Kwa wanawake tu: Mbinu za kumpata sponsor

Kwa wanawake tu: Mbinu za kumpata sponsor

Unajitegemea ndo maana una hasira. Mwanamke kula kwa jasho daily si kitu rahisi. Ina madhara kiakili. Ndo maana wanawake wengi wanaojitegemea wamekuwa na tabia za kiume
Hapo kwenye tabia za kiume umepatia đź’Ż...ila kuhusu hasira umekosea Sina hasira shangazi nakula pesa yangu bila mawazo Sio nyie mkikaa mnawaza sijui Leo napewa sh ngapi... Anyway kupanga ni kuchagua Kila raheli kwenye Udangaji wako
 
Hapo kwenye tabia za kiume umepatia [emoji817]...ila kuhusu hasira umekosea Sina hasira shangazi nakula pesa yangu bila mawazo Sio nyie mkikaa mnawaza sijui Leo napewa sh ngapi... Anyway kupanga ni kuchagua Kila raheli kwenye Udangaji wako
Kama nilivyosema awali, hili game lina wenyewe dada. Kama unaona ugumu it's not for you. It takes a high level of femininity
 
Twende moja kwa moja kwenye mada. Mwanamke hakuumbwa kutafuta kwa jasho asilani. Wanawake amkeniii. Use what nature gave you and enjoy life. Hili game lina mbinu zake...leo ntawapa chache

1. Pendeza. Take your time to dress up and make up. Nywele, kucha, mavazi, kunukia vizuri, mambo ya udi na perfume nzuri nk. Hapa kwenye mavazi vaa vigauni flani amazing with feminine colours, pink, red, nudes, beige, etc. Epuka kuvaa suruali hasa ukiwa mawindoni ( don't over do it with dressing up and make up utaonekana changu...be careful hapa). Wanaume wanaojielwa hawapendi too much make up and slutty outfits

2. Be feminine. Tabasamu muda wote hasa ukiwa mawindoni, hakikisha sauti yako ni nyororo, wanaume wanavutiwa na sauti nyororo, cheka na ongea taratibu, sio unacheka kicheko cha mahoka, big no. Act dumber than him so to boost his ego. Hata kama wewe ni mwanasheria mkongwe wa kimataifa usijionyeshe kuwa una uelewa wa juu sana wa mambo. No matter how successful you are girl, don't show it to him

3. Tembelea maeneo wanayopenda kutembelea wanaume wenye pesa, the rich side of town, mitaa flani ya kishua, bar au hotel za kishua, golf course, fund raising events, etc. Vaa vizuri pendeza tembelea maeneo hayo mara kwa mara, ipo siku utaibuka na mmoja

4. Lose weight. Jitahidi kuwa na mwili mwembamba, wanaume wenye pesa ndefu hupendelea zaidi wanawake wembamba

5. Usijirahisishe. Hapa wadada wengi ndo huwa wanajiharibia. Hata kama mwanaume ana pesa vipi usizuzuke na kukimbilia kitandani. Atakuona huna thamani na atakuacha fasta. Funga miguu yako for as long as it takes. Mwanaume atainvest zaidi kwako akiwa na anticipation kwamba ipo siku atakukula ( but he has to work for it coz your p***y is not cheap). Let him fantasize about you for as long as possible. Usitoe kirahisi

5. Hakikisha target yako ni wanaume wanaokuzidi kuanzia miaka 15 na kuendelea. I mean age difference. Wanaume wa hivi wanahonga sana maana anakuona kama mwanae na si pasua kichwa kama hawa vijana. Hawana presha za kujenga sijui kununua gari. He will spoil you rotten. Asiwe chini ya miaka 45

The uglier and older he is, the better.

6. Akikuomba namba ya simu mpe. Akikupa namba yake ya simu kamwe usiwe wa kwanza kumtafuta. Let him chase you, if he doesn't don't get tempted to try calling or texting him, atakuona cheap. He should call you first if he doesn't, move on to the next. He should be interested in you more than you are interested in him. Jifanye huna time kabisa

Trust me wanawake, hizi mbinu zinafanya kazi like a charm. Ndo limbwata lenyewe hili. It works. Its been working and it will still work till eternity.

Kama haikuhusu pita pembeni. Walioelewa wameelewa. This game is not for every woman. Ni kwa wale wanaoelewa thamani yao na nature yao halisi
Hili desa limeenda shule mabaharia wa kike changamkeni. Siku hizi maisha yamejaa ujnja ujanja unaweza kutoa moyo wako wote kumbe uliempatia ni dreamer. Guys upgrade
 
Hili desa limeenda shule mabaharia wa kike changamkeni. Siku hizi maisha yamejaa ujnja ujanja unaweza kutoa moyo wako wote kumbe uliempatia ni dreamer. Guys upgrade
Sio sikuhizi tu.

Fuatilia maisha ya falme za zamani. Ndoa zilifanyika kiujanja ujanja kwa mitego ya wanawake.

Msisikilize maneno ya wanaume wa humu... mwanamke ukiona mwanamme mwenye potential tumia uanawake kumpata ujilie mema ya hii Dunia.
 
Am teaching women to avoid men like you. Sadly they won't listen
Of course they are right, Why should they listen to the mindless whore who is presumably with loosened body holes and skyrocketed body count?

Would have been sensible had you were mentoring them on how to sharpen their brains for survival and not on how to open their holes for multiple dicks.
 
Sio sikuhizi tu.

Fuatilia maisha ya falme za zamani. Ndoa zilifanyika kiujanja ujanja kwa mitego ya wanawake.

Msisikilize maneno ya wanaume wa humu... mwanamke ukiona mwanamme mwenye potential tumia uanawake kumpata ujilie mema ya hii Dunia.
Asante ndugu mjumbe kwa kutushauri ushauri wenye manufaa sana.

For really uvaaji mzuri hasa wa mavazi ya kike unatengeneza mvuto wa ajabu.
Tabasamu na makeup kwa mbaaaaaaaliii ni vitu ambavyo mwanamke hapaswi kuvikosa.
Pia kusanyiko lenye mijumuiko yenye kusudi la kukutana na wakubwa na matajiri wa nchi ni platform muhimu sana ambayo kama mwanamke ataitumia vizuri itamkutanisha na watu wkubwa na kubadilisha maisha yake bila kutarajia ki career na ki maendeleo ya vitu.
Hii inafanya kazii
 
Dah wewe ni me? Ufahamu wako ni wa hali ya juu. Nashangaa watu wanashangaa na kutukana kwa ishu ambayo ni asili
 
Asante ndugu mjumbe kwa kutushauri ushauri wenye manufaa sana.

For really uvaaji mzuri hasa wa mavazi ya kike unatengeneza mvuto wa ajabu.
Tabasamu na makeup kwa mbaaaaaaaliii ni vitu ambavyo mwanamke hapaswi kuvikosa.
Pia kusanyiko lenye mijumuiko yenye kusudi la kukutana na wakubwa na matajiri wa nchi ni platform muhimu sana ambayo kama mwanamke ataitumia vizuri itamkutanisha na watu wkubwa na kubadilisha maisha yake bila kutarajia ki career na ki maendeleo ya vitu.
Hii inafanya kazii
Sio kubadilisha maisha yake tu....kubadilisha maisha ya kizazi chake.

Hata wanaume wanatakiwa kufanya hivyo sema sisi sio kwa lengo la mahusiano ya kimapenzi bali connection za maisha...

I rest my cace mjumbe.
 
Daby wewe ni mwanaume wa week...mme wangu akiwa mkubwa nataka awe na mitizamo kama yako
 
Asante ndugu mjumbe kwa kutushauri ushauri wenye manufaa sana.

For really uvaaji mzuri hasa wa mavazi ya kike unatengeneza mvuto wa ajabu.
Tabasamu na makeup kwa mbaaaaaaaliii ni vitu ambavyo mwanamke hapaswi kuvikosa.
Pia kusanyiko lenye mijumuiko yenye kusudi la kukutana na wakubwa na matajiri wa nchi ni platform muhimu sana ambayo kama mwanamke ataitumia vizuri itamkutanisha na watu wkubwa na kubadilisha maisha yake bila kutarajia ki career na ki maendeleo ya vitu.
Hii inafanya kazii
Ewaaaa....mambo ndo hayo sasa. Hakuna cha mganga wala nini
 
Sio kubadilisha maisha yake tu....kubadilisha maisha ya kizazi chake.

Hata wanaume wanatakiwa kufanya hivyo sema sisi sio kwa lengo la mahusiano ya kimapenzi bali connection za maisha...

I rest my cace mjumbe.
Natamani wanawake wangekuelewa
 
Sasa Kama unapata pussy za bure Tena kwa wingi... Kinachokuuma Nini mtu mwingine akipata kwa hela Tena nyingi.

You are not the target market. Tulia

Mitusi ya kutukana na dhihaka Wala haisaidiii... Wewe endelea kutoa hela ya vocha ndo uwezo wako.
Wala hamna kinachoniuma, nimejisikia kuandika niliyoyaandika Kama vile ulivyojisikia kuni-quote bila kushurutishwa wala kuombwa na yeyote.
 
Of course they are right, Why should they listen to the mindless whore who is presumably with loosened body holes and skyrocketed body count?

Would have been sensible had you were mentoring them on how to sharpen their brains for survival and not on how to open their holes for multiple dicks.
Umemaliza ama bado?
 
I dont think you understand this topic's all about

She didn't mention that we should 'change' suitors and thus get multiple di.cks...

Rather stratergically get a man of our dreams..

You just said you get a lot of pu.ssies for free...

Why are you bothered if another person get multiple dick.s anyway?
 
Back
Top Bottom