Hakuna mrembo zaidi ya mke wangu!!!
Pengine!!!
Mkuu huwezi amini yaani nimepanga nisiduu mpaka mama arudi lakini naona naelemewa, mimi nataka nipate mdau aliye kwenye ndoa na amewahi kufanikiwa kukaa mda mreefu kiasi hicho bila kumega anipe siri ya mafanikio
Mpigie simu mkeo, ongea naye, umuulize yeye maisha yake anayaendeshaje bila wewe huko aliko. Then, ufanye kama anavyofanya, maana nyie ni mwili mmoja.
Ushauri wangu, japo umewaita wanaume wenzio.
1. Either ukatafute mwanamke au mpenzi wako wa zamani.
Hakikisha husahau kuvaa Kondomu.
2. Weka picha la Porn kisha jipigie zako puli taratibu huku ukitazama.
BILA HVO, UTAUMIA VIBAYA...!!!
Namuamini sana lakini mchangiaji alisema PENGINE na ningebisha angenichalenji kwamba nitajuaje huko aliko? vinginevyo naomba ujue kwamba namuamini sana ndo maana nathubutu kupata taabu kiasi hiki kwa ajiri yakeSasa pengine humuamin mkeo? Mie nakushaur mkuu kabla hujaish na mkeo namaanisha kabla hujamuoa mkeo ulikua unaish VIP? Nijibu nikuoe njia mbadala maaana mke ni heshma kubwa haswa kwa anaejielewa vipuku puku ni uvundo na ukiiukabili bas hata ukoge vip utanuka vindo na mkeo atagundua kama muaminif ila Kama nayeye anapinda nje bas mtawanukisha watoto wenu vundo hilo la ngono zembe
mimi huwa napiga ulabu kwa WINGI , nikiingia kitandani tu nashituka ni asubuhi , huyoooooooo kibaruani . ukizidiwa nunua za kichina , piga goli za uhakika kama mbili hivi then swali
Utadata wewe, shauri yako.
Kumega ni stress reliever. Sasa wewe ezi mbili tu hoi....hizo ezi aruba zilizobaki si utaokota makopo kabisa....
Wewe nenda kanunue sukari upone. Sio dhambi.
...mkuu naomba muongozo kwanza,kabla ya kuoa ulikuwa chapachapa...?
achana nae huyo kashindwa kuficha ujinga wake.Mkuu huwezi amini yaani nimepanga nisiduu mpaka mama arudi lakini naona naelemewa, mimi nataka nipate mdau aliye kwenye ndoa na amewahi kufanikiwa kukaa mda mreefu kiasi hicho bila kumega anipe siri ya mafanikio
Wadau wa JF mwenzenu nipo katika wakati mgumu sana nataka tubadirishane uzoefu. Mke wangu kasafiri kikazi nje ya nchi atakuwa huko kwa miezi Sita na tokea ameondoka ni miezi miwili tu imepita, mwenzenu sijafanya mapenzi mda wote huo wa miezi miwili na kichupa nahisi kimejaa. Napata taabu sana nimejaribu kufanya mazoezi na kushiriki michezo mbali mbali kusahau maswala ya ngono, achilia mbali nikiwa ofisini naji keep busy sana lakini ikifika usiku nikiwa Kitandani napata taabu sana maana 'mzee' anasimama wima kwa mda mrefu sana hata usingizi inakuwa ishu kupata, Mimi sitaki lakini mwili unahitaji kufanya mapenzi kwakweli, Hebu nipeni uzoefu nifanye nini ili katika hiki kipindi cha miezi sita nisitoke nje ya ndoa kwani ni miezi miwili tu hali imeshakuwa hivi, je kuna mtu amewahi kukaa mda mrefu kiasi hiki bila kufanya mapenzi? kama yupo anipe uzoefu alikuwa anafanya nini kuikabiri hii hali maana kuna kila dalili kwamba nitashindwa.
Wee mama unatafuta nini huku?