HAKUNA MWANAUME AISIYE NA MATATIZO YA KIAFYA,KIAKILI MWENYE MWANAMKE MMOJA!!!!kubipu muda mwingine hakuepukiki!mapadri na masheikh wameshindwa sembuse wewe mkuu
Thanks best, ila mimi nilidhani wanaume tu ndo wangekuwa wanaushauri sahihi maana hali yangu wanaielewa vizuri
Wadau wa JF mwenzenu nipo katika wakati mgumu sana nataka tubadirishane uzoefu. Mke wangu kasafiri kikazi nje ya nchi atakuwa huko kwa miezi Sita na tokea ameondoka ni miezi miwili tu imepita, mwenzenu sijafanya mapenzi mda wote huo wa miezi miwili na kichupa nahisi kimejaa.
Napata taabu sana nimejaribu kufanya mazoezi na kushiriki michezo mbali mbali kusahau maswala ya ngono, achilia mbali nikiwa ofisini naji keep busy sana lakini ikifika usiku nikiwa Kitandani napata taabu sana maana 'mzee' anasimama wima kwa mda mrefu sana hata usingizi inakuwa ishu kupata,
Mimi sitaki lakini mwili unahitaji kufanya mapenzi kwakweli, Hebu nipeni uzoefu nifanye nini ili katika hiki kipindi cha miezi sita nisitoke nje ya ndoa kwani ni miezi miwili tu hali imeshakuwa hivi, je kuna mtu amewahi kukaa mda mrefu kiasi hiki bila kufanya mapenzi? kama yupo anipe uzoefu alikuwa anafanya nini kuikabiri hii hali maana kuna kila dalili kwamba nitashindwa.[/Q
network ikiwa full piga pushup na maskwashi ya kutosha...itakuwa vizuri ukifanya mazoezi haya asubuhi na usiku kabla ya kuoga!!! inasaidia sana...
Oooh! Mr Faithful, what if kama mkeo huko alipo kuna msela anammega kumpungunza nyege!!
Woman just like a device it's pairing nearest device.
Siwezi kusema lolote hapa, kwasababu nayeye ni binaadam, ila mimi nataka nisichiti, nini kifanyike kunipunguza haya manyege mbali na kufanya mazoezi
hapo ndo kuna umuhimu wa Roho mtakatifu kwenye maisha ya mwanadamu,.hebu usiijengee hoja dhambi ona kabs uznz ni dhamb na ukfanya unamkosea Mungu na kumsikitisha.!! tafadhal nakuomba ikaribie biblia na usome kila siku usiku au unapokuw mpweke naamn had kumaliza vtabu kumi mkeo atakuw asharud.,lakn kutoka nje ya ndoa ni kosa kubwa kwa Mungu na shetan anaweza akakuangamiza kbs kwa vvu.,plz usfanye.!!
Wadau wa JF mwenzenu nipo katika wakati mgumu sana nataka tubadirishane uzoefu. Mke wangu kasafiri kikazi nje ya nchi atakuwa huko kwa miezi Sita na tokea ameondoka ni miezi miwili tu imepita, mwenzenu sijafanya mapenzi mda wote huo wa miezi miwili na kichupa nahisi kimejaa.
Napata taabu sana nimejaribu kufanya mazoezi na kushiriki michezo mbali mbali kusahau maswala ya ngono, achilia mbali nikiwa ofisini naji keep busy sana lakini ikifika usiku nikiwa Kitandani napata taabu sana maana 'mzee' anasimama wima kwa mda mrefu sana hata usingizi inakuwa ishu kupata,
Mimi sitaki lakini mwili unahitaji kufanya mapenzi kwakweli, Hebu nipeni uzoefu nifanye nini ili katika hiki kipindi cha miezi sita nisitoke nje ya ndoa kwani ni miezi miwili tu hali imeshakuwa hivi, je kuna mtu amewahi kukaa mda mrefu kiasi hiki bila kufanya mapenzi? kama yupo anipe uzoefu alikuwa anafanya nini kuikabiri hii hali maana kuna kila dalili kwamba nitashindwa.
Kama utaacha porojo za hapa kwa MMU na utajichunguza dhamira yako ya ukweli utagundua..Mimi sitaki lakini mwili unahitaji kufanya mapenzi kwakweli, Hebu nipeni uzoefu nifanye nini ili katika hiki kipindi cha miezi sita nisitoke nje ya ndoa kwani ni miezi miwili tu hali imeshakuwa hivi,
Kama utaacha porojo za hapa kwa MMU na utajichunguza dhamira yako ya ukweli utagundua..
- Unatudanganya ..Naamini haukuwa mwaminifu katika ndoa yako..au mkeo hukumpenda kiukweli zaidi ya bendera fuata upepo..Mara nyingi vijana ambao wameoana , na wanaopendana kiukweli kabla ya kuwa na watoto wanapitia kipindi cha mchakato wa maendeleo kwa ajili ya kujenga familia..Katika kipindi hiki probability ya kuwa na mawazo ya ngono nje ya ndoa ni finyu sana hata kama mmoja atasafiri kwa muda mrefu.....Automatically, hayo mawazo yanakuwa hakuna..sehemu ambayo ingechukuliwa na hayo mawazo inakuwa imetawaliwa na mawazo mengine ya maana..Ukijona wewe mawazo yako yako kwa ngono ujijue unafikiria mkate wa leo na kesho na sio wa kesho kutwa..Na most probable ndoa yako itachuja mapema sana...
- Kama mmeoana na mna watoto na wewe kama Baba unapenda familia yako na watoto wako basi hayo mawazo yanakuwa hakuna..ni Human instinct.. Ukiona wewe unatawaliwa na hayo mawazo basi ujue tayari umekosa vigezo vya kuitwa mume au baba..yaani ni mzinzi.. Huna haja ya kuja kuomba ushauri hapa ili kuhalalisha uzinzi wako..
Ushauri wangu... Hakuna ambaye atakupa ushauri hapa.. unachotakiwa kukumbuka ni kuwa "dhamira yako na moyo wako ndio suluhisho la pekee" Chunguza dhamira yako mara 1000! Kumbuka Asimilia 95% ya wewe kuitwa Mume au baba wa familia siyo uwezo wako wa kusimamisha hiyo ndude yako... kuna vigezo vingi vingi ambavyo vinaweza kutawala mawazo yako na kushinda tamaa zako za kimwili... Katika asimilia 100% ya wewe kuitwa Mume au baba ...asilimia 5% tu ndio ya mawazo yanayohusu hiyo ndude yako hivyo basi ni rahisi kuidhibiti bila kuja kuomba ushauri hapa MMU.. "Tafakari na chukua hatua!
Good Luck!