Special thread: Hii ni kwa wakali wa kutunga lyrics (nyimbo) za mahaba hasa kwa mfumo wa RnB

Mohamedex121

JF-Expert Member
Jan 27, 2022
1,688
3,142
Naimani humu kuna wakali wa kutunga mashairi ya mapenzi hasa yale ya kusifia uzuri wa mwenzi wako , kumuonyesha ni jinsi unavyompenda na kumjali na pia kuna zile lyric hasa zinaelezea usaliti, majuto na simanzi kwenye maisha ya mahusiano.

Watu hawa nawaitwa ni master wa love lyrics kama jux( the king of hearts) , Ali kiba( the only one king), diamond (simba) na wengine kibao

Hivo lengo uzii huu ni kama unakipaji cha kutunga mashairi ya mapenzi kwa mfumo wa RnB tupia yako mkuu. Hii ni kwaajili ya kupata burudani kutoka kwako mzee wa master of love na pia kupata fuzo kwako kuhusu mahusiano kwa mfumo wa hizi love lyric

Nisiwachoshe sana wakuu kama wewe ni mtaalamu wa mambo ya love lyrics ebu tupia yako sasa tukuone makali yako

Naanza mimi wakuu kutupia yangu;

Song : I wanna love you

Intro:
Am record

Verse1:
Suzana wewe ni mzuri baby
Kwa penzi lako mi nishadata mamy
Naona wivu ukiwa mbali nami
Tabasamu lako me nalifeel kwa ndani

Una ngozi nyororo
Oh baby you are so beautiful
Na penzi lako moto moto
Moto, bado nalifeel

Moyo wako mwororo
Oh your love is so meaningful
Na mwili wako joto joto
Joto, bado nalifeel

Chorus;
Suzana I wanna love you
Together me and you
Suzana I wanna love you
Forever me and you

Suzana I wanna love you
Together me and you
Suzana I wanna love you
Forever me and you

Verse2:
Mi sijali maneno ya watu
Suzana mi nishakupenda wewe
I don't care maana hao wana wivu
Wanatamani nikukose wewe

Kila siku maneno hayawaishi
Unapokuwa na mimi
Wanatamani tuachane hata leo hii
Wao ni visa na visirani

Na wala mimi sijali baby
Suzana you are my darling
Na wala sihofu mimi
Suzana you are my everything

Chorus:
Suzana I wanna love you
Together me and you
Suzana I wanna love you
Forever me and you

Suzana I wanna love you
Together me and you
Suzana I wanna love you
Forever me and you

#The end

Haya kazi kwenu wakuu
 
Naimani humu kuna wakali wa kutunga mashairi ya mapenzi hasa yale ya kusifia uzuri wa mwenzi wako , kumuonyesha ni jinsi unavyompenda na kumjali na pia kuna zile lyric hasa zinaelezea usaliti, majuto na simanzi kwenye maisha ya mahusiano.

Watu hawa nawaitwa ni master wa love lyrics kama jux( the king of hearts) , Ali kiba( the only one king), diamond (simba) na wengine kibao

Hivo lengo uzii huu ni kama unakipaji cha kutunga mashairi ya mapenzi kwa mfumo wa RnB tupia yako mkuu. Hii ni kwaajili ya kupata burudani kutoka kwako mzee wa master of love na pia kupata fuzo kwako kuhusu mahusiano kwa mfumo wa hizi love lyric

Nisiwachoshe sana wakuu kama wewe ni mtaalamu wa mambo ya love lyrics ebu tupia yako sasa tukuone makali yako

Naanza mimi wakuu kutupia yangu;

Song : I wanna love you

Intro:
Am record

Verse1:
Suzana wewe ni mzuri baby
Kwa penzi lako mi nishadata mamy
Naona wivu ukiwa mbali nami
Tabasamu lako me nalifeel kwa ndani

Una ngozi nyororo
Oh baby you are so beautiful
Na penzi lako moto moto
Moto, bado nalifeel

Moyo wako mwororo
Oh your love is so meaningful
Na mwili wako joto joto
Joto, bado nalifeel

Chorus;
Suzana I wanna love you
Together me and you
Suzana I wanna love you
Forever me and you

Suzana I wanna love you
Together me and you
Suzana I wanna love you
Forever me and you

Verse2:
Mi sijali maneno ya watu
Suzana mi nishakupenda wewe
I don't care maana hao wana wivu
Wanatamani nikukose wewe

Kila siku maneno hayawaishi
Unapokuwa na mimi
Wanatamani tuachane hata leo hii
Wao ni visa na visirani

Na wala mimi sijali baby
Suzana you are my darling
Na wala sihofu mimi
Suzana you are my everything

Chorus:
Suzana I wanna love you
Together me and you
Suzana I wanna love you
Forever me and you

Suzana I wanna love you
Together me and you
Suzana I wanna love you
Forever me and you

#The end

Haya kazi kwenu wakuu
Mmh!!
 
