Malcom, no. 1 nailed. Point takenMkeo kuwa na magroup whatsapp zaidi ya 5+,
Kutwa mitaandaoni,muda wote story Zari hivi,Zari vile nk,
Kukacha misa jpili kwa visingizio vikoba,
Marejesho yote vikoba mimi,alafu kibubu kikifunguliwa huambulii hata 100
Nk nk
Nimekupata, naona namba 3 inakupa stress sana. nitawaelezaMpaka sasa Top 3!
1.Kuomba hela
2.Wivu & FBI Agency
3.Kubana kisusio
Happy for you brother, keep it up!... asante kwa mchango mzuri.I am vey happily married, though nikikumbukia enzi zile:
- Uongo
- Take me for granted
- Being too dependent
- Inability to keep time
- Dharau
We-nye walikuwaga na hizo tabia enzi zile na wakapita kwa anga zangu, najua mpaka leo watakuwa wananikumbukaga
Mie mtu akiniambia ni shabiki wa utopolo naona kama ni tusiShida sio kushabikia mpira shida ni kushabikia Utopolo FC! Universidad de Chura 😂😂😂
Lazma nikupige BAN
Mzee nimekuelewa sana, point2,3 nailed. Sasa naomba no. 5 ebu tujimaswali tusitwokuwa na kichwa wala miguu watujue. 2 tunanitosha1. Kuongea sana kama cherehani bila hoja ya msingi
2. Kutokuelewa pale nnapomuambia kwamba kwa sasa/tarehe hizi sina hela. Au namuambia sina hela jioni, asubuhi ananipa listi ya vitu vya kununua!
3. Kung'ang'ania kitu. Akitaka kitu chake hata kama ni cha kijinga, ataking'ang'ania na nikikataa ataendelea kua ananisumbua kila siku mpaka nachoka naamua kukubali
4. Kutokunielewa siku ambayo mimi sitaki ku do. Ila yeye akiwa hataki anaona sawa tu.
5. Kuuliza uliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu.
We utakuwa Shabiki wa timu zenye akili basi...Utopolo sio timu! Ushuzi ule😂Mie mtu akiniambia ni shabiki wa utopolo naona kama ni tusi
Kupika chakula anachopenda yeyeHeshima kwenu wanaume
Najaribu kutafuta busara za kiume, ni tabia gani ambayo ni kero na imekuwa sugu kutoka kwa wake zenu/marafiki wa kike, hata michepuko kama ipo?
Tukizingatia kwamba, hakuna mwanadamu mkamilifu, ila kuna tabia ambazo ni kero zonazopelekea kuachana.
Kama mwanaume, naomba uniwekee tabia 3-5 unazochukia kwenye ndoa yako na mahusiano, na kama ungepewa rungu na Mungu kutengeneza mke mpya, ungemuwekea zipi upate kitu OG.
Comment zako kwenye hii thread, zitanitengeneza mimi (kama mwanamke) na pia nitashare na wanawake wenzangu.
Angalizo: usibeze thread yangu, usinitukane, usikashifu.
Hii ni thread kwa wanaume tu.
Wasalaam
cc: cariha1. Kuongea sana kama cherehani bila hoja ya msingi
2. Kutokuelewa pale nnapomuambia kwamba kwa sasa/tarehe hizi sina hela. Au namuambia sina hela jioni, asubuhi ananipa listi ya vitu vya kununua!
3. Kung'ang'ania kitu. Akitaka kitu chake hata kama ni cha kijinga, ataking'ang'ania na nikikataa ataendelea kua ananisumbua kila siku mpaka nachoka naamua kukubali
4. Kutokunielewa siku ambayo mimi sitaki ku do. Ila yeye akiwa hataki anaona sawa tu.
5. Kuuliza uliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu.
Hayo masharti peleka huko kwenu group la watsapp...nimeona nami nichangie TUHii thread ni kwa wanaume tu, naomba wanawake msichangie chochote hapa, kuleta mada tofauti na lengo la thread, au kuingiza kitu chochote ambacho kinawezatutoa nje ya msitari.
Heshima kwenu sana (wanaume), naomba tuendelee kutiririka.
CD
Hasa Wachagga6
6. Uongo
Futa hapo CD ina maana mbayaHii thread ni kwa wanaume tu, naomba wanawake msichangie chochote hapa, kuleta mada tofauti na lengo la thread, au kuingiza kitu chochote ambacho kinawezatutoa nje ya msitari.
Heshima kwenu sana (wanaume), naomba tuendelee kutiririka.
CD
Asante sana, siwezi kimbia innitials za jina langu. Naomba mchango wako wa kwenye threadFuta hapo CD ina maana mbaya
Nao ni mchango, asante kwa kuchangiaHayo masharti peleka huko kwenu group la watsapp...nimeona nami nichangie TU
hahah hupendi kupendwa sana. Noted.Kupika chakula anachopenda yeye
Kushindwa kwenda sawa na uchumi wa awamu hii ya tano, mizinga iso na sababu
Wivu
Kunipenda sana
eeeh sitaki kabisahahah hupendi kupendwa sana. Noted.