Kwa wanaume watu wazima tu!!!

Kwa wanaume watu wazima tu!!!

Kwenye mambo km haya ndo utaona kwa kiasi gani? tuko tofauti Niliwahi kusema kwenye Uzi huu! kwa mtazamo wangu hii NDOA ni changa so hayajawakuta makubwa that Y wanakuja na maswali km haya! Nimesema inawezaekana wyf wake akawa na mcmamo lkn mazingira ya huko aliko yakamlazimisha akaGEGEDWA najamaa akishtukia kuwa mkewe katafunwa itakuwaje? Ikiwa yeye kaya2nza magundi ezi6 Hawawezi kuuana? Wa2 wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa!

Ndoa yangu siyo changa kiviile kwasababu Nimeoa Miaka saba iliyopita, hata mtoto wa miaka saba siyo mchanga
 
Mkuu unataka tukutunukie shahada ya uvumilivu au? Usijinyime kihivyo kwani nina uhakika hata mkeo huko aliko naye anamegwa na wajanja walioacha wake zao nyumbani. Kumbuka kuwa wanawake nao wana nyege kama sie wanaume au hata kutushinda hivyo jitafutie wa muda tu mpaka mamaa arudi, ukijinyima kwa hiyo miezi 6 kwa kiburi chako unaweza kujikuta unasahau hata pa kuingilia siku mkeo anakuambia mwenzangu njoo basi kitandani.

Sijui kwanini comments za hivi huwa zinanikwaza japo wakati mwingine zina ukweli?
 
  • Unatudanganya ..Naamini haukuwa mwaminifu katika ndoa yako..au mkeo hukumpenda kiukweli zaidi ya bendera fuata upepo....................... "Tafakari na chukua hatua!

Binaadam tunatofautiana mimi ni Mvaa Tai wewe ni Tulizo , Kumbuka Common Sense is not Common to all, na sikuzuii ku-conclude hivyo, inauma sana mtu nipo matatizoni badala ya kutoa ushauri, unakataa kulikubali Tatizo la muhanga as if ujisikiavyo wewe ndo wanaume wote wapo. Wanaume tunatofautiana ndugu yangu ndiyo maana kuna wanaume wengine hawaoi, wengine wanaoa wake kadhaa na wengine wanapenda mashoga, wengine hawazai wengine wanazaa, sasa kama wewe unaliona hili Tatizo ni uongo utaona kuna watu watakuja hapa wakushangae, Kama sikuwa mwaminifu katika ndoa yangu kwanini hili nilione tatizo mpaka niombe ushauri kwa wanaume wenzangu?
 
[/LIST]

Binaadam tunatofautiana mimi ni Mvaa Tai wewe ni Tulizo ,......... inauma sana mtu nipo matatizoni badala ya kutoa ushauri, unakataa kulikubali Tatizo la muhanga as if ujisikiavyo wewe ndo wanaume wote wapo.

Rafiki nimefurahi umesoma post kwani hata kama hukuipenda naamini hiyo ndiyo dawa ya tatizo lako... Kama una malaria ili kupona lazima upate Chloroquine ni chungu ati lakini inaponyesha.....

Maisha ya ndoa ni mchezo wa ajabu sana ambao kanuni zake unazipanga wewe na wala sio kupata mawazo hapa jamvini..Yale wanayokufundisha kule kanisani, msikitini, na jamii inayokuzunguka ..sometimes mtayaona hayafai..utabaki wewe na mke wako..na nyinyi wawili ndio mtapanga maisha yenu....Sasa Challenge kubwa katika kupanga hizo "rules of the game" ni sisi wanaume..wanaume tumerithi "ubinafsi" wa ajabu sana..mimi ni mbinafsi, wewe ni mbinafsi, baba yangu ni mbinafsi, baba yako, jirani yako mwanaume..etc..etc..wanaume wote tuwabinafsi... Ndio maana kwa ubinafsi huo umekimbilia kutumia ID za MMU na kuuliza swali ambalo wengine wamekuambia kamuulize mke wako... kama ungekuwa sio mbinafsi ungemuuliza mke wako akupe jibu...

