BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Hoiyeeeee...........mibano juuuuuuuu.........
Haswaaaaaaaaa
Hoiyeeeee...........mibano juuuuuuuu.........
Hahaha kwendraaMama kuruthumu muelewa sana..Ahsante kwa hilo..Na vimini uache..Watt wadogo wanachelewa kukua kisa vimini vyenu
Kwenye sababu hapo zinaweza kuwa nyingi. Ni vema umuulize yeye mwenyewe nini chanzo.
Halafu aliyekwambia nguo za kushona hazivuliki ni nani?.
Awwwwww!! Pacha jamani!!
Mshindwe nyie wavaa suruali..Kazi kucheat tu..Mshindweeeeeeeee
Jamani eeeeh, mimi naamini cheating sio ajali ni maamuzi, mie huwa sina excuse kwa hilo kabisaaaa yaani sijui utanieleza nini, if you think am not gud for you ni bora uniache kuliko unicheat n viceversa.
Pacha Shikamoo. Uache kuvaa vimini na suruale,zinavulika kwa wepesi..ha ha ha.
Jamani..unaangalia mavazi tu. Kama anavaa mlegezo hafai,ila kama anavaa redimedi na satini usije muacha.
mkuu unauhakika kuwa hizo pics ni za utupu? hepu ziweke hapa nasi tuthibitishe...... .Ila kama kweli unauhakika hujakosea basi we piga chini tu huyo girl mpe na hizo picha aone aibu yake...
Pacha Shikamoo. Uache kuvaa vimini na suruale,zinavulika kwa wepesi..ha ha ha.
katotoo kumbe missyrose ni pacha wako..Nifanyie mpango basi..Nimempenda gaflaHahahaaaa!! Daaah sijui lini nitaacha kuvaa hivyo, hata vitenge vinashoneka vimini ati, tena ndio vinanogaje!
katotoo kumbe missyrose ni pacha wako..Nifanyie mpango basi..Nimempenda gafla
duuh!!! Kumbe kuna foleni hivyo..Mi nataka kwa mkataba tu..Sio jumla