Kwa wanaume watu wazima tu!!!

Ushauri wangu ni huu hapa.
1. Usiwaze ngono asilani, hata ukiona tu unakumbuka namna ulivyokuwa unafurahia pindi ufanyapo mapenzi na mkeo, hamisha mawazo haraka sana. Narudia, USIRUHUSU, USIRUHUSU, USIRUHUSU mawazo ya ngono yapite kichwani kwako.

2. Pili usiwe mwaminifu kwa ajili ya mkeo bali kuwa mwaminifu kwa kuwa wewe uko hivyo (Kwa kuwa unaamini katika uaminifu, na kwa kuwa ungependa kumpendeza Mungu wako). Hii maana yake ni kuwa hata kama utahakikisha kuwa mkeo anatoka nje ya ndoa, hii haitakiwi kukufanya wewe utoke nje ya ndoa.

3. Usiangalie movies na picha zinazohamasisha ngono. Na hata uwapo huko mitaani jizuie kadri uwezavyo kutupia macho warembo.

4. Mtegemee M'mungu katika kufanikisha azma yako, kwa sababu binadamu peke yetu tuna udhaifu mwingi sana.

5. Ongezea na hayo aliyosema watu8 hapo juu.

6. Ukifanya yote hayo hapo juu, kuna wakati inafika asili huchukua mkondo wake na ndipo unapata zile ndoto waingereza wanaita wet dreams.

7. Sidhani kama itasaidia sana lakini si vibaya nikisema kuwa niliwahi ku-survive kwa miaka miwili kwa utaratibu huo hapo juu.

Kila la heri na bravo TEAM FAITHFULNESS.
 
unaweza kukaa hata miaka miwili bila ya kufanya chochote, uamuzi ni wako kama unajiheshimu na una msimamo hicho ni kipindi kifupi sana,
Hebu fikiria yule ambae unamuhisi unaweza mukafanya mambo yenu, una uhakika hana ukimwi? ukifanya leo na kesho utarudia, jee mkeo akirudi nini utamueleza akigundua? jee watu wanaokufahamu na kukuheshimu wakikuona mitaani na mwanamke vipi heshima yako itakavyokuwa? kama utakwenda guest ukutane na watu wa ukweni utakuwa vipi?
 
Mpigie simu mkeo mwambie una nyege za kufa mtu...Dudu inasimama usiku kucha hata usingizi hauji. Muulize naye anajimudu vipi kukosa dudu yako kwa miezi miwli sasa!? labda maelezo yake yanaweza kukusaidia kwa namna moja au nyingine. Pole zako. Post yako imenikumbusha jamaa mmoja hapa jamvini yeye na mkewe waliamua wakae mwaka mzima bila kugegedana eti kuongeza hamu kwi kwi kwi hivyo akaanzisha uzi na kudai hatagegeda tena hadi mwezi August mwaka huu, lakini tayari walikuwa wana mwezi mmoja na jamaa uzalendo ulishamshinda ndani ya mwezi tu :):) jamaa hapa wakamtania sana avumilie tu maana utamu wa kukaa mwaka mzima utakuwa ni moto wa kuotea mbali lol!!!
 
kichupa kikisimama fanya hivi
chukua mafuta ya mgamdo mengi kidogo yapake kwenye kiganja chako cha mkono wa kushoto then tengeneza zero kwa kuunganisha kidole gumba na kidole kinachofuata baada ya kidole gumba alafu ifanye hiyo kama K ya mke wako then ingiza kichupa chako hapo kwenye hilo duara ulilotengeza kwa kidole mkono then uwe unaingiza na kutoa km unangonoka huku ukimfikilia mke wake ukiweza unaweza kuendelea kwa kusema katika mama, nikukune wapi; na maneno mengine mnayotumia mpaka utakaposhusha mzigo. pia unaweza kufanya kila unapojisikia
ni salama zaidi
 
mi ni meoa na nina umri wa ndoa mika 12 na mi mke wangu ameshawahi kusafri mb.. ikicmama huwa na ikandana barafu inalala fasta jarb hiyo dawa
 
