Kwa wanawake na wanaume

Kwa wanawake na wanaume

Hahaaaaaa isipende hivyooo kuwa wa vuguvugu si moto wala baridi
Utaumizwa saana ukiwa hivyoooo
 
Baba kuruthumu ana visa huyooo anakaribia kujaza kitabu, hapo analea mtoto ambae hata hamjui baba yake, dna ziligoma kumatch na list ndeeefu ila bado yumo tu.

Jamani,mbona wanamwonea hivyo.
 
Baba kuruthumu ana visa huyooo anakaribia kujaza kitabu, hapo analea mtoto ambae hata hamjui baba yake, dna ziligoma kumatch na list ndeeefu ila bado yumo tu.

Acha kuharibu basi
 
Kumbe..Msumbufu sana eeh.

Ana list ndeeefu kuliko ile ya ukawa.

Aaah..utakuwa chini ya uangalizi wa atoto kwa muda..ukikidh vigezo na masharti tunaingia mkataba.

Tooooba huyu hata hana haja ya kuingia kwenye uangalizi, ni wa kukatwa tu mapemaaa, bora ahamie ukawa kule kwenye zoa zoa, huku hana nafasi.
 
Last edited by a moderator:
Mwenye mapenzi ya kweli ni mama yako 2 braza bear that in ur mind hawa wngn 2nacndikzana 2 kwny safari ya ujana hao viumbe wanasumbua sana
 
Back
Top Bottom