haha Madame B weye humtakii mwenzio mema. huyo mpenzi wa zamani akimganda jee! mbona hiyo ndoa itakuwa na kasheshe. Hakuna kitu kina gharimu wanaume kama nyumba ndogo ambazo zimejishika zikashikamana..
Ina maana huna hata wa zamani hadi utuulize sie.Uhanga wako unatuuliza humu cha kufanya. Piga puliiii
I cant imagine, two months without having sex? youre not different from those in prison brother. Do something. Mimi wiki mbili tu nakosa usingizi kabisaaaaa.
Nimefanya analysis ya Costs, sijaipenda kwakweli
Mimi Sipo Ndani Ya Ndoa Lkn Najua Mtu Akiamua Kitu Toka Moyoni.
Hawezi Shindwa,
Wewe Unasound Kama Vile Unataka Kula Nje.
Hao wameruhusiwa kujichagulia yeyote kati yetu, au mkuu wewe hutaki kutumika?Ni hatari wanaweza kutukuta ndo tunavaa alafu yakawashinda!!
mim pia nashauri ajaribu phone sex na mke wake, yawezo mpa relief kidogo. ss sijui wife wake anayajua hayo mambotry phone sex my son!
Wadau wa JF mwenzenu nipo katika wakati mgumu sana nataka tubadirishane uzoefu. Mke wangu kasafiri kikazi nje ya nchi atakuwa huko kwa miezi Sita na tokea ameondoka ni miezi miwili tu imepita, mwenzenu sijafanya mapenzi mda wote huo wa miezi miwili na kichupa nahisi kimejaa.
Napata taabu sana nimejaribu kufanya mazoezi na kushiriki michezo mbali mbali kusahau maswala ya ngono, achilia mbali nikiwa ofisini naji keep busy sana lakini ikifika usiku nikiwa Kitandani napata taabu sana maana 'mzee' anasimama wima kwa mda mrefu sana hata usingizi inakuwa ishu kupata,
Mimi sitaki lakini mwili unahitaji kufanya mapenzi kwakweli, Hebu nipeni uzoefu nifanye nini ili katika hiki kipindi cha miezi sita nisitoke nje ya ndoa kwani ni miezi miwili tu hali imeshakuwa hivi, je kuna mtu amewahi kukaa mda mrefu kiasi hiki bila kufanya mapenzi? kama yupo anipe uzoefu alikuwa anafanya nini kuikabiri hii hali maana kuna kila dalili kwamba nitashindwa.
mpigie wife fanya nae sex phone! Kama anavyokuwa anakupa mambo na minong'ono yake ya mahaba uku ukiwa unapiga puli.. Wazungu lazima watakuja.
pole sana kwa yanayokusibu ndugu yang, ila nakusifu kwani wewe unaonekana mwanamume imara sana kwny ndoa..namuonea wivu mkeo kwn kapata mume wa uhakika..wanaume km ww leo hawapo kbs...ushishangae kila m2 anakwambia utafute mpango wa kando sbb hawaoni km ni tatizo..mimi mume wangu amewahi kukaa nje ya nchi kwa mwaka mzima na several times zaidi ya 6 months, kwa huu ushuhuda wako nashawishika kbs kuwa alitoka nje ya ndoa kwa vyovyote vile..anyway mimi nakushauri yafuatayo
1. Usitoke je ya ndoa kwa vyovyote vile, huo msimamo wako ni mzuri, kumbuka kuwa ukionja asali huwezi kuiacha.
2. Tafuta namna muonane na mkeo hata kwa siku 3 tu, ama kwa wewe kumfuata aliko au yeye kuja huku..usijali sna kuhusu garama, garama ya kuharibu ndoa yako ni kubwa kuliko pesa utakazotumia..hakikisha hizo siku unaenda au yeye anakuja huyo wife awe kwenye siku nzuri( sio siku 3 umeenda unamkuta mzungu mwekundu tena inakuwa haina maana)
3. Tafuta vitabu vya simulizi za mapenzi soma hasa usiku, utajikuta umepunguza mzigo bila kutarajia(kuna rafiki yangu ofcn mkewe alienda kusoma mbali kwa muda mrefu aliniambia kuwa baada ya kuzidiwa sana na ilimbidi atafute vitabu vya mapenzi ambavyo ndio vilikuwa vikimburudisha usiku na kujikuta akishusha mzigo bila kumsaliti wife wake..
4. Usiangalie picha za ngono kwani nasikia zinaweza kukufanya ukawa addicted na pia zinachangia kufanya watu wapunguze nguvu za kiume.(japo watu wengine wanatumia pia kushusha mzigo km hawana wenza)_
nyumba ndogo hawaendagi aste aste, labda awe mke wa mtu. kwa ss ataona sawa, usumbufu utakuja mkewe akirudi maana small house atakuwa kashajimilikisha kiaina, atataka aendelee kupewa dozi ileile, outing zilezile ikiwezekana atataka kuwachonganisha ili jamaa akinyimwa hm awe anaenda kuponea kwake