Song: I will give you

Intro
Am record

Verse1
Nanyoosha mikono juu kwako nimeshadata
Unanirusha roho juu kwako nimesarenda
Naona maajabu kwako kupenda sijachoka
Nakosa majibu penzi lako linanivuruga

Naufunga moyo wangu na loki
Kwako me nimeshafika na koki
Penzi langu kwako mi sichoki
Kwa mwingine mama mi sitaki

Chorus
I will give you everything baby
Please baby talk me
I will give you everything darling
Please tell me what you need

I will give you everything Mamy
Please mamy talk to me
I will give you everything honey
Please tell me what you need

Verse 2
Kila ninachofanya mama ni kwaajili yako (wee)
Kila ninachopanga mama ni kwasababu yako(wee)
Kila ninachopenda mama ni kwa mapenzi yako (wee)
Na chochote ninachofanya zuhuda jua ni weweeee

Everything I do, it's because of you
And everytime I go through, its because I love you

Take my love and care
Let makes you be aware
I love you everywhere
Maneno ya watu nishazoea

Chorus
I will give you everything baby
Please baby talk to me
I will give you everything darling
Please tell me what you need

I will give you everything Mamy
Please mamy talk to me
I will give you everything honey
Please tell me what you need

#The end
 
Song:LISIISHE

Intro
Am record

Verse
Kutaka nitake nini, hali nimepata wewe.
Nibabaike kwanini, vipi niwe na kiwewe.
Ili nigundue nini, kuenda mbali na wewe.
Bali namuomba Mola penzi letu lisiishe.


Tangia nimekujua, sijawahi kosa raha.
Sijawahi kuumia, wala kupata karaha.
Na sijawahi kulia, na sijawahi kuhaha.
Bali namuomba Mola penzi letu lisiishe.

Chorus.
Penzi letu lisiishe, kwa mana usiniache.
Nataka nikuoneshe, wavijuavyo wachache.
Nipende unijulishe, mapenzi yasijifiche.

Penzi letu lisiishe, wala nisikwache mimi.
Nasema nimaanishe, pendo langu la timami.
Kifo kitutenganishe, kufa wewe kufa mimi.

Verse 2
Hadi Mungu anajua, ya kwamba tunapendana.
Ametufungisha ndoa, ndo mana tumekutana.
Hao wanaoumia, waendelee kununa.

Nipe na unipe tena, kila kucha na kuchwea.
Kushiba tumeshibana, nani wa kutuzuia.
Sio shida wakiona, mbona Mungu anajua.

Chorus
Penzi letu lisiishe, kwa mana usiniache.
Nataka nikuoneshe, wavijuavyo wachache.
Nipende unijulishe, mapenzi yasijifiche.

Penzi letu lisiishe, wala nisikwache mimi.
Nasema nimaanishe, pendo langu la timami.
Kifo kitutenganishe, kufa wewe kufa mimi.

#the end
 
Song: Jitokeze

Intro
Am record

Verse1
Yani kila nikiwaza, nafunga ndoa na nani.
Nashindwa na kumaliza, sina majibu kichwani.
Mawazo yaniumiza, hadi nachoka jamani.
Na nimeshajiandaa, kimwili na kiakili.
Nipate wa kunifaa, tuje kuishi wawili.
Sasa lakini balaa, yuko kwa wapi mahali.

Chorus
Kama upo jitokeze, kukuwaza nimechoka.
Kama upo Jitokeze, kuvumilia nimeshindwa.
Kama upo jitokeze, ndoa jambo la baraka.
Jitokeze Jitokeze
Jitokeze Jitokeze
Jitokeze Jitokeze
Jitokeze Jitokeze

Verse 2
Niko kwenye kutafuta, ndo mana napata tabu.
Hadi sasa sijapata, ni swali bila majibu.
Nani aje kuniita, nani aje kunitibu.
Nasubiria Rehema, yatoka kwa mola wangu.
Mbele yangu natizama, kutafuta kipi changu.
Sasa jua linazama, mbele kiza na ukungu.

Chorus
Kama upo jitokeze, kukuwaza nimechoka.
Kama upo Jitokeze, kuvumilia nimeshindwa.
Kama upo jitokeze, ndoa jambo la baraka.
Jitokeze Jitokeze
Jitokeze Jitokeze
Jitokeze Jitokeze
Jitokeze Jitokeze


#the end
 
Back
Top Bottom