadithia

baada ya sintofahamu ya muda mrefu na kila upande kudhamiria kusambaratishana ndipo siku moja ya mwaka 642 shujaa yeon gaesomun na wafuasi wake walifanya sherehe kwa ajili ya kumpongeza yeon gaesomun kuchaguliwa kuwa governor wa mashariki. kwenye sherehe hizo aliwaalika wapinzani wake takribani 100 na ndipo akawaua wote kwenye sherehe hiyo na baadae kuelekea ikulu ambako alimuua mfalme yeongnyu. baadae yeon gae somun akamchagua mpwa wa mfalme ambaye ni mfalme bojang awe mfalme wa 28 wa goguryeo ambaye ndie mtawala wa mwisho.

yeon gae somun akajipa cheo cha mangniji (superior commander) hivyo basi goguryeo ikawa inaendeshwa kwa akili ya mtu mmoja(de facto control) na mfalme alibaki kuwa kama mbwa koko. uwepo wa yeon gaesomun kama mkuu wa nchi kulizidi kuchochea mgogoro wa Tang na goguryeo na ndipo lishimin akajaribu kuivamia goguryeo lakini mara zote alishindwa vibaya sana.

moja kati ya ushindi mkubwa wa yeon gaesomun ni kwenye vita ya sasu river mnamo 662 baada ya kumdhibiti general Pang Xiaotai na jeshi lake, kwenye vita hiyo alimuua pang xiaotai na pia aliwachinja watoto wake 13. vita za mara kwa mara zilipelekea uchumi wa goguryeo kudorora na miaka mitatu baadae yeon gae somun alifariki dunia.

kifo cha yeon gaesomun kilichochea anguko la goguryeo kwa sababu watoto wake waliwaniana madaraka na kusahau dhamira na lengo kuu la baba yao kuwa mangniji.
=================
 
Hata 1994 simshauri mtu nipo episode ya nne ila story bado sijaielewa. Haina mikiki mikiki haina msisimko
reply 1988 nimefika episode 5............
==================
navutiwa na hizi ngumi za dada na ndugu(sijui huyu dada ni psycho)
nyumbani kwetu nilikosa ndugu wa kutwangana naye ngumi,
nilikosa ndugu wa kumuibia nguo, pesa, makeup, dawa ya mswaki hata chupi ya ndani (zipo chupi za nje wanavaa wapiganaji wa mieleka)

  1. mwanamme
  2. mwanamke
  3. mwanamke
  4. mwanamke
mama weeeeeeeee nitamuibia nani hapo?
 
Dah drama za vipenzi vyangu zimeadimika Ila Nashukuru nimeipata oh my baby2020 inasogeza siku
itafute Lie After Lie drama...
imeanza wiki hii (sijaitafuta) ila nimesoma comment za washika dau na wengi wao wamevutiwa nayo
ni ishu za kulipiza kisasi ndani yake ambapo binti anashitakiwa kwa kumuua mume wake ambaye ni mzaliwa wa familia ya mboga 10 (chaebol family)
binti anafungwa na kuzaa gerezani (mtoto wake analelewa)
je anamkomboaje mtoto wake
je anajinasuaje na shitaka la mauaji
kila Ijumaa na Jumamosi
 
Attachments

  • 1599412313858.png
    1599412313858.png
    106.8 KB · Views: 1
😂😂😂😂😂dada mtu anaogopwa mtaa mzima. Anafokea woote na kutishia kasoro kajamaa kamoja tu
reply 1988 nimefika episode 5............
==================
navutiwa na hizi ngumi za dada na ndugu(sijui huyu dada ni psycho)
nyumbani kwetu nilikosa ndugu wa kutwangana naye ngumi,
nilikosa ndugu wa kumuibia nguo, pesa, makeup, dawa ya mswaki hata chupi ya ndani (zipo chupi za nje wanavaa wapiganaji wa mieleka)

  1. mwanamme
  2. mwanamke
  3. mwanamke
  4. mwanamke
mama weeeeeeeee nitamuibia nani hapo?
 
