Kwa wanawake tu: Mbinu za kumpata sponsor

Kwa wanawake tu: Mbinu za kumpata sponsor

Sasa ashera hao unaowafundisha wataolewa na nani? Kama unataka waende kwa 45 and above manake most of those have already marry.
 
Kwa hizo mbinu ni hatari sana kwa kweli

Ila sasa mwanamke uwe mzuri,msafi wa kinywa na mwili na tako uwe nalo maana ndo ugonjwa mkubwa sana kwa baadhi ya wanaume.

Zaidi ukiwa umejariwa rangi ya mtume kwa mbali hasa ile ya asili siyo ya mkorogo.

Nywele asilia

Aiseee!!nakamatika kirahisi muno ukiwa na hizo sifa sitahiki.
 
Hapo kwa kubana miguu utawakosesha, maana hao above 45 tayari wana familia na akiku approach lengo ni umtanulie papa hilo ili aweze kuendelea na investment
 
hapa maana yake mnataka MTU mzima mwenye familia take Kwa uyo sponsor mwenye iyo age.utatumika ila mke wake atabaki kuwa mke na udangaji sio mzuri mtaona tu. ..siwezi kumwonea mwanamke huruma mliwe tu mpaka akili ziwe sawa.mnajaa Kwa mwamposa kutafuta nini sina jb
 
Kama kila mwanamke angefuata hiyo no.2 basi wanaume tungeenjoy sana.
 
hapa maana yake mnataka MTU mzima mwenye familia take Kwa uyo sponsor mwenye iyo age.utatumika ila mke wake atabaki kuwa mke na udangaji sio mzuri mtaona tu. ..siwezi kumwonea mwanamke huruma mliwe tu mpaka akili ziwe sawa.mnajaa Kwa mwamposa kutafuta nini sina jb
Huyo mwanaume anakuwa hajui kuwa ana mke na familia? Anakuwa kashikiwa bunduki? Maisha ni kuchagua babu weye. Wewe komaa kivyako. Wenzio wako willing kugharamia kiroho safi
 
Depends on how much God blessed your body.Your good looking body and presentation is a price tag.

Kumbuka you are not alone with a striking beauty you need to contest everyday especially with the younger ones.
 
hakuna ela ya mwanaume itakayoliwa bure at a njemba zitakodiwa ili zikutafune ili kufidia..unawafundisha wenzio kudanga Kwa kupata vya bure Kwa kutegemea jibaba
 
hakuna ela ya mwanaume itakayoliwa bure at a njemba zitakodiwa ili zikutafune ili kufidia..unawafundisha wenzio kudanga Kwa kupata vya bure Kwa kutegemea jibaba
Yes hakuna cha bure ndo maana mwanaume lazima agharamie. Vijana wa siku hizi hawaelewi wanataka papuchi za bure. Wanaume watu wazima wanaelewa thamani ya mwanamke na ndo wanaogharamia
 
Depends on how much God blessed your body.Your good looking body and presentation is a price tag.

Kumbuka you are not alone with a striking beauty you need to contest everyday especially with the younger ones.
Striking beauty is not enough...confidence and setting higher standards for yourself is key. Wapo mabinti wazuri kama malaika but wanaishia kuchezewa na mabazazi tena for free. Sana sana wao ndo wanaohonga wanaume
 
Wapo kila mahali. Wanakwenda 50/50 na mwanaume. Wanafanya kazi kwa bidii ili eti wasaidiane maisha na wanaume zao
ilo sio wazuri kama 'malaika', mara nyingi 'wazuri' ndio wadangaji hasa, maana wanaringia huo uzuri
ila hawa vimbaumbau/manungayembe ndio wanabembeleza,

unagonga hata bure au yeye alipie loji
unamvesha kiroba kwa juu, show inaendelea
 
Back
Top Bottom