Tunarudi pale pale... maisha ya ndoa ni kati yako na mkeo.. nyinyi wawili mnatunga kanuni za ndoa yenu..na wewe ndio kinara kwa kutunga hizo kanuni.. sikwambii ufanye au usifanye kwani wewe ni mtu mzima na una akili timamu.. Labda niwe muwazi.. Binafsi I don't care sexual intercourse acts ambazo haziko extreme!.. kama mke wangu atatoka nje mara moja au mbili.. nami sina uwezo wa kujua kama ametoka I don't care as long as amefurahisha mwili wake kwa muda ule na siyo Roho yake kwani rohoni bado niko mimi ..kama mke wangu atanipenda kwa roho na siyo mwili..Basi maisha yataendelea... Naamini mwili una majaribu.. na sote ni binadamu na siyo malaika.. Sikwambii ili kufagilia uzinzi..lakini nataka uone mbali ili ujue wewe hauna tatizo linalokusumbua zaidi ya ubinafsi ambao utakupeka kuwa mzinzi... Nakwambia tu kama unataka kufanya..basi ujue kwa nini unafanya.. Dhamira yako ikwambie ukweli.. hasa kama utamwomba ushauri mkeo halafu baada ya kukupa huo ushauri nenda kafanye... otherwise, usiniambie ulikuwa ujui kupiga punyeto..asilimia 99% ya wanaume wameshawahi kusikia au kupiga punyeto..

Nadhani umenielewa..Sex ni sehemu tu ya Mapenzi, Ndoa, Maisha na wala sio kigezo cha kuumiza akili... ila inabidi uwe mwerevu kujua hilo kwani unaweza tumia vibaya iko kigezo na kuanza kuosha ovyo rungu lako... fikiria dhamira yako.. na ubinafsi wako kwanza!
 
Nimekuelewa kiongozi ila hapo penye nyekundu nimepaelewa zaidi kwasababu hata mimi Roho yangu ipo kwa wife ila tatizo ni hili limwili tu ndo linanizingua.
 
Sijui kwanini comments za hivi huwa zinanikwaza japo wakati mwingine zina ukweli?

Ukweli ni kwamba wanawake wengi walio nje kusoma nao huko pia wanakuwa na mahusiano na wanaume wengine, ni kitu cha kawaida ila inabidi tu kuombeana msileteane magonjwa nyumbani. Kutoka nje ya ndoa ni jambo la kawaida sana, hivyo hata ukiwa unabanjuka na demu mwingine kwa muda ni bora tu umwambie ukweli huyo demu ili ajijuwe. Katika yote hayo ni bora utembee na demu wa mbali ila si jirani kwani majirani wana kuvaliana kanga za mafumbo kwa mkeo ili tu kumuumiza moyo mfano kama hii hapa: "Kiko wapi, mbona tunamla wote; au Lione kwanza limejifanya limeenda Ulaya huku nyuma wenzie tumekula..."
 
Wadau wa JF mwenzenu nipo katika wakati mgumu sana nataka tubadirishane uzoefu. Mke wangu kasafiri kikazi nje ya nchi atakuwa huko kwa miezi Sita na tokea ameondoka ni miezi miwili tu imepita, mwenzenu sijafanya mapenzi mda wote huo wa miezi miwili na kichupa nahisi kimejaa.

Napata taabu sana nimejaribu kufanya mazoezi na kushiriki michezo mbali mbali kusahau maswala ya ngono, achilia mbali nikiwa ofisini naji keep busy sana lakini ikifika usiku nikiwa Kitandani napata taabu sana maana 'mzee' anasimama wima kwa mda mrefu sana hata usingizi inakuwa ishu kupata,

Mimi sitaki lakini mwili unahitaji kufanya mapenzi kwakweli, Hebu nipeni uzoefu nifanye nini ili katika hiki kipindi cha miezi sita nisitoke nje ya ndoa kwani ni miezi miwili tu hali imeshakuwa hivi, je kuna mtu amewahi kukaa mda mrefu kiasi hiki bila kufanya mapenzi? kama yupo anipe uzoefu alikuwa anafanya nini kuikabiri hii hali maana kuna kila dalili kwamba nitashindwa.
kwa hiyo kama una kila dalili ya kushindwa naona kuna mambo kama matatu au mawili unataka kuyafanya 1. Wewe unata kuzini tena unataka kwenda kimboka kwenye bei chee kutafuta nya*u 2. Au unataka kupiga p*chu 3. Kama una house girl naona leo ndo siku yake ya kubakwa
 
Ni aje Mvaa Tai!? Mwezi wa tatu huo umegota, umeshashuka kwenda kumtembelea shem kule majuu!?
 