wasemaje mjaluo wewe utokae pyongyang (lafudhi ya kipemba)?
=================
  1. yeon gaesomun alikuwa ni miongoni mwa mashujaa wa goguryeo wa kukumbukwa na vizazi (rejea ushindi wake dhidi ya Tang)
  2. yeon gaesomun pia alikuwa ni chanzo cha kuanguka kwa goguryeo kutokana na maamuzi yake ya ovyo (kwani alishindwa kusoma alama za nyakati, pia alishindwa kujenga misingi sahihi itakayoifanya foundation ya gogoryeo mpya iendelee kudumu angalau kwa karne moja) historia ya bwana yeon gaesomun itaendelea kuleta mgawanyiko wa kifikra mpaka ulimwengu utakapokwisha.
===============
mara nyingi wale wanaojivika muamvuli wa kuwa na uchungu na nchi husika ndiyo huishia kuwa madikteta wa fikra na matendo (yawe ni mema au ovu).
==============
historia yatufunza na kutukumbusha:
madaraka ni ugonjwa hatari sana kuliko ugonjwa wa kisukari ambao hukufanya ukatwe kila kiungo kilichoathirika zaidi.
na nchi yoyote itakayoendeshwa bila ya kuwepo kwa maridhiano kati ya pande zinazokinzana kimtazamo haiwezi kufanikwa kwa jambo lolote na hilo ndio liliifanya goguryeo ijikute kwenye wakati mgumu miaka yake ya mwishoni.

  • kulikuwa na upande ambao ulitaka goguryeo ianzishe mahusiano ya kirafiki na Tang kama alivyofanya kim chunchu wa SILLA (pro tang) ili kuondoa minyukano ya kila mara kati ya mataifa hayo mawili, upande huo uliongozwa na koo zenye nguvu pamoja na mfalme , waliamini goguryeo na Tang wakiwa marafiki basi mahusiano ya kisiasa, kitamaduni na kibiashara yatakuwa makubwa zaidi, kama tunavyofahamu china ndio kituo cha biashara duniani, siasa na elimu kwa kanda ya ASIA.
  • upande wa pili ni wale ambao walipinga goguryeo wasiwe na urafiki wa karibu na Tang kwa sababu waliamini kuikaribisha TANG ni hatari zaidi kwa maslahi ya goguryeo kuendelea kuwepo kwa sababu tawala zote za china ziliinyemelea goguryeo kwenye vita nyingi (rejea vita ya HAN enzi za jumong, SUI DYNASTY walipochapwa na general eulji mundeok, gwanggaeto dhidi ya ukoo wa murong xi n.k) hawa waliamini goguryeo bado ina nguvu ya kujilinda dhidi ya vitisho vya mabeberu.
=====================
wenye movie zao watuhadithia

baada ya sintofahamu ya muda mrefu na kila upande kudhamiria kusambaratishana ndipo siku moja ya mwaka 642 shujaa yeon gaesomun na wafuasi wake walifanya sherehe kwa ajili ya kumpongeza yeon gaesomun kuchaguliwa kuwa governor wa mashariki. kwenye sherehe hizo aliwaalika wapinzani wake takribani 100 na ndipo akawaua wote kwenye sherehe hiyo na baadae kuelekea ikulu ambako alimuua mfalme yeongnyu. baadae yeon gae somun akamchagua mpwa wa mfalme ambaye ni mfalme bojang awe mfalme wa 28 wa goguryeo ambaye ndie mtawala wa mwisho.

yeon gae somun akajipa cheo cha mangniji (superior commander) hivyo basi goguryeo ikawa inaendeshwa kwa akili ya mtu mmoja(de facto control) na mfalme alibaki kuwa kama mbwa koko. uwepo wa yeon gaesomun kama mkuu wa nchi kulizidi kuchochea mgogoro wa Tang na goguryeo na ndipo lishimin akajaribu kuivamia goguryeo lakini mara zote alishindwa vibaya sana.

