Kwa wanawake na wanaume

Kwa wanawake na wanaume

Pole Sanaa Mkuu. Labda It Was Just For A Fan!! May Be Huyo Nae Alikua Anamtumia Za Namna Hiyo Nae Akashawishika Kumtumia ,Unaweza Angalia Upande Mmoja, Ujui Upande Wa Pili Ukoje...Ila Pole Ni Dalili Mbaya Ila Ukiitaka Ujue Cha Kufanya Kwanza Chunguza Ilikuaje Mpka Ikawa Hivyo?? Kwa Sasa Huyo Ni Mtuhumiwa Wa Tabia
 
Ongea na huyo girl wako akupe mkasa wa kupiga picha hizo, tuache mchezo wa kujifanya tunapendana hadi tunapiga picha za utupu na wapenzi, tukija kuachana zinatuumiza
 
Joasi

Hapo ndo unatakiwa uwe mwanaume kweli. Thibitisha mapenzi kwa huyo binti maana kulia hakusaidii. Be a man and get yourself stronger.

Ukianza kulia kwa girlfriend ujue utajinyonga kwa mke maana wake za watu wamekuwa watamu sana siku hizi hata kuliko girlfriends.

Ushauri wangu, remain focused and stick to what your heart is telling you
 
Last edited by a moderator:
Joasi

jaribu kuzichunguza sana hzo picha na ujiridhishe pengne ni editing ,huyo jamaa yako anataka kuvuruga mahusiano yenu.
 
Last edited by a moderator:
Kama unampenda na analijua hilo ......

Mi najuaga dhambi ya kucheat huwa haisamewi... Labda tunatofautiana Mioyo
 
Joasi

POLE JAMAA YANGU UKIPENDA WEKA NAFASI ILI HIYO NAFASI IKUSAIDIE KUFANYA MAAMUZI MAGUMU PINDI MAMBO KAMA HAYA YANAPOJITOKEZA
LAKINI HUYO JAMAA NAONA HATAKAMA KAMPITIA KANOGEWA SO KAAMUA KULIKISHA ILI MUACHANE SASA CHA KUFANYA KAA NA MSICHANA WAKO MUULIZE VIZUR KAMA HAYA YAMETOKEA KWA NAMNA GANI
Kisha weka Kano JIPANGE akifanya MAMBO KAMA HAYA ASUBUHI HATA CHALINZE HAMJAFIKA JE MKIFIKA IRINGA UTAKUO UMECHAKAA Akili
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom