Kwa wanaume watu wazima tu!!!

Kwa wanaume watu wazima tu!!!

Wadau wa JF mwenzenu nipo katika wakati mgumu sana nataka tubadirishane uzoefu. Mke wangu kasafiri kikazi nje ya nchi atakuwa huko kwa miezi Sita na tokea ameondoka ni miezi miwili tu imepita, mwenzenu sijafanya mapenzi mda wote huo wa miezi miwili na kichupa nahisi kimejaa.

Napata taabu sana nimejaribu kufanya mazoezi na kushiriki michezo mbali mbali kusahau maswala ya ngono, achilia mbali nikiwa ofisini naji keep busy sana lakini ikifika usiku nikiwa Kitandani napata taabu sana maana 'mzee' anasimama wima kwa mda mrefu sana hata usingizi inakuwa ishu kupata,

Mimi sitaki lakini mwili unahitaji kufanya mapenzi kwakweli, Hebu nipeni uzoefu nifanye nini ili katika hiki kipindi cha miezi sita nisitoke nje ya ndoa kwani ni miezi miwili tu hali imeshakuwa hivi, je kuna mtu amewahi kukaa mda mrefu kiasi hiki bila kufanya mapenzi? kama yupo anipe uzoefu alikuwa anafanya nini kuikabiri hii hali maana kuna kila dalili kwamba nitashindwa.
[/QUOT

Ukiendekeza tamaa zitakudrive crazy!

KULA MZIGO HATA YEYE HUKO ATALIWA TU!!!!!!!!!!!
 
Huwa nasikia sikizidi zinatoka zenyewe. We vumilia tu zitoke toke mpaka mama aje. Ukipiga nje tu uta msahau mkeo.
 
Ushauri wangu, japo umewaita wanaume wenzio.
1. Either ukatafute mwanamke au mpenzi wako wa zamani.
Hakikisha husahau kuvaa Kondomu.

2. Weka picha la Porn kisha jipigie zako puli taratibu huku ukitazama.
BILA HVO, UTAUMIA VIBAYA...!!!

aweke picha ya porn ajipigie puli,ndio itakuwa suluhu,madame b na wewe ushaitumia nn io njia?duh kweli kazi ipo hapa.
 
Kaka huu ushauri nitaufanyia kazi SANTE!! japo namba nne sijakupata vizuri ukifafanua itanisaidia zaidi

Hahaha....
Nahisi mawazo yako yameenda mbali kweli kweli...si hivyo ndugu yangu kama ulivyofikiri.
Unachokikosa wewe sio ngono peke yake bali unakosa kampani pia.
Wakati mwingine porojo za hapa na pale zitafanya akili yako isitekwe na mawazo ya kingono.

Mawaza ya ngono kwa mwanaume huja kwa namna mbili, ya kwanza huja kwa kuumba fikra ya matamanio na pili huja kwa kuona au kusikia vishawishi.
Ukijitahidi kuyakosa hayo mambo mawili basi ngono unakuwa umeishinda kwa kiasi kikubwa.
 
kwa hiyo ang'oe mama akirudi atakuta aipo; mbona ushauri mgumu sana au me sielewi mh any way kwa wanaume watu wazima tu nikomeee mie.
 
Usijaribu!!!!!!!! (ukifanya hivyo usinilaumu baadae)inawezekana hata kama ingekuwa zaidi ya hapo.... nasema tena usijaribu
 
Najua kwa kutokufanya mapenzi siwezi kufa ila cha mtema kuni ndo nitakiona, hapa najaribu kuomba msaada wa mawazo nisikumbane na hicho cha mtema kuni.

Kuna kitu uimepanga kufanya?
 
Wadau wa JF mwenzenu nipo katika wakati mgumu sana nataka tubadirishane uzoefu. Mke wangu kasafiri kikazi nje ya nchi atakuwa huko kwa miezi Sita na tokea ameondoka ni miezi miwili tu imepita, mwenzenu sijafanya mapenzi mda wote huo wa miezi miwili na kichupa nahisi kimejaa.

Napata taabu sana nimejaribu kufanya mazoezi na kushiriki michezo mbali mbali kusahau maswala ya ngono, achilia mbali nikiwa ofisini naji keep busy sana lakini ikifika usiku nikiwa Kitandani napata taabu sana maana 'mzee' anasimama wima kwa mda mrefu sana hata usingizi inakuwa ishu kupata,

Mimi sitaki lakini mwili unahitaji kufanya mapenzi kwakweli, Hebu nipeni uzoefu nifanye nini ili katika hiki kipindi cha miezi sita nisitoke nje ya ndoa kwani ni miezi miwili tu hali imeshakuwa hivi, je kuna mtu amewahi kukaa mda mrefu kiasi hiki bila kufanya mapenzi? kama yupo anipe uzoefu alikuwa anafanya nini kuikabiri hii hali maana kuna kila dalili kwamba nitashindwa.
huyo anatudanganya,
punyeto nyo jee?
 
Mbona ni muda mfupi sana huo?????
Inaelekea unaendekeza sana ngono, hebu heshimu ndoa yako na umuheshimu mkeo,
Na kama wewe ukishindwa inabidi ukubali na mkeo akishindwa kujitunza
 
Usijidhulumu wewe utaishia kudata bure. Hebu nenda hapo Kona Bar au Meeda baadae leo ukamege.
Ushauri mzuri sana, zamani Enzi za Mwl mtu akizidiwa alifanya hivyo. Usitongoze maana wa kutongoza ataongeza bajeti. Hata hivyo masuala ya mume 1 mke 1 siyo yetu, tumedandia gari kwa mbele. Nakumbuka bibi alikuwa akimtafutia babu mtu wa nje ( mara moja moja kama nyama ya hamu/ mshikaki) na walikuwa wakipendana sana. Siku hizi pete za ndoa nzuri mbwembwe nyingi lakini upendo '0'.
 
Nishauri kiongozi mimisina tamaa ila nimetingwa tuu

aziniye na mwanamke hana akili kabisa afanya jambo litakalo angamiza roho yake! ukiwa katika mchakato wa kutafuta suluhisho uwe unatafakari andiko hilo la biblia!
 
naomba unijibu swali hili kabla hujaowa ulikuwa una fanyaje? ukijibu hili nakupa jawabu murua kabisa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom