Kwa wanaume watu wazima tu!!!

Kwa wanaume watu wazima tu!!!

Nimekuelewa kiongozi ila hapo penye nyekundu nimepaelewa zaidi kwasababu hata mimi Roho yangu ipo kwa wife ila tatizo ni hili limwili tu ndo linanizingua.
Afadhali umemwelewa huyu jamaa. cha kuongezea hapo kati ya mwili na roho, roho inatakiwa iwe na nguvu kuliko mwili ukifikia hapo hata sababu ya kuuliza haipo utashinda tu (ifanye roho kuwa na nguvu kuliko limwili)
 
Kaka naendelea kupambana ila napata wakati mgumu sana ifikapo weekend

kweli week end ni mtihani, angalia mipira na move kama unapendelea na wakati mwingine unaweza kwenda sehemu za mahubiri ukapata neno la Mungu
 
Hivi unadhania nini umuhimu wa Plan B ? hii sio tu kwa enzi zetu bali hata Enzi Za Mwalimu hii kitu ilikuwepo na ilihalalishwa baadhi ya maeneo chukulia mfano mmelala nyumba moja na watoto wako wote ikawaka moto mkapotea wote nani anaendeleza ukoo? Mkuu sio issue kabisa Plan B aka nyumba ndogo zipo kwa ajili yetu kwa emergency kama hiyo ya kwako,kufungiwa nje usiku baada ya kuchelewa kurudi,kunyimwa chakula home,kunyimwa kilowekeo(kitonge manyoya),mashauz ya nyumbani ukiona hayo nenda kwa mchungaji/mufti ukiona maumivu yanaziti fuata ushauri wa doc( Jamii forums) kuwa nenda kamege pale corner bar ama Buguruni lakini naona bora uwe nakitu kimoja matata badala ya kila mara kwenda corner bar ukizidiwa.Ni PM nikifanyie mpango uletewe huduma ulipo ila vigezo na masharti huzingatiwa.
 
Mkuu kutafuta vimeo siyo kazi, hapa ishu ni kwamba nataka ushauri nipambane vipi ili nisfikie hatua ya kutafuta kimeo
 
Mkuu wombolombo nimecheka sana! cjui watu mnafikiriaga nn hadi kuandika maneno km haya!
 
Mimi nasubiri siku ukileta uzi mwingine hapa jamvini ukiomba ushauri ufanyeje wakati wako yu karibu kurejea na kimada ana mimba na amekatalia ndani kwako.
 
Jaribu masterbation, it always tell the truth na haina gharama hata senti moja

Wadau wa JF mwenzenu nipo katika wakati mgumu sana nataka tubadirishane uzoefu. Mke wangu kasafiri kikazi nje ya nchi atakuwa huko kwa miezi Sita na tokea ameondoka ni miezi miwili tu imepita, mwenzenu sijafanya mapenzi mda wote huo wa miezi miwili na kichupa nahisi kimejaa.

Napata taabu sana nimejaribu kufanya mazoezi na kushiriki michezo mbali mbali kusahau maswala ya ngono, achilia mbali nikiwa ofisini naji keep busy sana lakini ikifika usiku nikiwa Kitandani napata taabu sana maana 'mzee' anasimama wima kwa mda mrefu sana hata usingizi inakuwa ishu kupata,

Mimi sitaki lakini mwili unahitaji kufanya mapenzi kwakweli, Hebu nipeni uzoefu nifanye nini ili katika hiki kipindi cha miezi sita nisitoke nje ya ndoa kwani ni miezi miwili tu hali imeshakuwa hivi, je kuna mtu amewahi kukaa mda mrefu kiasi hiki bila kufanya mapenzi? kama yupo anipe uzoefu alikuwa anafanya nini kuikabiri hii hali maana kuna kila dalili kwamba nitashindwa.
 
Karl marx alisema,ushauri ni mzuri lakini maamuzi ya mwisho ni juu yako mwenyewe.kazi kwako ndugu yetu.
 
Hivi unadhania nini umuhimu wa Plan B ? hii sio tu kwa enzi zetu bali hata Enzi Za Mwalimu hii kitu ilikuwepo na ilihalalishwa baadhi ya maeneo chukulia mfano mmelala nyumba moja na watoto wako wote ikawaka moto mkapotea wote nani anaendeleza ukoo? Mkuu sio issue kabisa Plan B aka nyumba ndogo zipo kwa ajili yetu kwa emergency kama hiyo ya kwako,kufungiwa nje usiku baada ya kuchelewa kurudi,kunyimwa chakula home,kunyimwa kilowekeo(kitonge manyoya),mashauz ya nyumbani ukiona hayo nenda kwa mchungaji/mufti ukiona maumivu yanaziti fuata ushauri wa doc( Jamii forums) kuwa nenda kamege pale corner bar ama Buguruni lakini naona bora uwe nakitu kimoja matata badala ya kila mara kwenda corner bar ukizidiwa.Ni PM nikifanyie mpango uletewe huduma ulipo ila vigezo na masharti huzingatiwa.

