Sasa tatizo liko wapi kama za zamani??
Mkuu, mleta mada ni joas na aliye jibu kuwa ni za zamani ni @quriae
Last edited by a moderator:
Sasa tatizo liko wapi kama za zamani??
Hutakiwi hata kujua bazazi wewe
Eeeeeh haelewagi somo when it comes to his daughters. Yani sahau kabisaHahaha!!!..Ntamtafuta mzee sent tuongee kwa lugha mbalimbali,hope tutaelewana..We endelea kubana

Eeeeeh haelewagi somo when it comes to his daughters. Yani sahau kabisa![]()
![]()
![]()
Poyeee umechelewa bana, mabinti zake wote tushazeeka na tushaolewa. Labda nikuelekeze kwa jiraniHakuna mzee hasiyeelewa somo..Ukiwa na binti lazima upate mkwe..Labda hao waliotangulia hawakujipanga ndo mana hawakueleweka...Degree yangu ya sanaa plus pesa nilizonazo lazima mzee aelewe tu..Hamna namna

Poyeee umechelewa bana, mabinti zake wote tushazeeka na tushaolewa. Labda nikuelekeze kwa jirani![]()
![]()
Eeeh tunashukuru kwa kusarenda kwako. Msalimie sana mama kuruthumuDuuuh..Balaa gani hili..Kuzeeka sio tatizo..Hapo kwenye kuolewa sasa..Basi nimesarenda
Eeeh tunashukuru kwa kusarenda kwako. Msalimie sana mama kuruthumu
Hahaa..baba Kuruthum mimi sitaki kuwa mpango kando. Ha ha
Hakuna mzee hasiyeelewa somo..Ukiwa na binti lazima upate mkwe..Labda hao waliotangulia hawakujipanga ndo mana hawakueleweka...Degree yangu ya sanaa plus pesa nilizonazo lazima mzee aelewe tu..Hamna namna
Teh teh teh teh teh!!! Biashara matangazo, ila yako umeyaweka gizani hayaonekani.
Heshima kwenu.
Inakuwaje mwanamke anadhubutu kumvulia nguo mwanaume mwingine tofauti na yule ambaye yupo naye.
Hii inatuumiza Sana sisi romantic gentleman's because
tukipenda ni bhasi and forever.
My girl/wife to'be nampenda Sana lakini amenikwaza na nimeumia Sana as a men. Kuna jamaa kutumia namba mpya amenirushia picha
Za utupu za wife to'be wangu niliyempenda na kumweshimu Sana.
Mapenzi ni kitu hatari Sana pale inapokuja swala la kuumizwa.
My girl hakuwahi hata kuvaa suruali wala nguo za ajabu usually anashono vitenge na hakuwahi kuvaa nguo fupi.
Nawaomba mnipe ushauri nini nifanye,
I never cry but now I do.
Way girls naomba mnipe na sababu way mnafanya hivyo kwa men wanaowapenda.
Afadhali mdogo wangu, huyu baba kuruthumu ni majanga plus plus.
Huyo mtt wa mzee Sent ndoa tu ndo imemnusuru vinginevyo ningebeba huyo
Najua ugonjwa wako ww...embu nitumie acc no yako nikutumie msg..Mana pm sikupati