Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Yaani unanishauri niache bangi niende kwenye cocaine
kwa wengine cocaine ni tiba muhimu zaidi ya paracetamol....
betting inachangamsha akili, wakorea wanadumaza akili (muda wote unakuwa kwenye mode ya kufanya jambo lenye ugumu kwa mazingira ya nyumbani)
mara unawaza piggyback riding
mara unamwaza mkaka fulani mwenye lipstick
blah blah kibao
 
Back
Top Bottom