Kwa wanaume watu wazima tu!!!

HAKUNA MWANAUME AISIYE NA MATATIZO YA KIAFYA,KIAKILI MWENYE MWANAMKE MMOJA!!!!kubipu muda mwingine hakuepukiki!mapadri na masheikh wameshindwa sembuse wewe mkuu
 

Halafu wa Meeda au Kona Bar ni NSA.

Hata ikitokea mmekutana naye sehemu uko na mkeo wala hatakusumbua.

Mtapishana kama hamjawahi kufanya chochote kile.
 
Napendaga maushauri yako wewe hujui tu!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Asante.
Ila mtafutage wanawake wa ziada ili msielemewe endapo wake zenu watasafiri.
Hebu ona mwenzenu Mvaa Tai anavyohaha sasa...
 
Last edited by a moderator:
Tatizo hapa ni mindset mkuu, kufanya mazoezi kunasaidia sana kuepuka kufanya ngono..ila inaonekana umedhamiria kutoka mje hapa unatafuta excuse kwa kuwa mkeo yuko mbali ndo uhalalishe mpango wako.

fanya mazoezi sana na usifikirie sana kufanya mapenz kwa kwenye lonely time watch movie au soma any useful books o magazine.

hapa inaonesha kabla hujalala una entertain kusimama kwa mzee na kwakuwa ume set mind yako hyo lazma mzee asimame na akutese na aanze kuku drive.

hakuna kitu chenye nguvu kama ubongo wako! Once uki u tune kwamba utangoja had mkeo arudi hutapata shida na miezi 6 si mingi ndugu! Heshimu maamuzi yake na uchukue hatua! Uwezo wa kujicontrol unao ni wewe tu kuamua!

gudluck!
 
Mkuu huwezi amini yaani nimepanga nisiduu mpaka mama arudi lakini naona naelemewa, mimi nataka nipate mdau aliye kwenye ndoa na amewahi kufanikiwa kukaa mda mreefu kiasi hicho bila kumega anipe siri ya mafanikio

Kamata bar maid kisha lilapue.
 
Suluhisho piga punyeto itakusaida na ckushauri ukanunue malaya
 
Cha msingi mdau nakushauri piga punyeto coz huwa inatokea napata safari za kikazi na ninapozidiwa napiga punyeto baada ya hapo najikuta nimechoka then usingizi naupata kirahisi.
 

PUNYETO ndo suluhisho pekee
 

mzee madiba amekaa aka 27 bila kupiga show nakushangaa ushindwe wewe kuvumilia iyo miezi 6?
 
Acha ujinga kabisa,,mimi nililala na mke wangu kwa miezi 6 akiwa na mtoto mdogo bila kuduu,inakuwaje wewe ushindwe? Kwanza umri wako ukoje, vijana wadogo ndo hawawezi,
 
Angalia ushauri unaopewa wa kipuuzi,sijui uende kutafuta wapi sijui, hakuna ki2 kibaya kama kuishi kwa mashaka, wanaume wengi wanaopata ukimwi hufa mapema sababu ya majuto,na mawazo,KAMA SI MIMI TUSINGEPATA huu ugojwa,
 
Ukipiga nje na yeye mkeo watapiga...! '''Kipimo unachompimia mwenzio ndio utakachopimiwa''''. Sali acha hayo mawazo najis Mungu hapendi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Wako wapi wanawake waombolezaji waje kuomboleza ili ndoa zipone na uzinzi uishe kabisa???
 
Kiongozi huu ushauri wako nitautumia mwishoni kabisa ikishindikana lakini ngoja niwasikilize wadau wengine.
Mpendwa, kwa hakika uko katika wakati wa changsmoto kubwa. Tamaa ya mwili ni function of the mind. Kama yalivyo majaribu yote ya yule muovu, utaishinda tamaa ya ngono nje ya ndoa kwa Neno. Sijui wewe ni dini gani lkn nakuombea kuwa neema ya Bwana ikuwezeshe kulishinda jaribu hili. Keep your and body preoccupied the WORD. Keep your body busy excersizing and reading of GOD's WORD. Kumbuka kuwa: "an idle mind is the devils workshop".
Ubarikiwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…