moja kati ya ushindi mkubwa wa yeon gaesomun ni kwenye vita ya sasu river mnamo 662 baada ya kumdhibiti general Pang Xiaotai na jeshi lake, kwenye vita hiyo alimuua pang xiaotai na pia aliwachinja watoto wake 13. vita za mara kwa mara zilipelekea uchumi wa goguryeo kudorora na miaka mitatu baadae yeon gae somun alifariki dunia.

kifo cha yeon gaesomun kilichochea anguko la goguryeo kwa sababu watoto wake waliwaniana madaraka na kusahau dhamira na lengo kuu la baba yao kuwa mangniji.
=================
Hahaha Asante sana Nilikuwa nimemiss vitu vyako sana, na kimya hiki kilichagizwa na mtu mmoja anaeitwa Ndalichako, lakini kuna muda.
Ni kweli kabisa kwa jinsi nilivyoona migogoro ya ndani ya Nchi ilikuwa hatari zaidi kuliko hata Tang yenyewe, na ndicho kilichotokea kwa Shilla, Goryeo, Baekje1&2 & Yi dynasty ( Joseon). Je? hawakujinfunza Historia kushape fyucha zao?, au ndio mambo ya sheria ya asili yaani " kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho"
ila huwa naenjoy zaidi kuangalia Drama za Gogryeo au Goryeo dynasty hasa nyakati za vita.

Drama gani imemuelezea huyo General Mundoek?
 
Ni kweli kabisa kwa jinsi nilivyoona migogoro ya ndani ya Nchi ilikuwa hatari zaidi kuliko hata Tang yenyewe, na ndicho kilichotokea kwa Shilla, Goryeo, Baekje1&2 & Yi dynasty ( Joseon). Je? hawakujinfunza Historia kushape fyucha zao?, au ndio mambo ya sheria ya asili yaani " kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho"
wanasiasa hawaiogopi historia pindi wanapohitaji kutimiza matakwa yao ila wanaipenda sana historia pindi wanapojitokeza wanaharakati hasi wanaohitaji kuwapokonya keki zao

(musiwachague wale wana ukhanithi (maalim seif voice)......... wataleta uconfucianism ndani ya nchi wakiongozwa na beberu la pyongyang linaloitwa the great (chattle voice))
=========================

Drama gani imemuelezea huyo General Mundoek?
sidhani kama ipo drama inayozungumzia kwa uwazi maisha ya huyo general.......
drama inayoitwa yeon gaesomun uhusika wa eulji mundeok ulikuwepo, pia drama ya dae jo yeong takribani mara tatu alizungumziwa huyo mzimu (na general yang manchun)
1599549263572.png

na kimya hiki kilichagizwa na mtu mmoja anaeitwa Ndalichako, lakini kuna muda.
wewe endelea kuteswa na professa mwenye ingilishi mbovu kuliko muhindi.
Hahaha Asante sana Nilikuwa nimemiss vitu vyako sana
wasalimie kwenu,
 
wanasiasa hawaiogopi historia pindi wanapohitaji kutimiza matakwa yao ila wanaipenda sana historia pindi wanapojitokeza wanaharakati hasi wanaohitaji kuwapokonya keki zao

(musiwachague wale wana ukhanithi (maalim seif voice)......... wataleta uconfucianism ndani ya nchi wakiongozwa na beberu la pyongyang linaloitwa the great (chattle voice))
=========================

sidhani kama ipo drama inayozungumzia kwa uwazi maisha ya huyo general.......
drama inayoitwa yeon gaesomun uhusika wa eulji mundeok ulikuwepo, pia drama ya dae jo yeong takribani mara tatu alizungumziwa huyo mzimu (na general yang manchun)
View attachment 1562656

wewe endelea kuteswa na professa mwenye ingilishi mbovu kuliko muhindi.

wasalimie kwenu,
HONG GIL DONG ndio niko nayo hapa.
Ila nimeeimiss Wang gun.
 
Back
Top Bottom