Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
Mmh em nipunguzie stress mie, me ndo ningekukubali wewe liability looooh
Mama kuruthumu yani we ndo wakunifanyia hivyo kweli???..Nifagilie japo kidogo basi
Mmh em nipunguzie stress mie, me ndo ningekukubali wewe liability looooh
Aaaah Jitahidi uwe Asset ndo ntakufagilia kidogo tehMama kuruthumu yani we ndo wakunifanyia hivyo kweli???..Nifagilie japo kidogo basi
Aaaah Jitahidi uwe Asset ndo ntakufagilia kidogo teh
Vitu vidogovidogo ndo vipi? ndo fix hizo ulizompatia mama kuruthumu?Mi asset ww..Pesa tu ya kwenda kunywa chai Dubai na lunch bora bora ndo sina..Ila vitu vidogovidogo havisumbui lol
Usiulize maswali..Subiri ujionee kwa machoVitu vidogovidogo ndo vipi? ndo fix hizo ulizompatia mama kuruthumu?
Sawa liabilityUsiulize maswali..Subiri ujionee kwa macho
NAomba kujua kama kwenye huu uzi kuna mahali imesemwa kuwa alimkuta bikra?:ranger:
NAomba kujua kama kwenye huu uzi kuna mahali imesemwa kuwa alimkuta bikra?:ranger:
Heshima kwenu.
Inakuwaje mwanamke anadhubutu kumvulia nguo mwanaume mwingine tofauti na yule ambaye yupo naye. Hii inatuumiza sana sisi romantic gentleman's because tukipenda ni bhasi and forever.
My girl/wife to'be nampenda sana lakini amenikwaza na nimeumia sana as a men. Kuna jamaa kutumia namba mpya amenirushia picha
Za utupu za wife to'be wangu niliyempenda na kumweshimu sana.
Mapenzi ni kitu hatari Sana pale inapokuja swala la kuumizwa. My girl hakuwahi hata kuvaa suruali wala nguo za ajabu usually anashono vitenge na hakuwahi kuvaa nguo fupi.
Nawaomba mnipe ushauri nini nifanye,
I never cry but now I do.
Way girls naomba mnipe na sababu way mnafanya hivyo kwa men wanaowapenda.
kwenye sababu hapo zinaweza kuwa nyingi. Ni vema umuulize yeye mwenyewe nini chanzo.
Halafu aliyekwambia nguo za kushona hazivuliki ni nani?.
hahahah....eti "halafu aliyekwambia nguo za kushona hazivuliki ni nani?"......hata ukishona nguo za bati na chupi ya chuma na ufunge na solex watu tayari tuna master keys za hizo solex!!!!
Bikra kama mimi?