Aminia mkuu. Huu ushauri nimeupenda kinamna. Kwetu tuliosoma kitu inaitwa "safety engineering", huwa tunaongelea mambo kama emergency exits" "safety valves" au "overflow controls" hii yote ni kumlinda mtumiaji wa kifaa, machine au jengo iwapo la kutokea litatokea.. cha msingi hapa mhusika ajuwe tu vizuri namna ya kutumia safety options ulizozitaja, maana zote hizi kila moja ina ujuzi wake..

Wabheja sana
 
Mwagia konyagi mkuu it always works,ila isiwe feki ile ya kimara
 
Mkuu mvaa Tai bado hujaamua hasa kuhusu uaminifu kwa mkeo kipenzi. Mimi ni mwanaume na nakumbuka last year my wife alisafiri kwa miezi minne. Kiukweli nilipata wakat mgumu sana, ila kilichonisaidia ni kwamba baada ya wife kuondoka nilijitengenezea mazingira ya kuwai nyumbani na kupunguza safari za bar ili kupunguza vishawishi. Nilispend muda mrefu na watoto kuliko mtu mwingine yeyote. Na kuwa committed kwenye kazi zangu pamoja na kumwomba Mungu akuongoze wakati huu mgumu. Hali uliyonayo ni "natural" na ni vigumu kustop nature ila unaweza kuicontrol ikiwa utaamua. Jitaidi sana kuwasiliana na mkeo wakati mkiwa free.
Kuna wadau wanakushauri utafute kimada, ila nataka nikushauri kuwa hakuna balaa kama la kuwa na kimada. Huwa wanavuruga plan zako zote na kukufedhehesha pale wife atakaporudi. Usimsaliti mkeo, kumbuka utakavyomtendea ndivyo nae atakavokutendea. Hebu fikiria nae nyege zikimpanda akaamua kutafuta kitulizio huko abroad, wewe utajisikiaje?? Nakukumbusha tu ile sheria ya Newton kwenye motion kama sikosei ni ya tatu.
 
Hongera zako Mkuu umeshakata miezi mitatu na ushee hivyo endelea na uvumilivu wako ingawaje najua ni kazi kubwa sana. Nimekusoma hapo juu kwamba week ends ndio zinakupa shida sana. Weekends ndio siku za kuongea na mwenzio hata mara tano au zaidi kwa siku. Kama tatizo ni gharama kule majuu kuna calling cards ambazo zinapunguza sana gharama za long distance calls, kama hazijui hizo cards mwambie azitafute ili akusaidie kukata weekends zako.

Kaka kaka nimepiga hesabu za haraka haraka naona hata nikienda na kurudi tu natakiwa nitafute si chini ya M3, Kuna maushauri kibao nilipewa na washkaji najaribu kuyafanyia kazi lakini...............
 
mimi namjua mdada mmoja ambaye alienda kusoma mwaka na nusu, lakini akapata home sickness akaacha shule akarudi kubemebeleza mume.mwambie mkeo ukweli, anaweza pia katisha course. mimi mambo ya kusoma nje nilishajikataliaga, wanangu nalea mwenyewe, nitasoma humuhumu.mbona vyuo vipo?(samahani naona nimeingia kwenye 'FOR GENTS', but nilikuwa nimefunga mlango)
haaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaa royna u made my evening thank you.
 
Last edited by a moderator:
inafariji kujua we still have a generation of faithfull and men who know themselves,hongera sana mkuu endelea hivyo hivyo usiruhusu chochote kikubadilishe because there is nothing tasty and pretty like having a happy familly,huwezi kununua familia yenye furaha hata siku moja.
Mkuu mvaa Tai bado hujaamua hasa kuhusu uaminifu kwa mkeo kipenzi. Mimi ni mwanaume na nakumbuka last year my wife alisafiri kwa miezi minne. Kiukweli nilipata wakat mgumu sana, ila kilichonisaidia ni kwamba baada ya wife kuondoka nilijitengenezea mazingira ya kuwai nyumbani na kupunguza safari za bar ili kupunguza vishawishi. Nilispend muda mrefu na watoto kuliko mtu mwingine yeyote. Na kuwa committed kwenye kazi zangu pamoja na kumwomba Mungu akuongoze wakati huu mgumu. Hali uliyonayo ni "natural" na ni vigumu kustop nature ila unaweza kuicontrol ikiwa utaamua. Jitaidi sana kuwasiliana na mkeo wakati mkiwa free.
Kuna wadau wanakushauri utafute kimada, ila nataka nikushauri kuwa hakuna balaa kama la kuwa na kimada. Huwa wanavuruga plan zako zote na kukufedhehesha pale wife atakaporudi. Usimsaliti mkeo, kumbuka utakavyomtendea ndivyo nae atakavokutendea. Hebu fikiria nae nyege zikimpanda akaamua kutafuta kitulizio huko abroad, wewe utajisikiaje?? Nakukumbusha tu ile sheria ya Newton kwenye motion kama sikosei ni ya tatu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom