KULA MZIGO HATA YEYE HUKO ATALIWA TU!!!!!!!!!!!
Eboo!! Nimeshtuka!!Usipopata soln utuite na sie wanawake watu wazima
Wadau wa JF mwenzenu nipo katika wakati mgumu sana nataka tubadirishane uzoefu. Mke wangu kasafiri kikazi nje ya nchi atakuwa huko kwa miezi Sita na tokea ameondoka ni miezi miwili tu imepita, mwenzenu sijafanya mapenzi mda wote huo wa miezi miwili na kichupa nahisi kimejaa.
Napata taabu sana nimejaribu kufanya mazoezi na kushiriki michezo mbali mbali kusahau maswala ya ngono, achilia mbali nikiwa ofisini naji keep busy sana lakini ikifika usiku nikiwa Kitandani napata taabu sana maana 'mzee' anasimama wima kwa mda mrefu sana hata usingizi inakuwa ishu kupata,
Mimi sitaki lakini mwili unahitaji kufanya mapenzi kwakweli, Hebu nipeni uzoefu nifanye nini ili katika hiki kipindi cha miezi sita nisitoke nje ya ndoa kwani ni miezi miwili tu hali imeshakuwa hivi, je kuna mtu amewahi kukaa mda mrefu kiasi hiki bila kufanya mapenzi? kama yupo anipe uzoefu alikuwa anafanya nini kuikabiri hii hali maana kuna kila dalili kwamba nitashindwa.
Inatakiwa kama M4 flani
Nishauri kiongozi mimisina tamaa ila nimetingwa tuu
Duh, hii comment yako imevaa makombati!
Ndio....
Usitoke nje ya ndoa ni kosa kuubwa kwa wanandoa, ila nakushauri uemde pale kona bar au buguruni au meeda na ukifika pale angalia mrembo anaemzidi mkeo uzuri then mpakie kwenye gari uende nae guest mkalale tuu. Utakapoamka utakuwa poa
mimi namjua mdada mmoja ambaye alienda kusoma mwaka na nusu, lakini akapata home sickness akaacha shule akarudi kubemebeleza mume.mwambie mkeo ukweli, anaweza pia katisha course. mimi mambo ya kusoma nje nilishajikataliaga, wanangu nalea mwenyewe, nitasoma humuhumu.mbona vyuo vipo?(samahani naona nimeingia kwenye 'FOR GENTS', but nilikuwa nimefunga mlango)
Mvaa Tai
Hakuna suluhu moja inayotatua matatizo yote, mazingira yanatofautiana sana kati ya mtu na mtu. Watu watatoa ushauri mwingi sana, wengine mzuri na wengine mbaya.
Kwanza nikupongeze kwa kukaa miezi miwili na kuvumilia, na nna imani ukiendelea kuona fahari zaidi juu ya ushindi wa hiyo miezi miwili na kuacha kuogopa miezi minne ijayo, itakupa ujasiri sana na nguvu za kuendelea kuwa vumilivu.
Nilichojifunza maishani, kitu ukiwa unakiwaza sana na kuogopa sana kisikupate, ndivyo utakavyotumia muda mwingi kupingana nacho.
Ukiamua kutoka nje ya ndoa leo, huenda ukasababisha matatizo makubwa na ikwa mwanzo wa majuto kwenye maisha yako. Kuanzisha tabia mara nyingi sio tatizo sana, ila kuiacha ndio mtihani.
Naomba nikuache na hii mistari uisome kila mawazo hayo yanapokujia......
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambolitakalomwangamiza nafsi yake. Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima;Wala fedheha yake haitafutika.