Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Discussion in 'Entertainment' started by Kazz0, Mar 22, 2015.

 1. Kazz0

  Kazz0 Member

  #1
  Mar 22, 2015
  Joined: Mar 15, 2015
  Messages: 48
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 15
  Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.

  Tuambiane;

  - Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?

  - Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')

  -Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?

  Pia:

  - Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?

  - Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?

  - Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?

  - Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)

  *Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!

  Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!

  =========

  Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;

  Be Strong Geum Soon

  Princess Ja Myung Go

  THREE DAYS (2014)

  Swallow the Sun

  Jumong

  King Guenchoggo

  =====

  Links za ku-download drama za Kikorea;

  - Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
  - GoodDrama.Net


  ======

  Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread)
  ..

  Kazi kwako.. Enjoy!
   
 2. Black Book

  Black Book JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2015
  Joined: Mar 2, 2015
  Messages: 209
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  Wakorea wambea!!
   
 3. Huntsman

  Huntsman JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2015
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 628
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 60
  Niliipenda IRIS sijawahi kuona mfano wake
   
 4. Kazz0

  Kazz0 Member

  #4
  Mar 23, 2015
  Joined: Mar 15, 2015
  Messages: 48
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 15
  Nini kinakufanya useme wakorea wambea wakat wapo so talented katka ku catch feelings na kwa style yao ya uigizaji....Mzungu haeki mkono....Nakushauri tafuta Jumong tu....utaelewa zaid.....
   
 5. Kazz0

  Kazz0 Member

  #5
  Mar 23, 2015
  Joined: Mar 15, 2015
  Messages: 48
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 15
  Mm pia...naskia ni nzur lakin muda naipata IRIS...ilikua ishaangaliwa na wengi...so nikaachana nayo...Huntsman em tafuta GIANT....alaf utakuja kuniambia mwenyewe...
   
 6. ikhatibu

  ikhatibu JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2015
  Joined: Nov 14, 2013
  Messages: 1,583
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Iljimae

  Hi series in nzuri kwangu. Huwa si ichoki kuingalia.
   
 7. Nyasirori

  Nyasirori Senior Member

  #7
  Mar 23, 2015
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 182
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Korean Secret Agent
   
 8. Kazz0

  Kazz0 Member

  #8
  Mar 23, 2015
  Joined: Mar 15, 2015
  Messages: 48
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 15
  Daaah....Hv iljmae naipataje kaka....maana ililiwa na wadudu kwenye hard disk yangu...
   
 9. Kazz0

  Kazz0 Member

  #9
  Mar 23, 2015
  Joined: Mar 15, 2015
  Messages: 48
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 15
  Secret agent....Ipoje ipoje hyo kwa kifup??
   
 10. ikhatibu

  ikhatibu JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2015
  Joined: Nov 14, 2013
  Messages: 1,583
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  We we uko wapi ni pm tuone tunasaidia vipi. Ila kwa sasa Nina return of iljimae
   
 11. Kazz0

  Kazz0 Member

  #11
  Mar 23, 2015
  Joined: Mar 15, 2015
  Messages: 48
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 15
  Kigambon...vp ww
   
 12. b

  blessing-baraka Member

  #12
  Mar 23, 2015
  Joined: Mar 6, 2015
  Messages: 34
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nina series za Korea zaidi ya 30 complete kama Kuna mtu akitaka tuexchange aniambie...pia ninazo za US and others nipo kariakoo 0762778385
   
 13. Kazz0

  Kazz0 Member

  #13
  Mar 23, 2015
  Joined: Mar 15, 2015
  Messages: 48
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 15
  Pande gan kaka...
   
 14. 007 De Souza

  007 De Souza JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2015
  Joined: Feb 19, 2015
  Messages: 595
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  JUMONG ndo drama yangu ya kwanza kuiona na nilimuelewa sana YOUNG PO naisi ndo aliyenogesha series akisaidiwa na MO-PAI-MO huyu mzee naye alinibamba! nyingine ninayoikubali sana ni ile ya THE WARRIOR BAEK DON SOO
   
 15. Kazz0

  Kazz0 Member

  #15
  Mar 23, 2015
  Joined: Mar 15, 2015
  Messages: 48
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 15
  The warrior baek dong so unayo mkuu??
   
 16. i

  instagramboy JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2015
  Joined: Oct 16, 2014
  Messages: 1,528
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Emperor of the sea
  jumong
  great queen seondeok

  salute.....
   
 17. neo1

  neo1 JF-Expert Member

  #17
  Mar 23, 2015
  Joined: Sep 1, 2013
  Messages: 473
  Likes Received: 450
  Trophy Points: 80
  me naweza vipi ku download hizi drama kwenye computer!?
   
 18. f

  fred makoi Member

  #18
  Mar 23, 2015
  Joined: Mar 12, 2015
  Messages: 19
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  daah! brid mask ni shegerei. namkubal sana leka ntu& mkidan pamoja na chief kimura ukimtupia apo na sunji. penda sana iyo drama sijaona mfano wake
   
 19. Kazz0

  Kazz0 Member

  #19
  Mar 23, 2015
  Joined: Mar 15, 2015
  Messages: 48
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 15
  Nenda dramacrazy.net
   
 20. Kazz0

  Kazz0 Member

  #20
  Mar 23, 2015
  Joined: Mar 15, 2015
  Messages: 48
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 15
  Bila kumsahau...Boya koiso...hahaha
   
Loading...