Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,670
yashindwe mawazo yako potofu kama we huwezi vumilia ni wewe tu usitake wengine pia wawe hivyo.
Mimi nasubiri siku ukileta uzi mwingine hapa jamvini ukiomba ushauri ufanyeje wakati wako yu karibu kurejea na kimada ana mimba na amekatalia ndani kwako.
