Kwa wanaume tu (vichwa vya familia)

Mkeo kuwa na magroup whatsapp zaidi ya 5+,
Kutwa mitaandaoni,muda wote story Zari hivi,Zari vile nk,
Kukacha misa jpili kwa visingizio vikoba,
Marejesho yote vikoba mimi,alafu kibubu kikifunguliwa huambulii hata 100
Nk nk
Malcom, no. 1 nailed. Point taken
 
I am vey happily married, though nikikumbukia enzi zile:

  • Uongo
  • Take me for granted
  • Being too dependent
  • Inability to keep time
  • Dharau

We-nye walikuwaga na hizo tabia enzi zile na wakapita kwa anga zangu, najua mpaka leo watakuwa wananikumbukaga
Happy for you brother, keep it up!... asante kwa mchango mzuri.
 
1. Kuongea sana kama cherehani bila hoja ya msingi
2. Kutokuelewa pale nnapomuambia kwamba kwa sasa/tarehe hizi sina hela. Au namuambia sina hela jioni, asubuhi ananipa listi ya vitu vya kununua!
3. Kung'ang'ania kitu. Akitaka kitu chake hata kama ni cha kijinga, ataking'ang'ania na nikikataa ataendelea kua ananisumbua kila siku mpaka nachoka naamua kukubali
4. Kutokunielewa siku ambayo mimi sitaki ku do. Ila yeye akiwa hataki anaona sawa tu.
5. Kuuliza uliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu.
Mzee nimekuelewa sana, point2,3 nailed. Sasa naomba no. 5 ebu tujimaswali tusitwokuwa na kichwa wala miguu watujue. 2 tunanitosha
 
Hii thread ni kwa wanaume tu, naomba wanawake msichangie chochote hapa, kuleta mada tofauti na lengo la thread, au kuingiza kitu chochote ambacho kinawezatutoa nje ya msitari.

Heshima kwenu sana (wanaume), naomba tuendelee kutiririka.

CD
 
Heshima kwenu wanaume

Najaribu kutafuta busara za kiume, ni tabia gani ambayo ni kero na imekuwa sugu kutoka kwa wake zenu/marafiki wa kike, hata michepuko kama ipo?

Tukizingatia kwamba, hakuna mwanadamu mkamilifu, ila kuna tabia ambazo ni kero zonazopelekea kuachana.

Kama mwanaume, naomba uniwekee tabia 3-5 unazochukia kwenye ndoa yako na mahusiano, na kama ungepewa rungu na Mungu kutengeneza mke mpya, ungemuwekea zipi upate kitu OG.

Comment zako kwenye hii thread, zitanitengeneza mimi (kama mwanamke) na pia nitashare na wanawake wenzangu.

Angalizo: usibeze thread yangu, usinitukane, usikashifu.

Hii ni thread kwa wanaume tu.

Wasalaam
Kupika chakula anachopenda yeye
Kushindwa kwenda sawa na uchumi wa awamu hii ya tano, mizinga iso na sababu
Wivu
Kunipenda sana
 
1. Kuongea sana kama cherehani bila hoja ya msingi
2. Kutokuelewa pale nnapomuambia kwamba kwa sasa/tarehe hizi sina hela. Au namuambia sina hela jioni, asubuhi ananipa listi ya vitu vya kununua!
3. Kung'ang'ania kitu. Akitaka kitu chake hata kama ni cha kijinga, ataking'ang'ania na nikikataa ataendelea kua ananisumbua kila siku mpaka nachoka naamua kukubali
4. Kutokunielewa siku ambayo mimi sitaki ku do. Ila yeye akiwa hataki anaona sawa tu.
5. Kuuliza uliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu.
cc: cariha
 
Hii thread ni kwa wanaume tu, naomba wanawake msichangie chochote hapa, kuleta mada tofauti na lengo la thread, au kuingiza kitu chochote ambacho kinawezatutoa nje ya msitari.

Heshima kwenu sana (wanaume), naomba tuendelee kutiririka.

CD
Futa hapo CD ina maana mbaya
 
Back
Top Bottom