Kwa wanaume watu wazima tu!!!

Kwa wanaume watu wazima tu!!!

Nenda duka la kuuza CD tafuta zile za pilau ukaangalie wenzio wakilima hali itatulia tu.
 
Marital fidelity is very important when your partner is away for good reason. Kikubwa ni kuamini kwamba unaweza kuvumilia hadi arudi vinginevyo ukitoka mara moja tu nje ya ndoa basi linakuwa jambo la kawaida kutoka. Usijaribu sumu kwa kuonja!

Thanks, then ni nifanye kukabiliana na msukumo wa hiki kichupa?
 
Kamata papai lililoiva kata upate tundu size uitakayo anika juani unapoenda kazini,ukirudi jion utakuta limekauka na lina ujoto kwa ndani ingiza huyo babu..TWENZETU!

Thanks!!!!
 
Mkuu Mvaa Tai pole sana kwa yanayokusibu.

Mimi nimesoma shule ya boys tupu, tulikuwa na tatizo kama hilo especially wiki 1 baada ya kutoka disco na wadada. Nimeamua kutoa mfano huu sababu tiba yake inaweza ikaendana na matatizo uliyonayo.

Sasa nakushauri yafuatayo;

1. Usiwaze ngono, usiangalie picha za ngono, usiangalie chochote kuhusu ngono, muwaze mkeo, tabasamu lake, uzuri wake.

2. Usipost kutaka ushauri wa ngono sababu utachangia wewe kufikiria zaidi

3. Nunua mafuta ya taa kidogo tu(kipimo kidogo) halafu changanya kidoogo kwenye msosi, upate tu ile harufu. Hautakaa ufikirie ngono tena.

4. Usiende KONA bar wala usipige PUNYETO

Faida za ushauri wangu ni zifuatazo;

1. Hautakuwa na mawazo kuhusu ngono, mafuta ya taa yatakusaidia kukata mawazo kabisa
2. Usipoenda KONA bar utakuwa umejiepusha na VVU pia na 'NAFSI KUKUSUTA MILELE' kwa kumcheat mkeo. Na tatizo la 'NAFSI KUKUSUTA' itaendelea mpaka kwa watoto wako(ukiwaangalia utaona kama wanajua ulichofanya). Hapo utaishi maisha ya shida sana.

Kaza uzi mkuu, mimi nasafiri kila baada ya miezi miwili mbali na mke wangu, naota ndoto pevu, mzee anasimama, etc lakini msimamo ni ule ule.

Mwisho jishughulishe na sali sana.

Thanks mdau!!
 
Mdau hapo juu nimeupenda ushauri wako.... Kifupi ww mvaa tai tumia akili yako
 
Ingia gym piga nondo na mazoezi makali hutakuwa una-entertain mawazo ya ngono. Unajua dhamira huanzia akilini. Don't entertain evil thoughts manake shetani ana nguvu sana. Usipoangalia utaenda ku-buy na kumsaliti mke wako. Si vizuri.
 
Inatakiwa uweke Imani kwamb mke hayupo,usiwazie masuala ya Mapenzi ukiona unasumbuka sn kunywa mafuta ya Taa
 
Hata ukishinda unaperuzi Jf ni vizuri pia,unakuta usingizi umekupitia maana usiku watu wanakuwa serious vibaya mnoo
 
Toka uzaliwe na ukabalehe, ukawa bachelor na ukaja ukaoa. Je kwani ulizaliwa na k? Tumia mbinu hizo hizo before hujaoa
 
mvaa tai kanuni ni hii mkeo ameacha ombwe hutaweza kuishi na ombwe, vacuum,upweke utakumaliza huwezi kupata yote mawili mke akasome halafu awe nawe yeye kwa vile anaelewa hatauliza atampokea msaidizi wako kwa bashasha na tabasam huenda akamliwaza zaidi ya ulivowahi kufanya.hivi tunavooongea kaburudishwa kastarehe.kaka siri hazisemwi kamata msaidizi wa mkeo uone miezi itakavokimbia miezi sita itakuwa wiki sita.TAZAMA CD YA DJ BEN.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom