BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Eeh kumbe tunaovaa suruali na vimini ndo tuna-cheat?
Jamaa kadanganywa na vitenge.....
Vimini oyeeee
Suruwale juu
Eeh kumbe tunaovaa suruali na vimini ndo tuna-cheat?
Lazima u- BADILI TABIA bana, Rudi tu kwenye vitengeJamaa kadanganywa na vitenge.....
Vimini oyeeee
Suruwale juu
Eeh kumbe tunaovaa suruali na vimini ndo tuna-cheat?
Lazima u- BADILI TABIA bana, Rudi tu kwenye vitenge
Labda kwa sababu kitenge kinachukuliwa kama ni vazi la heshima, basi mkuu akajua mdada ataheshimu na Kila kitu chake, kumbe mweeeNaashaanga.....
Eeh kumbe tunaovaa suruali na vimini ndo tuna-cheat?
Weeee ushindweeee.Ndo mnaongoza..Wavaa vitenge na magauni marefu hawacheat..Huyu mpnz wa Jamaa ndo atakuwa wa kwanza
Weeee ushindweeee.
Hahaha me navaaga charanga tyuuuuMshindwe nyie wavaa suruali..Kazi kucheat tu..Mshindweeeeeeeee
. Em mtuache na suruali zetuHahaha me navaaga charanga tyuuuu![]()
. Em mtuache na suruali zetu
Hahaha sasa unaogeleaje na gauni jamani?. Basi nilikuwa nashangaa mbona nacheat sana kumbe sababu ni suruali, nimeziacha kuanzia leoHahaha!!..Charanga sawa..Suruali hapana..Sinakufanya ucheat..Niliwahi kwenda beach nikamuona demu anaogelea na gauni la kitenge,Sijui ndo demu wake jimaa
Mshindwe nyie wavaa suruali..Kazi kucheat tu..Mshindweeeeeeeee
Mtuwacheeeee na vimini na suruwale zetu
Bakieni na wavitenge muone...
Mshindwe na mlegee,wavaa suruali wakubwa nyie..Watu tunashidwa kukaa na kutulia kwenye ndoa zetu kisa misuruali yenu..
Hahaha sasa unaogeleaje na gauni jamani?. Basi nilikuwa nashangaa mbona nacheat sana kumbe sababu ni suruali, nimeziacha kuanzia leo
Mnalo hilo
Si unaona vitenge vinavyowaliza sasa.....
Suruwale oyeeee
Teh teh..Huyu ndo mvaa vitenge wa kwanza kukengeuka..Ila hawanaga hizo
Jamaa kadanganywa na vitenge.....
Vimini oyeeee
Suruwale juu