Shida ya sex ni kuwa huwezi kumaliza ham kwa kufanya. Unapofanya leo kesho unataka zaidi. Jiweke mbali sana na vitu vinvyoweza kuamsha hisia mf. Picha za ngono, kina dada/mama wanaovaa nguo zinazoacha sana miili yao wazi au za kubana sana, au wale wanaopenda sana kuongelea mambo ya mapenzi, ulevi, na kampani za marafiki wanaopenda mambo hayo sana.Hata hivyo hiyo haiwezi kumaliza stress na pressure za usiku hasa hasa alfajiri! Hizo stress na pressure ndo price ya uaminifu. Usidanganywe eti kuna njia ya kumaliza hiyo kitu. Ukiwa na afya na tena unafanya mazoezi lazima pressure ya usiku itazidi. Uanamme ni pamoja na kuzihimili hizo presha.
Ndoto za kutoa usiku huwa hazisaidii sana. Tena kwa wanaume wengi baada ya umri wa miaka 35 kitu hiyo haiji. Ukiota ndoto unastuka kabla ya kumaliza na halo stress huwa mbaya zaidi kwani tukio la ndotoni utalikumbuka mno na litakutesa zaidi.
 
hakuna mrembo zaidi ya mke wangu!!!

kiongozi km umekamilika hiyo ni miezi mingi sana! Tambua pia ur wyf nae huko aliko atagegedwa ucjipe matumaini ya ahadi mliyowekeana kweli anaweza kuwa na mcmamo bt mazingira yatamlazimisha atafunwe hiyo ndo gharama yakuishi mbali na mwandani wako so ukiweza vumilia vinginevyo changanya nazako,,,!!
 
Ushauri wangu, japo umewaita wanaume wenzio.
1. Either ukatafute mwanamke au mpenzi wako wa zamani.
Hakikisha husahau kuvaa Kondomu.

2. Weka picha la Porn kisha jipigie zako puli taratibu huku ukitazama.
BILA HVO, UTAUMIA VIBAYA...!!!

haha Madame B weye humtakii mwenzio mema. huyo mpenzi wa zamani akimganda jee! mbona hiyo ndoa itakuwa na kasheshe. Hakuna kitu kina gharimu wanaume kama nyumba ndogo ambazo zimejishika zikashikamana..
 
Last edited by a moderator:
kichupa kikisimama fanya hivi
chukua mafuta ya mgamdo mengi kidogo yapake kwenye kiganja chako cha mkono wa kushoto then tengeneza zero kwa kuunganisha kidole gumba na kidole kinachofuata baada ya kidole gumba alafu ifanye hiyo kama K ya mke wako then ingiza kichupa chako hapo kwenye hilo duara ulilotengeza kwa kidole mkono then uwe unaingiza na kutoa km unangonoka huku ukimfikilia mke wake ukiweza unaweza kuendelea kwa kusema katika mama, nikukune wapi; na maneno mengine mnayotumia mpaka utakaposhusha mzigo. pia unaweza kufanya kila unapojisikia
ni salama zaidi

Mh! Kweli ww 'kichwa ngumu'
 
haha Madame B weye humtakii mwenzio mema. huyo mpenzi wa zamani akimganda jee! mbona hiyo ndoa itakuwa na kasheshe. Hakuna kitu kina gharimu wanaume kama nyumba ndogo ambazo zimejishika zikashikamana..

Teh teh...'Naam, zimejishika zikashikamana'
 
Last edited by a moderator:
Naomba nikiri kabla ya kuoa nilikuwa na watu tofauti tofauti maana nilikuwa sina mtu permanent, hivyo ilikuwa nikijisikia tu natafuta mtu anakaimu siku moja anakula kona lakini kwasasa mimi ni mme wa mtu natakiwa nisitoke nje ya ndoa tatizo ndo hivo kichupa kimejaa balaa.

...hapo kwenye red ndo tatizo,kwenye bluu ni matokeo ya tatizo na si tatizo kama unavyodhani,kwenye green ni solution kama mindset yako haitarudi mwaka 47 kwa mawazo,inawezekana,chukua hatua....
 
Back
Top Bottom