Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,284
- 111,335
Wadau wa JF mwenzenu nipo katika wakati mgumu sana nataka tubadirishane uzoefu. Mke wangu kasafiri kikazi nje ya nchi atakuwa huko kwa miezi Sita na tokea ameondoka ni miezi miwili tu imepita, mwenzenu sijafanya mapenzi mda wote huo wa miezi miwili na kichupa nahisi kimejaa.
Napata taabu sana nimejaribu kufanya mazoezi na kushiriki michezo mbali mbali kusahau maswala ya ngono, achilia mbali nikiwa ofisini naji keep busy sana lakini ikifika usiku nikiwa Kitandani napata taabu sana maana 'mzee' anasimama wima kwa mda mrefu sana hata usingizi inakuwa ishu kupata,
Mimi sitaki lakini mwili unahitaji kufanya mapenzi kwakweli, Hebu nipeni uzoefu nifanye nini ili katika hiki kipindi cha miezi sita nisitoke nje ya ndoa kwani ni miezi miwili tu hali imeshakuwa hivi, je kuna mtu amewahi kukaa mda mrefu kiasi hiki bila kufanya mapenzi? kama yupo anipe uzoefu alikuwa anafanya nini kuikabiri hii hali maana kuna kila dalili kwamba nitashindwa.
Oooh! Mr Faithful, what if kama mkeo huko alipo kuna msela anammega kumpungunza nyege!! Woman just like a device it's pairing nearest device.
Eboo!! Nimeshtuka!!
shikamoo mama naomba uniite miye
Ingawa hujasema NDOA ina umri gani! lkn nahisi bado nichanga baadhi yetu tulipokuwa na ndoa changa tulishaishi maisha ya ahadi so kwa mm cshangai sn! Kwa style hii kuuana kwenye Mapenzi hakutaisha Fikiria ww TZ wyf ughaibuni Itakuwaje cku wyf anarudi nakitumbo! au kwa vyovyote ukashtukia kuwa katafunwa naikiwa ww uliyatunza magundi hd arudi unadhani itakuwaje! Miezi miwili Umeanza kuomba ushauri mkeo anafanyaje? cdhani km atakwambia namna anavyoikabili hyo hali Ha2ko hapa kuhamacsha CHEAT Ila twapeana ukwel
Hamko na Housegirl??Mkuu huwezi amini yaani nimepanga nisiduu mpaka mama arudi lakini naona naelemewa, mimi nataka nipate mdau aliye kwenye ndoa na amewahi kufanikiwa kukaa mda mreefu kiasi hicho bila kumega anipe siri ya mafanikio
haya kazi kwako teleza jibaba usiwaze sanaaTuna House Girl na House boy
Hahaa haa wee umefikiria nini?
"Mvaa Tai; Siwezi kusema lolote hapa, kwasababu nayeye ni binaadam, ila mimi nataka nisichiti, nini kifanyike kunipunguza haya manyege mbali na kufanya mazoezi."
Kama hutaki kumsaliti mkeo we piga puli tu mambo yatakua mswano otherwise we endelea kuvaa tai tu wakati wavaa tsht na jeans wanajimegea tu mkeo huko ng'ambo.
haya kazi kwako teleza jibaba usiwaze sanaa
Wee mama unatafuta nini huku?
Thanks best, ila mimi nilidhani wanaume tu ndo wangekuwa wanaushauri sahihi maana hali yangu wanaielewa vizuriYani huyu mama mwenzangu kaona unapewa mawazo HEWA....
Labda nami nikwambie NOTHING IS IMPOSIBLE TO A WILLING HEART..
Ukiamua hautomgusa mwanamke mwigine mpaka MREMBO WAKO AREJEE..
Good luck ndg..