Last edited by a moderator:
masturbation can do it Broo kama kweli hutaki kudoo nje.
ila ukitokea umetoka nje nashauri tafuta wa one 9t stand na msijuane baadae.
asije akakuletea balaa baadae!
 
Wadau wa JF mwenzenu nipo katika wakati mgumu sana nataka tubadirishane uzoefu. Mke wangu kasafiri kikazi nje ya nchi atakuwa huko kwa miezi Sita na tokea ameondoka ni miezi miwili tu imepita, mwenzenu sijafanya mapenzi mda wote huo wa miezi miwili na kichupa nahisi kimejaa.

Napata taabu sana nimejaribu kufanya mazoezi na kushiriki michezo mbali mbali kusahau maswala ya ngono, achilia mbali nikiwa ofisini naji keep busy sana lakini ikifika usiku nikiwa Kitandani napata taabu sana maana 'mzee' anasimama wima kwa mda mrefu sana hata usingizi inakuwa ishu kupata,

Mimi sitaki lakini mwili unahitaji kufanya mapenzi kwakweli, Hebu nipeni uzoefu nifanye nini ili katika hiki kipindi cha miezi sita nisitoke nje ya ndoa kwani ni miezi miwili tu hali imeshakuwa hivi, je kuna mtu amewahi kukaa mda mrefu kiasi hiki bila kufanya mapenzi? kama yupo anipe uzoefu alikuwa anafanya nini kuikabiri hii hali maana kuna kila dalili kwamba nitashindwa.

Mvaa tai, kama bado hujaruka fensi jaribu hii; 1. kula mlo mmoja tu kwa siku na hakikisha hushibi vizuri. 2. Kachukue mkopo bank uweke nyumba yako dhamana halafu hela zote kazitoe kanisani/msikitini. 3. Penda sana kutembelea wodi za wagonjwa mahututi, angalau mara 3 kwa wiki. 4. Usitumie kilevi chochote. Ukizingatia hayo kamwe huwezi kuruka fensi.
 
Ni aje Mvaa Tai!? Mwezi wa tatu huo umegota, umeshashuka kwenda kumtembelea shem kule majuu!?

Kaka kaka nimepiga hesabu za haraka haraka naona hata nikienda na kurudi tu natakiwa nitafute si chini ya M3, Kuna maushauri kibao nilipewa na washkaji najaribu kuyafanyia kazi lakini...............
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mkuu mi hiyo hali ishanikuta mara ya kwanza niliponyoka bahati mbaya lakini mara ya pili niliweza kwa kujikeep bussy week days na week end ni move na mpira na kinywaji kidogo cha kunipa usingizi nisiwaze sana usiku. pia nilipunguza kula vyakula vinavyozalisha hayo maruhani kwa wingi. ila mara moja moja usiku nilikuwa nikiota nakuta nshaharibu. kaza buti kama una nia kweli utavuka huu mtihani ni upepo tu utapita... ila angalia usiongdoke na manyoya
 
Hujaamua kutoka moyoni, ukiamua kutoka moyoni 6 months is equal to nothing. una akili nzuri lakini inavyoonyesha unaweza kuharibikiwa.USHAURI wangu ni kwamba USIJARIBU(huwezi kufa) ukithubutu tu ninakuhakikishia MAJUTO (chukua kutoka kwangu).wengi wanakuvutia mautini kuwa na akili!!!!
 
Kaka naendelea kupambana ila napata wakati mgumu sana ifikapo weekend
 
Hujaamua kutoka moyoni, ukiamua kutoka moyoni 6 months is equal to nothing. una akili nzuri lakini inavyoonyesha unaweza kuharibikiwa.USHAURI wangu ni kwamba USIJARIBU(huwezi kufa) ukithubutu tu ninakuhakikishia MAJUTO (chukua kutoka kwangu).wengi wanakuvutia mautini kuwa na akili!!!!

Shukrani, ila sijui ni kwanini napata taabu sana weekends nature ya kazi yangu ni kwamba nakuwa busy sana weekdays ila weekends nipo free sana ngoja nitafute kitu cha kuni-keep busy
 
If I were a man ningemega. Hata mimi leo hii hazibendi akisafiri miezi sita nitamegwa. No strings attached. Stone Me.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom